Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaweza fanya kazi kenya wewe?Huko Kenya hakuna watanzania wanaofanya kazi
Waje tu wafanye kazi bila vibali tuache chuki na wivu tufanye kazi kwa bidii.
Hata Uk, Us kuna work permit!Twendeni shule aisee.....
Kabla ya kuuliza jiulize kwanza watanzania wangapi wako nje ya nchi na wanafanya kazi......
Sometime tuache uvivu....
Kila siku kulalamika....
Ajira zenyewe ziko wapi mnazosema mnanyanganywa?
Bila kuchanganyikana hatuwezi kuendelea lazima tukubali ushindani angalia us kila RAIA wa nchi zote duniani yupo pale ndio maana wenzetu waliendelea,wanaendelea na wataendelea..........
We hakuna unachojua Mfatilie trump analalamikia nini kuhusu MexicoUS uendi bila vibali au unaongelea USA river ya Arusha?
European Union wanatumia.utaratibu gani?Kwa hiyo huko US unakosema wamechanganyika wanafanya kazi bila vibali.?
Nambie work pamit ya European union ipoje kama utaki jitoeni eac ..........Hata Uk, Us kuna work permit!
Hii ni proof kwamba unatakiwa kuacha uvivu na jitahidi uende shule. Kwa sababu mtu hakubaliani na point yako basi unaamua kumwita Bavicha. Kwani kuna ubaya gani hata kama angekuwa Bavicha? Kama ungekuwa una uelewa ungejua kuwa issue ya Wakenya kufanya kazi Tz na vice versa ni issue inayohusiana na free trade na siyo issue ndogo ambayo raisi Kenyatta anai raise tu kwa Raisi wetu wakati wanakunywa chai kwenye garden. It's a big issue, requires analysis and is tied to relationship between two countries. Hawezi kumwambia tu naomba watu wangu waje kufanya kazi kwako na yeye aseme hapo hapo, sawa. Kama ni proposal ambayo tetesi yako imekwambia italetwa, then Raisi atairudisha nyumbani awape wataalamu waijadili na kutafakari faida yake kwetu wa Tz then hapo ndio utapata nafasi ya ku sound off na kuipinga. Raisi ni wetu wote, Bavicha or otherwise, problem unayo wewe usiyeelewa nchi inavyoendeshwa. Like my friend above said - wacha uvivu. Kasome na wewe uweze kushindana na wale wote wanaoitaka kazi yako, whether ni Wakenya au Watanzania wenzako.Afu wakikubali kutoa vibali WEWE NA HAO BAVICHA WENZIO NDIO MTAKUWA MSTARI WA MBELE KULALAMIKA HUMU oooh SERIKALI IMEGAWA AJIRA KWA WAGENI...EBU ACHA UCHAWI.....aiseeeh kweli nyie vijana mmeisharisishwa UNAFIKI NA HAO VIONGOZI wenu......kwa ulichokiandika hapo juu sishangai NDIO FULSA YA KUTAFTA KIKI KESHO YAKE
Mpuuzi kabisa wewe unaandika mavi hapa unategemea tukubaby? Shwaini kabisa.Protectionism ni moja ya falsafa inayotumika na mataifa makubwa pia kabla hujaandika upuuzi wako kaa chini na uje na arguement ilioenda shule..otherwise acha kudhihirisha upeo wako mdogo(low IQ)
hahahahaha....mkuu hiyo wa mikoani kuja dar na visa nimecheka sanaHivi mnataka muungano wa Africa mashariki halafu bado mnataka kuwekeana vikwazo vya kipuuzi?
Wewe kama huna connection hata wamikoani waambiwe kuja Dar kwa kibali na bado utaendelea kulialia tu.
Watanzania mmekalia wizi tu ndio maana watu serious wanawaajili Wakenya, badilikeni kwanza badala ya kulialia.
Ndio maana Uingereza walijitoa kwenye EU ili kulinda maslahi ya wananchi wao na nchi yao,huko nje wapi unaenda kufanya kazi bila kibali taja hata nchi moja,labda Rwanda na UgandaTwendeni shule aisee.....
Kabla ya kuuliza jiulize kwanza watanzania wangapi wako nje ya nchi na wanafanya kazi......
Sometime tuache uvivu....
Kila siku kulalamika....
Ajira zenyewe ziko wapi mnazosema mnanyanganywa?
Bila kuchanganyikana hatuwezi kuendelea lazima tukubali ushindani angalia us kila RAIA wa nchi zote duniani yupo pale ndio maana wenzetu waliendelea,wanaendelea na wataendelea..........
Kijana nimekuelewa vizuri kabsa na mimi sijapingana na mleta HOJA hata kidogo.....HAPA NINACHOKISEMA NI KWAMBA HUYU JAMAA TECHNICALLY NI MNAFIKI MKUBWA KABSA........leo anajionesha yupo na mleta maada lakini likizuhiwa hili yeye ndiye atakuwa mstari wa mbele kubwabwaja humu maana hawa jamaa NI WABADILISHA GIA ANGANI WANAOENDA NA MATUKIOHii ni proof kwamba unatakiwa kuacha uvivu na jitahidi uende shule. Kwa sababu mtu hakubaliani na point yako basi unaamua kumwita Bavicha. Kwani kuna ubaya gani hata kama angekuwa Bavicha? Kama ungekuwa una uelewa ungejua kuwa issue ya Wakenya kufanya kazi Tz na vice versa ni issue inayohusiana na free trade na siyo issue ndogo ambayo raisi Kenyatta anai raise tu kwa Raisi wetu wakati wanakunywa chai kwenye garden. It's a big issue, requires analysis and is tied to relationship between two countries. Hawezi kumwambia tu naomba watu wangu waje kufanya kazi kwako na yeye aseme hapo hapo, sawa. Kama ni proposal ambayo tetesi yako imekwambia italetwa, then Raisi atairudisha nyumbani awape wataalamu waijadili na kutafakari faida yake kwetu wa Tz then hapo ndio utapata nafasi ya ku sound off na kuipinga. Raisi ni wetu wote, Bavicha or otherwise, problem unayo wewe usiyeelewa nchi inavyoendeshwa. Like my friend above said - wacha uvivu. Kasome na wewe uweze kushindana na wale wote wanaoitaka kazi yako, whether ni Wakenya au Watanzania wenzako.
Nakushangaa kwani hujui EU walivyo wagumu na ajira zao. Tupo huku tunayaona.Nambie work pamit ya European union ipoje kama utaki jitoeni eac ..........
Na uwingereza kwa nini ilijitoa Eu?