Tetesi: Wakenya wanataka waruhusiwe kufanya kazi Tanzania bila Vibali, rais asikubali

Huko Kenya hakuna watanzania wanaofanya kazi
Waje tu wafanye kazi bila vibali tuache chuki na wivu tufanye kazi kwa bidii.

There is no way that Kenyan's should be allowed to work in Tanzania. They need a work permit even here in the US if you are foreigner and would like to work unless you are a permanent resident, otherwise you would need a work permit to work.
 
Nakuunga mkono 100%

I agree with you 100%.
There is no way that Kenyan's should be allowed to work in Tanzania. They need a work permit even here in the US if you are foreigner and would like to work, you will need to apply for a work permit ,unless you are a permanent resident. You will have to pay a application fee for a work permit.
 
Kibali cha kazi no lazima Kwa mgeni yoyote. Tens Uhamiaji mfanye unexpected visit Shule moja inaitwa Makini Primary school hapo Africana mbezi beach muone foreigners walivyo wengi bila hata vyeti vya ualimu wala work permits
 
hilo nalo neno
 
Nina rafiki zangu wakenya wanaishi hapa TZ kila unayekutana nae saa hizi anasifia ziara ya Magufuri na ile hotuba yake huko kwao na wanaona baada YA Magufuri kwenda kwao na kuonana na Uhuru atabadili mtazao na misimamo yake juu yao.Hapo awali baada ya MaGUFURI kuchukua nchi na ile sakasaka ya uraia na vibali vya kazi wakenya wengi walimchukia Magufuri.
 
Protectionism hata US ipo,kulinda viwanda na ajira ni kazi huru ya serikali.
 
Kenyans are more educated and Agressive than Tanzanians.

Kuja kwao huku watakuwa na fursa nyingi zaidi kuajiriwa kuliko sisi.

Nisichopenda zaidi ni wabinafsi na wanatudharau sana watz.
 
Kenyans are more educated and Agressive than Tanzanians.

Kuja kwao huku watakuwa na fursa nyingi zaidi kuajiriwa kuliko sisi.

Nisichopenda zaidi ni wabinafsi na wanatudharau sana watz.
Hawajui kula na kipofu.
 

Kenya tayari ilishafuta malipo ya work permit kwa wananchi wote wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
 
Kenya tayari ilishafuta malipo ya work permit kwa wananchi wote wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki.
Ndiyo sasa hao waafuta ajira mitandaoni waelimishwe wqende huko kenya.
 
Rais inabidi awe makini sana,tanzania ni ya watanzania naajira ni za watanzania
 
Kwani kuna ubaya gani wa kuwaruhusu wakenya kufanya kazi bila vibali tz. Pengine hii ndiyo itakuwa dawa ya uvivu,kutokuwa na uaminifu, utegaji kazini. Sidhani kama kuzuia ni dawa mbona zamaini ilikuwa hivyo na hakukua na matatizo?
 
Ndiyo sasa hao waafuta ajira mitandaoni waelimishwe wqende huko kenya.

Ukweli ni kwamba hata kama ajira zipo Tanzania, hamna mamilioni ya Wakenya ambao wapo tayari mpakani kuenda kufanya kazi Tanzania. Wangukuwa wameshaingia Uganda/Rwanda tayari. Hata bila vibali, watu wana marafiki/familia/uzoefu wa mazingira, uoga wa lugha ya kiswahili n.k. vitu ambavyo vinawafanya wananchi wawe wagumu kuondoka nchini. Unless kama ajira za Tanzania zitawalipa kwa kiasi kikubwa zaidi ya kile wanachokipata Kenya. Kile ninachokiona hapa ni "fear of the unkown".
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…