Wakenya wanavyochati

Nakushauri fungua website. Watu kadri tutakavyokuja kusoma habari unatengeneza pesa au akaunti ya Youtube uwe unapost hivi vitu upige pesa.

Naona una kipaji cha kuanzisha mada on standby. Unaua kipaji chako as humu watu watakuambia umenoa au kukusimanga na hulipwi wakati kwenye web yako au youtube kikubwa mtu kaingia na kasoma atukane asitukane wewe unalipwa.
 
Hao wanamgogoro wao wanagombania Bahari
 
Japo Kenya ni nchi ya mabepari ila hizo comment zako nne hazitoshi kusema "wakenya" wanavyochati.
 

Mkuu,, youtube wanakulipaje? Waweza nielimisha kama hutojari!
 
Wewe malaya umekosa kitu cha kufanya au? Wakati mwenzako ameshaweka mahistoria ambayo watakuja kuyasoma vitukuu vyako na mpaka kizazi cha sita cha vitukuu vyako kama utabahatika kuolewa na kuzaa watoto wewe umekaa tu hapo chattle unasubiri dagaa uliowaanika wakauke upike ugali wa udaga ule na mumeo.
 
Mkuu,, youtube wanakulipaje? Waweza nielimisha kama hutojari!
Unakuan akaunti ya youtube na akaunti ya adsense.

Unaiunganisha akaunti yako ya youtube na ya adsense.

Kisha akaunti yako inakua inawekwa matangazo na google na kadri viewers wanapoongezeka ndivyo unaingiziwa pesa.

Ni stori ndefu na ina masharti na vigezo. Kwa uelewa mpana wa viewers wa wapi watakupa pesa nyingi, lugha, mada na taratibu za kufuata cheki na google.
 

Asante mkuu. Mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…