Nigrastratatract nerve
JF-Expert Member
- Sep 4, 2019
- 1,521
- 4,381
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Team Hayati kazini
Tumepigwa dole gumba kwenye nanihii!
Jamii forum yenyewe kwa sasa imejaa umbea tuUnataka tujadili umbeya? JF is a forum for great minds to discuss issues.
Wewe unajua ishu zaidi ya umbea?Unataka tujadili umbeya? JF is a forum for great minds to discuss issues.
Nakushauri fungua website. Watu kadri tutakavyokuja kusoma habari unatengeneza pesa au akaunti ya Youtube uwe unapost hivi vitu upige pesa.
Naona una kipaji cha kuanzisha mada on standby. Unaua kipaji chako as humu watu watakuambia umenoa au kukusimanga na hulipwi wakati kwenye web yako au youtube kikubwa mtu kaingia na kasoma atukane asitukane wewe unalipwa.
Wewe malaya umekosa kitu cha kufanya au? Wakati mwenzako ameshaweka mahistoria ambayo watakuja kuyasoma vitukuu vyako na mpaka kizazi cha sita cha vitukuu vyako kama utabahatika kuolewa na kuzaa watoto wewe umekaa tu hapo chattle unasubiri dagaa uliowaanika wakauke upike ugali wa udaga ule na mumeo.
Wee nenda kafanye ibada kule tocha, unachotafuta kuaminisha umma hutofanikiwa. Mama tayari ndo Rais no way out, imeisha hiyo!!!
Unakuan akaunti ya youtube na akaunti ya adsense.Mkuu,, youtube wanakulipaje? Waweza nielimisha kama hutojari!
Unakuan akaunti ya youtube na akaunti ya adsense.
Unaiunganisha akaunti yako ya youtube na ya adsense.
Kisha akaunti yako inakua inawekwa matangazo na google na kadri viewers wanapoongezeka ndivyo unaingiziwa pesa.
Ni stori ndefu na ina masharti na vigezo. Kwa uelewa mpana wa viewers wa wapi watakupa pesa nyingi, lugha, mada na taratibu za kufuata cheki na google.