Wakenya Waongoza Afrika Mashariki kutamani kuishi nje nchi

Tz boy 4tino

JF-Expert Member
Joined
Sep 14, 2014
Posts
1,598
Reaction score
1,822
Kwa mujibu wa tafiti wa shirika linalojitegemea la nchini Switzerland, Nchi zinazoonekana hapo chini ndio ambazo raia wake kama wangekuwa na uwezo (If circumstances were right) wangehamia nchi nyingine.



Tafiti ilifanywa katika nchi 30 za Afrika, Kenya ikionekana kuongoza kwa Afrika Mashariki.
 
Hiyo inaeleweka ni kwanini, hata Mimi ningekua Mkenya nisingetamani kuishi Kenya.
 
Hivi mleta mada kati ya 54% ya wakenya na 43% ya watanzania ni idadi ipi ya watu ndio kubwa zaidi? Alafu kumbuka kwamba diaspora ya Kenya(sio hao wa kutamani, wale ambao tayari wapo nje ya nchi) ndio wanaongoza ukanda huu kwa kutuma hela na kuwekeza nyumbani .
 

Ahaaa haaa haaa
Anzisha Uzi wa diaspora tutakuja kuchangia.

lkn sasa tunajaribu kuangalia watu ambao wanatoroka kwao na kwenda kuzamia nchi zingine.
Ambayo pia ni dalili za failed states.
 
Hapo Mdanganyika umeanguka kabisa, Itakuwa sahihi kusema kuwa pia Wasauzi pia hawapendi kwao au vile vile waGhana na ikumbukwe nvhi za kwanza Tatu ni mojawapo was zile ziko na uchumi mkubwa Sub Saharan Africa. Za mwisho kwenye orodha hiyo ni LDC ila Kama kawaida Tz inavuta mkia 😂😂😂😂
 
Hiyo inaeleweka ni kwanini, hata Mimi ningekua Mkenya nisingetamani kuishi Kenya.
Ahhahhahahahahhhhhahhahahahaahahhhahahhhahhahahahahhhhahhhahhhahhahahhahahaa kaka kwanini wanena hivyo
 
Na ikumbukwe Watanzania wengi humu Kenya ni omba omba. Wanatamani Sana Kenya Kama vile fisi anavyo mwagia mate mnofu.
 
Uchumi mkubwa wenyewe wa south sio wa watu weusi ni wa boers ni yaleyale.
 

Ahaaa haaa haaa
Your cognitive power is very wanting. So you equates size of the economy with citizens welfare?
 
Sema wanabiashara wengi wazawa wanatoroka ufisadi kenya. Hata Tajiri wa nigeria Dangote alisema kenya haguzi hata kwa mti wa futi kumi
 
Sema wanabiashara wengi wazawa wanatoroka ufisadi kenya. Hata Tajiri wa nigeria Dangote alisema kenya haguzi hata kwa mti wa futi kumi
Nimewauliza swali rahisi. Kulingana na hizo takwimu hapo juu, kati ya 54% ya wakenya na 43% ya watanzania ni idadi ipi ya watu ndio kubwa zaidi???
Ahaaa haaa haaa
Anzisha Uzi wa diaspora tutakuja kuchangia.

lkn sasa tunajaribu kuangalia watu ambao wanatoroka kwao na kwenda kuzamia nchi zingine.
Ambayo pia ni dalili za failed states.
 
0.54× 47000000=25380000
0.43× 60000000=25800000
#jingatype
 
Aiiiii never Tz iitaman nchi dhaifu km kenya mmh huko ni kuropoka
Umeambiwa ukweli mtupu! Sasa hivi county za Kajiado, Narok, Machakos na Nairobi kumefurika na omba omba kutoka Tz hadi kwenye miji midogo midogo. Alafu wanasaidiwa kuomba na watz wenzao ambao sio walemavu. Alafu mwaka huu wachuuzi kutoka Tanzania nao wameingia nchini Kenya kwa wingi. Wanakatiza na kuzunguka kote kote wakiuza bidhaa kama nguo na soksi. Kule Gikomba, Nairobi soko kubwa la nguo ukanda huu wote lugha utakayoisikia ni kichagga. Alafu wote wanaishi Kenya kwa amani bila tashwishi. Ukitaka kutoamini ninachosema ni sawa pia.
Na ikumbukwe Watanzania wengi humu Kenya ni omba omba. Wanatamani Sana Kenya Kama vile fisi anavyo mwagia mate mnofu.
 
Nimewauliza swali rahisi. Kulingana na hizo takwimu hapo juu, kati ya 54% ya wakenya na 43% ya watanzania ni idadi ipi ya watu ndio kubwa zaidi???
Hahahahaha, kichwa yako ni mbovu sana, hujui hata matumizi ya % . Maana yake ni kwamba, zaidi ya nusu ya wakenya wanataka kukimbia nchi yao, ikitokea hiyo nafasi ujue zaidi ya nusu(Wewe pia ukiwemo), watatoroka nchi.

Kwa upande wa Tanzania, mambo ni " opposite ", kwamba chini ya nusu ya watanzania ndio wanaotaka kukimbia nchi, wengi wanataka kubaki Tanzania kuendelea kunyonya maziwa na asali.

Ninawashangaa hao 47% ya wakenya wanaopenda kuendelea kubaki Kenya, sio bure kwasababu 42% ya wakenya ni Kikuyu. Kama wewe sio mkikuyu Jubilee, huna sababu ya kubaki Kenya, hali ya Kenya ni hii;
 
Mtanzania atatoroka kwao aende wapi?
With their illiteracy, medieval practices and their beliefs, they fear to face the outside world .
Hata megafuli anaogopa kutoka nje ya nchi .Atazungumza aje?language Barrier:'-:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…