Wakenya Waongoza Afrika Mashariki kutamani kuishi nje nchi

Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz? Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?
na kwanini mnaruhusu ombaomba wa kigeni nchini mwenu?
 
Acha kuleta "arguments" za kitoto hapa, si ni ninyi ndio mnaojisifu kwamba wakenya waliopo nje ya nchi ndio wanaongoza kwa kuingiza pesa za kigeni kuliko "sectors " zote za uchumi, sasa unapinga nini ukiambiwa kwamba wakenya wengi wanapenda kuitoroka nchi yao?.

Ninyi ni failed state kabisa, iwapo Tanzania tuliweza kudhibiti wimbi la majambazi na majizi toka Kenya, na wale wakenya waliokua wanaishi na kufanya kazi bila vibali, vipi ninyi mnashindwa kuwadhibiti hao ombaomba badala yake mnabaki kulialia?. In failed state nothing works.
 
Acha kuleta "arguments" za kitoto hapa, si ni ninyi ndio mnaojisifu kwamba wakenya waliopo nje ya nchi ndio wanaongoza kwa kuingiza pesa za kigeni kuliko "sectors " zote za uchumi, sasa unapinga nini ukiambiwa kwamba wakenya wengi wanapenda kuitoroka nchi yao?.

Ninyi ni failed state kabisa, vipi ninyi mnashindwa kuwadhibiti hao ombaomba badala
Unawalaumu wakenya kwasababu wenzenu wanapenda kuomba omba? [emoji15] Mbona hamna omba omba kutoka Uganda au Somalia au hata S.Sudan? Mbona hamna anayeongea kuhusu watz na warwanda ambao wanafanya kazi na biashara halali huku Kenya, na ni wengi sana pia? Mbona hamjiulizi maswali na kutatua shida za hawa walemavu?
na kwanini mnaruhusu ombaomba wa kigeni nchini mwenu?
Boss, wanafurushwa kila uchao ila wanarudi kwa wingi zaidi. Alafu zingatia kwamba wengi wao ni walemavu. Kenya mashirika ya kutetea haki za walemavu yana nguvu sana.
 
Unawalaumu wakenya kwasababu wenzenu wanapenda kuomba omba? [emoji15] Mbona hamna omba omba kutoka Uganda au Somalia au hata S.Sudan? Mbona hamna anayeongea kuhusu watz na warwanda ambao wanafanya kazi na biashara halali huku Kenya, na ni wengi sana pia? Mbona hamjiulizi maswali na kutatua shida za hawa walemavu?

Boss, wanafurushwa kila uchao ila wanarudi kwa wingi zaidi. Alafu zingatia kwamba wengi wao ni walemavu.
Sisi tulifanikiwa kuwadhibiti majambazi toka Kenya waliokuwa wanaingia kwa wingi na kuvunja Bank, iweje ninyi mshindwe kuwadhibiti ombaomba ambao wengi ni walemavu?, kama mumeamua kuwaacha, kwanini mnalialia?. Huku kwetu tuliwafukuza na haturuhusu ombaomba, wamechagua kukimbilia katika nchi dhahifu iliyojaa rushwa na uongozi dhahifu sana. In failed state nothing works.
 
Nimekuelewa, mliwafukuza omba omba watz wenzenu kutoka nchi yenu ya 'asali na maziwa' wakaamua kuhamia nchi masikini kama Kenya. Hahaha! 😀
 
Sera yetu ni kutoruhusu watu kuishi kwa jasho la wengine, kila mtu mzima mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanya kazi, wale wanaoruhusiwa kuishi kwa jasho la wengine ni watoto wadogo, walemavu na vikongwe.

Hawa kuna mfumo katika ngazi ya serikali za Mitaa za kuona jinsi ya kuwasaidia, lakini jamaa zao na jamii wanakotoka wanawajibika kuwahudumia, mifumo sio kamilifu, lakini hiyo sio sababu ya kuzagaa barabarani na kuomba, watoto wanaokulia barabarani hawawezi kusoma wala kupata malezi bora, wengi wanakuwa majambazi na vibaka, ndio Sababu Kenya ujambazi na uhalifu unazidi kukua.
 
Sera yetu ni kutoruhusu watu kuishi kwa jasho la wengine, kila mtu mzima mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanya kazi, wale wanaoruhusiwa kuishi kwa jasho la wengine ni watoto wadogo, walemavu na vikongwe.

Hawa kuna mfumo Mitaa kuomba, majambazi na vibaka, ndio Sababu Kenya ujambazi na uhalifu unazidi kukua.
Maajabu haya! Leo hoja yako nakubaliana nayo. [emoji15] Kwahivyo unasema kwamba hao omba omba kutoka Tz ndio wanaingia kwenye miji yetu na kuzaa vibaka mbegu ya panyaroad? Walemavu wakenya wamewezeshwa kwa kukubaliwa kuingia sehemu za miji ambazo wachuuzi hawakubaliwi, ili waendeleze shughuli zao za kibiashara. Kampuni kubwa kubwa k.m. Nation Media na SG pia hazijaachwa nyuma. Hao walemavu ndio wanasupply magazeti na vitu kama hivyo mijini. Sio kawaida kuona mkenya mlemavu akiomba omba. Boss, leo ukienda kupokea buku saba zako kuwa mzalendo tafadhali, wafahamishe mabosi kuhusu omba omba wa kitz ambao wamevamia miji ya Kenya.
 
Hawa ndio unaosema mnawasaidia?, huwezi kukuta uchafu huu huku Tanzania. Ninyi wakenya mnalazimika kujifunza mambo mengi sana toka Tanzania, Tanzania is a role model country in this zone.
 
Nyumbani hakunogi ndiyo maana...

They always see the grass is greener to the other side...

Sijaona Somalia hapo...

Cc: mahondaw
 
Hawa ndio unaosema mnawasaidia?, huwezi kukuta uchafu huu huku Tanzania. Ninyi wakenya mnalazimika kujifunza mambo mengi sana toka Tanzania, Tanzania is a role model country in this zone.

Kawadanganye mapimbi wenzako vijiweni. Hebu tizama hiyo video hapo ya Darwins Nightmare ambayo ilijishindia tuzo nyingi sana kimataifa na kuifanya Tz ijulikane na idharauliwe na wengi. Inahusu umasikini wa aina yake Mwanza, chokoraa na gundi zao na wenyeji wakila samaki walio oza wenye viwavi. Huku samaki kutoka ziwa lao wakivuliwa na kupelekwa ughaibuni. Kwenye hiyo documentary kuna kisa cha kutamausha cha mwanamke mtz mchuuza ngono aliyechomwa kisu na mzungu hadi akafa na hakuna hatua mliochukua. Yaani shithole ya kweli hata wanaoishi kibera wana afueni.
 
Kawadanganye mapimbi wenzako vijiweni. Hebu tizama hiyo video hapo ya Darwins Nightmare ambayo ilijishindia tuzo nyingi sana kimataifa na kuifanya Tz ijulikane na idharauliwe na wengi. Inahusu umasikini Mwanza, chokoraa na gundi zao na wenyeji wakila samaki walio oza wenye viwavi. Huku samaki kutoka ziwa lao wakivuliwa na kupelekwa ughaibuni.
Wewe acha wendawazimu wako, hii inaonyesha watu wakitumia samaki baada ya kutolewa minofu, onyesha wapi watoto waliitekekezwa barabarani kama hao wa Nairobi ambao baadae ugeuka kuwa majambazi.

Hao wote wanajishughulisha kutafuta kipato, japo ni umasikini lakini wanajituma na ikifika jioni wanarudi nyumbani kwao. Hatuna watoto wa mitaani waluozagaa kama huko kwenu, acha kujiliwaza.
 
Boss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.
 
Unajua raia wa magharibi wakija Africa huwa wanatutazama kwa jicho la dharau sana, kuwa ss ni watu wenye shida na hatujikubali.

Tunajichubua ngozi ili kufanana nao, tunapendelea kuzungumza kama wao kwa lugha yao, wanawake wetu wanavaa nywele za wanawake zao ambao wamezinyoa kama uchafu! Na still tunakimbilia mataifa yao kuishi huko tukikimbia kwetu.
 
Boss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.
Wewe ni jinga sana, mbona ninyi chai inachukuliwa na wazungu na kupekekwa nje na nchi yenu haipati kitu?.

Samaki ni sector kubwa inayowapatia wavuvi pesa nyingi. Wavuvi wameshauza samaki zao viwandani, kiwanda kimeshachakata samaki na hayo ni mabaki, kiwanda kingeweza kuyatupa au kuyatumia vile wapendavyo, ila baadhi ya watu wabayachukua na kujipatia kipato, hapo tatizo liko wapi?. Ninyi chai yenu yote inapelekwa nje, mabepari wa kizungu ndio wanafaidika, ninyi mbashindwa hata kuhudumia hawa watoto

Sasa unataka kulinganisha haya mazombi yenu na wale watoto wachache ambao wengi ndio hao wanaochukua hayo mabaki ya samaki ili kujipatia kipato?
 
Ahaaa ila wale cardiac doctors wa kitz waliotolewa America na kurudishwa na kikwete waje waiendeshe cardiac institute ya Muhimbili wakikuyu wale sindio?
Doh we itakua vta za kikabila zilikuathir huko kwenu kenya ht unachoongea hakileti maana
WaBongo nchi za nje hamuwezi survive, the attitude i see the most educated here display, huko ulaya most of you would starve.
Non Ambitious, envy and hate for those that try to make their life better, pessimism .. is what has made TZ a basket case.. a nation rich in minerals, 99% arable land, political stability, Peace and Unity in the society ...but still an LDC, what you lack is ambition..
 
Kwan Canada ndio nn.we hujui km mkia wa beberu ww kwa kufata lugha ya kigen.ilhal sis tz tuna cha kujivunia lugha yetu ya kiswahili na Japan 2016 wameanzisha chuo cha kusomea kugha ya kiswahili nchin kwao japan.
Asa nan zaid.Wewe mkia wa Canadian au mtz aliyeifanya lugha yake itambe kwa mtu mweupe.
Sikujua km wakenya literant fools hiv
Waziri Mkuu wa Canada ameomba Wakenya millioni moja (one million/1,000,000) wa kuhamia Canada, wakati alipoitembelea nchi hii kwani Wakenya ni Wasomi na wachapakazi haswa! Lugha ya Biashara, English wameitawala vizuri.
 
Ukisema hvyo kuna watu wa.kuwazid ambao ht mheshimiwa kikwete alienda western na kushangaa specialists weng tz ones kijana vp wewe.
Km mnajiweza msingekua na maden ya kupitiliza mpk mnaongoza kwa maden Africa masharik na kati
Eti tungejua, kwani unadhani watu hawajazuru nje ya bara hili kwenye misheni za kufukuzana na shilingi? Hiyo sasa ndio inaitwa focus. Wakenya wakituma hela na kuwekeza nyumbani ni kwa faida ya maisha yao ya baadaye na jamii zao. Uchumi pia unakua kwasababu ya hela wanazotuma. Sio unazamia ughaibuni kubeba box alafu unakula bata tu na kuuza unga kama wenzenu. Wakenya wana sifa ya uchapakazi na sio kwenye ngazi za chini pekee yake. Wakenya wanashikilia nafasi za juu kwenye kampuni kubwa, wanafunza kwenye vyuo vikuu, wengi wamejiajiri na wana biashara zao huko ughaibuni. Wakenya hawakulemazwa na sera za ajabu ajabu kama ujamaa.
 
HAO ni wale wavivu wasiotaka kujitaftia half idad yao ndogo kuliko wanaopenda kujitaftia ndio maana hawashughulikiwi
Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz? Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?
 
Uliza now mwanza ikoje. Haifanan na Turkana

Back
Top Bottom