nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
na kwanini mnaruhusu ombaomba wa kigeni nchini mwenu?Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz? Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?