nasrimgambo
JF-Expert Member
- Jan 10, 2017
- 1,902
- 2,488
na kwanini mnaruhusu ombaomba wa kigeni nchini mwenu?Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz?Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?
Acha kuleta "arguments" za kitoto hapa, si ni ninyi ndio mnaojisifu kwamba wakenya waliopo nje ya nchi ndio wanaongoza kwa kuingiza pesa za kigeni kuliko "sectors " zote za uchumi, sasa unapinga nini ukiambiwa kwamba wakenya wengi wanapenda kuitoroka nchi yao?.Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz?Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?
Unawalaumu wakenya kwasababu wenzenu wanapenda kuomba omba? [emoji15] Mbona hamna omba omba kutoka Uganda au Somalia au hata S.Sudan? Mbona hamna anayeongea kuhusu watz na warwanda ambao wanafanya kazi na biashara halali huku Kenya, na ni wengi sana pia? Mbona hamjiulizi maswali na kutatua shida za hawa walemavu?Acha kuleta "arguments" za kitoto hapa, si ni ninyi ndio mnaojisifu kwamba wakenya waliopo nje ya nchi ndio wanaongoza kwa kuingiza pesa za kigeni kuliko "sectors " zote za uchumi, sasa unapinga nini ukiambiwa kwamba wakenya wengi wanapenda kuitoroka nchi yao?.
Ninyi ni failed state kabisa, vipi ninyi mnashindwa kuwadhibiti hao ombaomba badala
Boss, wanafurushwa kila uchao ila wanarudi kwa wingi zaidi. Alafu zingatia kwamba wengi wao ni walemavu. Kenya mashirika ya kutetea haki za walemavu yana nguvu sana.na kwanini mnaruhusu ombaomba wa kigeni nchini mwenu?
Hujaacha kutukana watu wewe?
Kwa nini ukaninukuu kama sina akili??
Sisi tulifanikiwa kuwadhibiti majambazi toka Kenya waliokuwa wanaingia kwa wingi na kuvunja Bank, iweje ninyi mshindwe kuwadhibiti ombaomba ambao wengi ni walemavu?, kama mumeamua kuwaacha, kwanini mnalialia?. Huku kwetu tuliwafukuza na haturuhusu ombaomba, wamechagua kukimbilia katika nchi dhahifu iliyojaa rushwa na uongozi dhahifu sana. In failed state nothing works.Unawalaumu wakenya kwasababu wenzenu wanapenda kuomba omba? [emoji15] Mbona hamna omba omba kutoka Uganda au Somalia au hata S.Sudan? Mbona hamna anayeongea kuhusu watz na warwanda ambao wanafanya kazi na biashara halali huku Kenya, na ni wengi sana pia? Mbona hamjiulizi maswali na kutatua shida za hawa walemavu?
Boss, wanafurushwa kila uchao ila wanarudi kwa wingi zaidi. Alafu zingatia kwamba wengi wao ni walemavu.
Nimekuelewa, mliwafukuza omba omba watz wenzenu kutoka nchi yenu ya 'asali na maziwa' wakaamua kuhamia nchi masikini kama Kenya. Hahaha! 😀Sisi tulifanikiwa kuwadhibiti majambazi toka Kenya waliokuwa wanaingia kwa wingi na kuvunja Bank, iweje ninyi mshindwe kuwadhibiti ombaomba ambao wengi ni walemavu?, kama mumeamua kuwaacha, kwanini mnalialia?. Huku kwetu tuliwafukuza na haturuhusu ombaomba, wamechagua kukimbilia katika nchi dhahifu iliyojaa rushwa na uongozi dhahifu sana. In failed state nothing works.
Sera yetu ni kutoruhusu watu kuishi kwa jasho la wengine, kila mtu mzima mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanya kazi, wale wanaoruhusiwa kuishi kwa jasho la wengine ni watoto wadogo, walemavu na vikongwe.Nimekuelewa, mliwafukuza omba omba watz wenzenu kutoka nchi yenu ya 'asali na maziwa' wakaamua kuhamia nchi masikini kama Kenya. Hahaha! 😀
Maajabu haya! Leo hoja yako nakubaliana nayo. [emoji15] Kwahivyo unasema kwamba hao omba omba kutoka Tz ndio wanaingia kwenye miji yetu na kuzaa vibaka mbegu ya panyaroad? Walemavu wakenya wamewezeshwa kwa kukubaliwa kuingia sehemu za miji ambazo wachuuzi hawakubaliwi, ili waendeleze shughuli zao za kibiashara. Kampuni kubwa kubwa k.m. Nation Media na SG pia hazijaachwa nyuma. Hao walemavu ndio wanasupply magazeti na vitu kama hivyo mijini. Sio kawaida kuona mkenya mlemavu akiomba omba. Boss, leo ukienda kupokea buku saba zako kuwa mzalendo tafadhali, wafahamishe mabosi kuhusu omba omba wa kitz ambao wamevamia miji ya Kenya.Sera yetu ni kutoruhusu watu kuishi kwa jasho la wengine, kila mtu mzima mwenye uwezo wa kufanya kazi ni lazima afanya kazi, wale wanaoruhusiwa kuishi kwa jasho la wengine ni watoto wadogo, walemavu na vikongwe.
Hawa kuna mfumo Mitaa kuomba, majambazi na vibaka, ndio Sababu Kenya ujambazi na uhalifu unazidi kukua.
Maajabu haya! Leo hoja yako nakubaliana nayo. [emoji15] Kwahivyo unasema kwamba hao omba omba kutoka Tz ndio wanaingia kwenye miji yetu na kuzaa vibaka mbegu ya panyaroad? Walemavu wakenya wamewezeshwa kwa kukubaliwa kuingia sehemu za miji ambazo wachuuzi hawakubaliwi, ili waendeleze shughuli zao za kibiashara. Kampuni kubwa kubwa k.m. Nation Media na SG pia hazijaachwa nyuma. Hao walemavu ndio wanasupply magazeti na vitu kama hivyo mijini. Sio kawaida kuona mkenya mlemavu akiomba omba. Boss, leo ukienda kupokea buku saba zako kuwa mzalendo tafadhali, wafahamishe mabosi kuhusu omba omba wa kitz ambao wamevamia miji ya Kenya.
Hawa ndio unaosema mnawasaidia?, huwezi kukuta uchafu huu huku Tanzania. Ninyi wakenya mnalazimika kujifunza mambo mengi sana toka Tanzania, Tanzania is a role model country in this zone.
Wewe acha wendawazimu wako, hii inaonyesha watu wakitumia samaki baada ya kutolewa minofu, onyesha wapi watoto waliitekekezwa barabarani kama hao wa Nairobi ambao baadae ugeuka kuwa majambazi.Kawadanganye mapimbi wenzako vijiweni. Hebu tizama hiyo video hapo ya Darwins Nightmare ambayo ilijishindia tuzo nyingi sana kimataifa na kuifanya Tz ijulikane na idharauliwe na wengi. Inahusu umasikini Mwanza, chokoraa na gundi zao na wenyeji wakila samaki walio oza wenye viwavi. Huku samaki kutoka ziwa lao wakivuliwa na kupelekwa ughaibuni.
Boss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.Wewe acha wendawazimu wako, hii inaonyesha watu wakitumia samaki baada ya kutolewa minofu, onyesha wapi watoto waliitekekezwa barabarani kama hao wa Nairobi ambao baadae ugeuka kuwa majambazi.
Hao wote wanajishughulisha kutafuta kipato, japo ni umasikini lakini wanajituma na ikifika jioni wanarudi nyumbani kwao. Hatuna watoto wa mitaani waluozagaa kama huko kwenu, acha kujiliwaza.
Wewe ni jinga sana, mbona ninyi chai inachukuliwa na wazungu na kupekekwa nje na nchi yenu haipati kitu?.Boss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.
WaBongo nchi za nje hamuwezi survive, the attitude i see the most educated here display, huko ulaya most of you would starve.
Non Ambitious, envy and hate for those that try to make their life better, pessimism .. is what has made TZ a basket case.. a nation rich in minerals, 99% arable land, political stability, Peace and Unity in the society ...but still an LDC, what you lack is ambition..
Waziri Mkuu wa Canada ameomba Wakenya millioni moja (one million/1,000,000) wa kuhamia Canada, wakati alipoitembelea nchi hii kwani Wakenya ni Wasomi na wachapakazi haswa! Lugha ya Biashara, English wameitawala vizuri.
Eti tungejua, kwani unadhani watu hawajazuru nje ya bara hili kwenye misheni za kufukuzana na shilingi? Hiyo sasa ndio inaitwa focus. Wakenya wakituma hela na kuwekeza nyumbani ni kwa faida ya maisha yao ya baadaye na jamii zao. Uchumi pia unakua kwasababu ya hela wanazotuma. Sio unazamia ughaibuni kubeba box alafu unakula bata tu na kuuza unga kama wenzenu. Wakenya wana sifa ya uchapakazi na sio kwenye ngazi za chini pekee yake. Wakenya wanashikilia nafasi za juu kwenye kampuni kubwa, wanafunza kwenye vyuo vikuu, wengi wamejiajiri na wana biashara zao huko ughaibuni. Wakenya hawakulemazwa na sera za ajabu ajabu kama ujamaa.
Boss, hawa si ni omba omba kutoka Tz?Tena wanazidi kuongezeka kila uchao, hadi kwenye miji midogo kama Meru. Hivi majuzi wakazi wa Murang'a wameililia serikali ya gatuzi lao ifanye jambo kuhusu omba omba hao kutoka Tz. Halafu nyinyi na serikali yenu mlivyo watu ovyo mnafumbia macho huu uovu. Mlirogwa nini?
Kawadanganye mapimbi wenzako vijiweni. Hebu tizama hiyo video hapo ya Darwins Nightmare ambayo ilijishindia tuzo nyingi sana kimataifa na kuifanya Tz ijulikane na idharauliwe na wengi. Inahusu umasikini wa aina yake Mwanza, chokoraa na gundi zao na wenyeji wakila samaki walio oza wenye viwavi. Huku samaki kutoka ziwa lao wakivuliwa na kupelekwa ughaibuni. Kwenye hiyo documentary kuna kisa cha kutamausha cha mwanamke mtz mchuuza ngono aliyechomwa kisu na mzungu hadi akafa na hakuna hatua mliochukua. Yaani shithole ya kweli hata wanaoishi kibera wana afueni.