UBoss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.
out of a country of 52million people you are mentioning 2 docs???Ahaaa ila wale cardiac doctors wa kitz waliotolewa America na kurudishwa na kikwete waje waiendeshe cardiac institute ya Muhimbili wakikuyu wale sindio?
Doh we itakua vta za kikabila zilikuathir huko kwenu kenya ht unachoongea hakileti maana
Na ikumbukwe Watanzania wengi humu Kenya ni omba omba. Wanatamani Sana Kenya Kama vile fisi anavyo mwagia mate mnofu.
We kweli waropoka wale two doctors kwanzaa unaelewa ht unachoongeaout of a country of 52million people you are mentioning 2 docs???
Nout of a country of 52million people you are mentioning 2 docs???
You are not serious bro
Yet Bongolalas are all over Nairobi begging, how comes we don't come to beg at your place.Kwanza lazma mukimbie nchi yenu maana mna percentage kubwa ya watu wanaoishi behind poverty line 42% sio km tz 26.8% jikazenN
Yet Bongolalas are all over Nairobi begging, how comes we don't come to beg at your place.
That alone should tell you which nation has higher standards of living.
Maskini wawili wanabishana nani masikini zaidi. 🙄
Yet Bongolalas are all over Nairobi begging, how comes we don't come to beg at your place.
That alone should tell you which nation has higher standards of living.
Alafu unashanga vipi mko LDC na Kenya Middle IncomeKivp Kenya ina 42% of people living behind poverty line tz ikiwa na 26.8% halaf tz itaman kuja kenya kaka is that person of urs insane
Nigger please, even with the poverty in Kibera and hunger in Turkana, they have never come across to your borders to beg..Then kwann useme "are all over Nairobi"ilhali naizungumzia the whole Kenya.it means Kenya ni Nairobi tu ndio maana mnawaacha watu wa kibera wafurikwe na vinyesi na kuwatenga waathirika wa njaa Turkana bcuz Kenya looks only over Nairobi.
Itabid niwaite Nairobians sio Kenyans.Ok Nairobians remedy urselves
Let nobody lie to you, hii kudanganywa na CCM toka 1963 ni mbaya.. kama KE kuna maskini wengi mbona basi hakuna hata mmoja anayekuja omba omba TZ.. ??? we have poor people here but not as poor as TZ.. TZ is dirt poor.. ufukara proper...Hao walokuja huko ni wachache wasiopenda kujishughulisha.
Mbona wengi tupendao kujishughulisha tupo huku.
Na hyo haijalishi we Nijibu swali kwann behind poverty line ya watu wako ni kubwa kuliko ya tz.Nijibu hapo unajua kusoma ww nenda kisomi isije ikawa u are amongst literant fools.
Hiyo idad ya hao wavivu ni nduchu hailingan na idad ya watz wanaojishughulisha na. Kujitegemea hao ombaomba ndio hawa 26.8 percent sawa we zumbukuku maana huelew ht nachoongea
Controlled by which whites?? what is controlled by whites? can you be specific? hii ujinga mnaenezewa huko na wanasiasa wenu ni funny sana.. The biggest Kenyans companies are owned by the govt or Kenyans investors, our economy is very diverse.. with Agriculture, Services being in the hands of Kenyans,hamna anayependa kuishi katika FAILED STATE, every thing in kenya is controlled by whites and very few richest politicians from kikuyu and luos. wengine wote kenya ni wapangaji kwenye nyumba za wachache, wafanyakazi mashambani, wakora mitaani, wafanya vurugu wakitumiwa na wanasiasa etc kijuumla wananchi wengi wa kenya ni watumwa wa wazungu na wanasiasa uchwara.
hahahahahahaha, tatizo kubwa wakenya ni mbumbumbu na mbaya zaidi hamjielewi badoControlled by which whites?? what is controlled by whites? can you be specific? hii ujinga mnaenezewa huko na wanasiasa wenu ni funny sana.. The biggest Kenyans companies are owned by the govt or Kenyans investors, our economy is very diverse.. with Agriculture, Services being in the hands of Kenyans,
si kama huko TZ madini yanachimbwa na wazungu, wanayauza halafu mnaachiwa peni mbili..
Hehehe. Mngejua hao Mnaowaita diaspora wanayopitia huko nchi za watu msingekenua kwa hizo Remittances, Unakuta hapo dada yako ni House Girl huko Saudia halafu baada ya mashida zote waarabu wanampa hako kamshahara kake maskini anakatuma kote Kenya halafu nchi nzima ya Kenya inashangilia,
A
Alafu unashanga vipi mko LDC na Kenya Middle Income