Ummayed
JF-Expert Member
- May 21, 2019
- 6,155
- 2,580
Ilikua mwaka gan.
Je mwanza ipo hvyo now embu acha blee ble blee
Je mwanza ipo hvyo now embu acha blee ble blee
UBoss huna huruma kabisa na raia wenzako. Umetizama hiyo documentary kweli? Yaani magenge ya machokoraa yanachemsha vijikaratasi ambavyo vinatumika na wazungu kuiba samaki wenu ili wapate gundi. Umewaona wakipigania chakula kama hayawani? Hakuna mkenya ambaye huwa anakula mabaki ya samaki wakuokota walio oza na kuanguka barabarani wakisafirishwa airport kupelekwa kwa mabwana zenu. Yaani ni aibu iliyoje! Alafu hao machangudoa wakitz wanavotumiwa na hao wazungu ilinitia hasira kweli kweli.