Wakenya Waongoza Afrika Mashariki kutamani kuishi nje nchi

Wakenya Waongoza Afrika Mashariki kutamani kuishi nje nchi

Labda nikufahamishe.Hao wanaoomba ni hyo 26.8% ya wasiotaka kujishughulisha sawa mwanakaka.Kenya hambishi mafukara sana na wanaojiweza wachache embu angalia chini
Let nobody lie to you, hii kudanganywa na CCM toka 1963 ni mbaya.. kama KE kuna maskini wengi mbona basi hakuna hata mmoja anayekuja omba omba TZ.. ??? we have poor people here but not as poor as TZ.. TZ is dirt poor.. ufukara proper...
Hata tandale haiko hiv.
Hiyo 26.8% ya wanaoomba isikufanye useme tz maskin ilhali 70% wanajishughulisha mjini na kijijini na wana hali nzuri.Ndio maana tz ukiskia kuna njaa ni kwa bahat mbaya sana km ilivyotokea Dodoma sasa hv mvua zinanyeesha njaa zimeisha.
Ww unaojiweza mbona miaka nenda miaka rudi Turkana mna njaa balaa.Na km nyie mna maisha mazuri mbona matajir wakubwa EA wanatokea tz siwaoni matajir wa Kenya wakitia mguu kwa watz watz wako juu.
Asa sijui hapo wapi kuna maisha bora.
Nakusisitizia,hao ombaomba ni 26.8% ya hao wasiopenda kujishughulisha umeelewa.70% tuko na life zuri.
images-15.jpeg
 
Sisi ndio tunayaona maisha yetu km wengi wetu tunajiweza especially mikoa km Tabora ,Katavi,Dodoma pia watu vijana wadogo kwa watu wazima wanajenga km wananunua pipi ndio maana takwimu ilipotoka ya 2017 behind poverty line ilipungua toka 34.4 mpk 26.8% usikute ht mm nimekushinda wewe nina bungalow japokuwa nina 20 years old fukara ww
Let nobody lie to you, hii kudanganywa na CCM toka 1963 ni mbaya.. kama KE kuna maskini wengi mbona basi hakuna hata mmoja anayekuja omba omba TZ.. ??? we have poor people here but not as poor as TZ.. TZ is dirt poor.. ufukara proper...
 
Usibwabwaje ww.Hao wanao beg kwenu wamejitakia na wavivu hata rais amewatimua huku mijini.Rais wetu anataka mtu ale kwa jasho lake sio kwa uvivu ndio maana percentage kubwa ya watu km sisi tumejikaza tuna maisha mazuri.hao wasiopenda kujishughulisha wameamua kuwa ombaomba usiilaumu tz hao hawahusiki na umaskin wetu ila ni hurka zao,Kama nyie mnajiweza mbona miaka nenda rudi turkana kuna njaa na behind poverty line ni kubwa kufikia nusu nchi.
Nigger please, even with the poverty in Kibera and hunger in Turkana, they have never come across to your borders to beg..
that should tell you something about your country... LDC.
 
Hapo Mdanganyika umeanguka kabisa, Itakuwa sahihi kusema kuwa pia Wasauzi pia hawapendi kwao au vile vile waGhana na ikumbukwe nvhi za kwanza Tatu ni mojawapo was zile ziko na uchumi mkubwa Sub Saharan Africa. Za mwisho kwenye orodha hiyo ni LDC ila Kama kawaida Tz inavuta mkia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hivi kati ya mpumbavu wa kwanza na mpumbavu wa mwisho nani bora?
 
Hivi kenya hamna uchawi?
Hapa wakenya huwa hawabishi. Uchawi wa Tanzania ni wa kuogopwa. Wanasema kuwa wanajua Kenya zaidi ya wakenya wenyewe .47999998 Kenyans live in kibera. The rest of Kenya is owned by Mzungu and Kenyatta's family
 
Asee kwahyo wakisii sio wachawi.
Then nina waswas na ww beki tatu
 
Hapa wakenya huwa hawabishi. Uchawi wa Tanzania ni wa kuogopwa. Wanasema kuwa wanajua Kenya zaidi ya wakenya wenyewe .47999998 Kenyans live in kibera. The rest of Kenya is owned by Mzungu and Kenyatta's family
Nataka behind poverty line ipungue toka 43% kushuka chin.
Huko kwenu Kenya na njaa ipungue Turkana na wala sukuma week wapungue.
 
Back
Top Bottom