joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ni baada ya kuona kwamba, serikali ya Kenya inawasaidia wazungu waendelee kuikalia ardhi yao kwa mabavu waliyoichukua kwa nguvu kipindi cha ukoloni.
Kwasasa hivi ardhi hiyo ndio inayotumika na wazungu kulima chai huko maeneo ya Kericho na kuwaingizia wazungu pesa nyingi, wakati wananchi walitupwa katika maeneo yasiyokuwa na rutuba, hivyo kusababisha kuishi ktk Lindi la umasikini mkubwa na kutegemea chakula cha msaada kila mwaka.