Wakenya wapeleka malalamiko "UN" kuomba warudishiwe ardhi yao iliyopo mikononi mwa wazungu

Wakenya wapeleka malalamiko "UN" kuomba warudishiwe ardhi yao iliyopo mikononi mwa wazungu

CCM bana huaga hatutaki data za mabeberu..sisi huenda kwenye ground...
Data siku zote ni propaganda za mabeberu..
Sasa unabishana na dunia?, wewe lete tafiti ya kidunia inayoonyesha kwamba wahindi wanamiliki uchumi wa Tanzania. Kenya not yet Uhuru
 
Insha ya nini jomba...anyway..najua imekuingia,
Hao wahindi na waarabu biashara kubwa walionayo Tanzania ni import business like oil na viwanda, hakuna mtanzania asie na ardhi yenye rutuba, uchumi wa tanzania ni kilimo hasa kwenye nafaka, korosho, kahawa, pamba, tumbaku, chai nk na mashamba yote haya yanamilikiwa na watanzania, ukisikia Tanzania imeuza nje korosho 400k metric tonnes na kupata USD 800 millions jua hiyo pesa ni mtanzania kaingiza mfukoni

Sio Kenya kinara wa kuuza chai na maua na pesa almost yote ni Mzungu katia kibindoni, huo upumbavu Tanzania haupo na ndio maana GDP yenu kubwa lakini wananchi ni mafukara wa kutupwa, pesa yote inayozalishwa inachukuliwa na wageni.
 
Punguza jazba...enedeleeni kuwatajirisha tu hku mkiwaita wazawa wakati watu wenu hohehahe
Tanzania ni resourceful Country, mfano Geita peke yake ndani ya miezi 3 imezalisha Gold 1900 metric tonne kutoka kwa wachimbaji wadogo (hakuna mchimbaji mdogo asie mtanzania), hii dhahabu ina thamani ya zaidi ya billion 150, pesa yote hii imeingia kwenye mifuko ya Watanzania, Kenya hili halitokuja kutokea.

Note that amount of money is for 4 months only
 
Unamsikiliza huyu dada conspiracy theorist with unfounded claims?

Dada delusional sana huyu

Hua anadhani hii dunia inaendeshwa na watu wa kufikirika in cahoots...

Mifikiriko scifi movies tupu

Nyie vijana sijui mkoje. Yaani kwa kwa akili yako unaona nadharia za njama haziwezi kuwa halisi. Wewe unafikiri wazungu unavyowafanyia kazi na kukulipa unafikiri wanakupenda sana.
Kama huamni ya kwa njama ni msingi wa wazungu kuitawala dunia, fuatilia kwa nini km wa un aliyekuwa raia wa usuidi alikufa kwenye ajali ya ndege kule lusaka zambia. Fuatilia kwa makini kwa nini maeneo mengi yenye rasilimali ndiyo yenye machafuko? nani yuko nyuma ya haya machafuko? na lililo wazi kwa nini gadaf aliuawa?
Fuatilia kwa mawazo chanya utakuja kuniambia.
 
Insha zako haziwezi kuufuta ukwel
Tanzania ni resourceful Country, mfano Geita peke yake ndani ya miezi 3 imezalisha Gold 1900 metric tonne kutoka kwa wachimbaji wadogo (hakuna mchimbaji mdogo asie mtanzania), hii dhahabu ina thamani ya zaidi ya billion 150, pesa yote hii imeingia kwenye mifuko ya Watanzania, Kenya hili halitokuja kutokea.

Note that amount of money is for 4 months only
 
Hoja azitoe wapi?, hiyo ni dalili kwamba ameelewa ukweli, ila kawaida mtu mzima mwenye akili finyu, sio rahisi kukubali hadharani.
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijana
Eti uchumi wa tanzania imeshikwa na wageni

Aangalie skyscrapers na majengo yote ya CBD wamiliki wake nchini Tanzania alinganishe na Kenya, tena sio Dar peke yake, mikoa yote
 
Nyie vijana sijui mkoje. Yaani kwa kwa akili yako unaona nadharia za njama haziwezi kuwa halisi. Wewe unafikiri wazungu unavyowafanyia kazi na kukulipa unafikiri wanakupenda sana.
Kama huamni ya kwa njama ni msingi wa wazungu kuitawala dunia, fuatilia kwa nini km wa un aliyekuwa raia wa usuidi alikufa kwenye ajali ya ndege kule lusaka zambia. Fuatilia kwa makini kwa nini maeneo mengi yenye rasilimali ndiyo yenye machafuko? nani yuko nyuma ya haya machafuko? na lililo wazi kwa nini gadaf aliuawa?
Fuatilia kwa mawazo chanya utakuja kuniambia.

Na huyo mwafrika mwenzako unaemfanyia kazi unadhani anakupenda sana pia?

Binadamu mbaya na mzuri ni binadamu,hakuna rangi ya mtu inamfanya eti asiwe mbaya au mzuri!

Vitu ni theory mpaka pale vitakapotokea!

Theory ni theory ni mpaka vitokee!

Na vikishatokea vinakua sio theory tena!

Hivyo usitulazimishe tuite theory eti ni reality wakati bado hakijatokea!

Theory itakua theory na tutaiita theory mpaka hapo itakapo graduate iwe tukio ndio tutaiita reality!

Usilazimishe jina B likawa A kwanza!
 
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijana
Eti uchumi wa tanzania imeshikwa na wageni

Aangalie skyscrapers na majengo yote ya CBD wamiliki wake nchini Tanzania alinganishe na Kenya, tena sio Dar peke yake, mikoa yote
Yeye anajua wazi kwamba Tanzania inaongoza Afrika katika "Economic inclusion index", iweje nchi yenye kushika namba moja katika uchumi shirikishi uchumi wake umilikiwe na watu wachache?
 
Kwhyo unamaanisha bila ya serikali tanzania kungelikua bado ni vijiji...manake kw usingizi mlokua nao, kamwe hamneliweza kuijenga miji yenu
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijana
Eti uchumi wa tanzania imeshikwa na wageni

Aangalie skyscrapers na majengo yote ya CBD wamiliki wake nchini Tanzania alinganishe na Kenya, tena sio Dar peke yake, mikoa yote
 
Kwhyo unamaanisha bila ya serikali tanzania kungelikua bado ni vijiji...manake kw usingizi mlokua nao, kamwe hamneliweza kuijenga miji yenu
Ndio maana halisi ya inclusive economy
 
Back
Top Bottom