REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hawafi njaa lakini.Kiufupi raia wengi maskini...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawafi njaa lakini.Kiufupi raia wengi maskini...
Wakenya wao wamekalia kuzalisha mirungi....mfano Geita peke yake ndani ya miezi 3 imezalisha Gold 1900 metric tonne kutoka kwa wachimbaji wadogo (hakuna mchimbaji mdogo asie mtanzania), hii dhahabu ina thamani ya zaidi ya billion 150, pesa yote hii imeingia kwenye mifuko ya Watanzania, Kenya hili halitokuja kutokea....
Wakati Tanzania inahangaika kutafuta wawekezaji nchi zingine zinataka kuwanyanganya wazungu ardhi. Wakishapewa ardhi hawana cha kuifanyia. Hao wazungu wabaneni walipe Kodi nchi iendelee. Hii Africa ijitathmini Kwanza.
Hii ni baada ya kuona kwamba, serikali ya Kenya inawasaidia wazungu waendelee kuikalia ardhi yao kwa mabavu waliyoichukua kwa nguvu kipindi cha ukoloni.
Kwasasa hivi ardhi hiyo ndio inayotumika na wazungu kulima chai huko maeneo ya Kericho na kuwaingizia wazungu pesa nyingi, wakati wananchi walitupwa katika maeneo yasiyokuwa na rutuba, hivyo kusababisha kuishi ktk Lindi la umasikini mkubwa na kutegemea chakula cha msaada kila mwaka.
South Africa wameliona hili tatizo la wazungu wachache kumiliki ardhi kubwa hivyo wameamua kupitisha sheria ya kuwarudishia wananchi ardhi yao.
Kenya waliunda tume ya " Ndungu", ambayo ilipendekeza kwamba, kutengenezwe sheria itakayowezesha wananchi kurudishiwa ardhi yao, lakini serikali ya Kenya imekataa kupeleka huo mswada Bungeni kwa kuwaogopa wazungu na familia ya Kenyatta.
Hawafi njaa lakini.
Njaa utaipata Tanzania kwa uvivu wa kula sio kwa kukosa chakula, kwanza bei tu za vyakula ni kama bureLkn hawana zaidi ya mihogo...ndo manake ikiwaishia hukosa maarifa na kuanza kula mafi
Jaribu kutofautisha kati ya "Investment" na "ownership" hasa katika muktadha wa kuwawezesha kiuchumi raia.Wakati Tanzania inahangaika kutafuta wawekezaji nchi zingine zinataka kuwanyanganya wazungu ardhi. Wakishapewa ardhi hawana cha kuifanyia. Hao wazungu wabaneni walipe Kodi nchi iendelee. Hii Africa ijitathmini Kwanza.