joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Tatizo hiyo chai na maua havina msaada wowote kwa nchi, zaidi ya kuonekana katika vitabu vya hesabu, lakini pesa yote inaingia katika benki za wazungu huko Ulaya na Marekani, serikali ya Kenya hata kodi haipati.Bora waache tu, wakirudishiwa wataifanyia nini? Angalau hata Muzungu anpanda maua na chai for export!
South Africa wameliona hili tatizo la wazungu wachache kumiliki ardhi kubwa hivyo wameamua kupitisha sheria ya kuwarudishia wananchi ardhi yao.
Kenya waliunda tume ya " Ndungu", ambayo ilipendekeza kwamba, kutengenezwe sheria itakayowezesha wananchi kurudishiwa ardhi yao, lakini serikali ya Kenya imekataa kupeleka huo mswada Bungeni kwa kuwaogopa wazungu na familia ya Kenyatta.
Tatizo hiyo chai na maua havina msaada wowote kwa nchi, zaidi ya kuonekana katika vitabu vya hesabu, lakini pesa yote inaingia katika benki za wazungu huko Ulaya na Marekani, serikali ya Kenya hata kodi haipati.
Kenya imejaza makabachori wa kutoshaHivi uchumi wa tanzania mnampango gani nao..manake naona wahindi tangu muwapokeze wanatamba nao tu
Wahindi Ni wazawa wa Tz kwani hujui hilo? πππHivi uchumi wa tanzania mnampango gani nao..manake naona wahindi tangu muwapokeze wanatamba nao tu
Hahahaha, Tanzania inaongoza katika inclusiveness, Kenya ni nchi ya mwisho, Tanzania kila mwananchi anamiliki uchumi, sio kwenu huko Wakikuyu na wazungu pekeeHivi uchumi wa tanzania mnampango gani nao..manake naona wahindi tangu muwapokeze wanatamba nao tu
Hahahaha, Tanzania inaongoza katika inclusiveness, Kenya ni nchi ya mwisho, Tanzania kila mwananchi anamiliki uchumi, sio kwenu huko Wakikuyu na wazungu pekee
Wahindi Ni wazawa wa Tz kwani hujui hilo? [emoji23][emoji23][emoji23]
Kenya imejaza makabachori wa kutosha
Watu wenu?? Tafakari utapata majibu usiwe mloziPunguza jazba...enedeleeni kuwatajirisha tu hku mkiwaita wazawa wakati watu wenu hohehahe
Sasa unabishana na dunia?, wewe lete tafiti ya kidunia inayoonyesha kwamba wahindi wanamiliki uchumi wa Tanzania. Kenya not yet UhuruHeheee...economic inclusiveness "my foot"
Hku wahindi utajiri wao una shamiri kila kuchao..
Si mbaya pia km mmekubali kuliwa[emoji119]
HahahahWaseme ukweli nani au familia gani inamiliki ardhi
Kama ni rutuba Mbona wanalima gomba?
Au gomba inastawi jangwani?
Kama mnataka ya Zimbabwe chomoeni betri tuone
Hao wahindi na waarabu biashara kubwa walionayo Tanzania ni import business like oil na viwanda, hakuna mtanzania asie na ardhi yenye rutuba, uchumi wa tanzania ni kilimo hasa kwenye nafaka, korosho, kahawa, pamba, tumbaku, chai nk na mashamba yote haya yanamilikiwa na watanzania, ukisikia Tanzania imeuza nje korosho 400k metric tonnes na kupata USD 800 millions jua hiyo pesa ni mtanzania kaingiza mfukoniPunguza jazba...enedeleeni kuwatajirisha tu hku mkiwaita wazawa wakati watu wenu hohehahe