Sasa unabishana na dunia?, wewe lete tafiti ya kidunia inayoonyesha kwamba wahindi wanamiliki uchumi wa Tanzania. Kenya not yet Uhuru
Watu wenu?? Tafakari utapata majibu usiwe mlozi
Hao wahindi na waarabu biashara kubwa walionayo Tanzania ni import business like oil na viwanda, hakuna mtanzania asie na ardhi yenye rutuba, uchumi wa tanzania ni kilimo hasa kwenye nafaka, korosho, kahawa, pamba, tumbaku, chai nk na mashamba yote haya yanamilikiwa na watanzania, ukisikia Tanzania imeuza nje korosho 400k metric tonnes na kupata USD 800 millions jua hiyo pesa ni mtanzania kaingiza mfukoni
Sio Kenya kinara wa kuuza chai na maua na pesa almost yote ni Mzungu katia kibindoni, huo upumbavu Tanzania haupo na ndio maana GDP yenu kubwa lakini wananchi ni mafukara wa kutupwa, pesa yote inayozalishwa inachukuliwa na wageni.
Tanzania ni resourceful Country, mfano Geita peke yake ndani ya miezi 3 imezalisha Gold 1900 metric tonne kutoka kwa wachimbaji wadogo (hakuna mchimbaji mdogo asie mtanzania), hii dhahabu ina thamani ya zaidi ya billion 150, pesa yote hii imeingia kwenye mifuko ya Watanzania, Kenya hili halitokuja kutokea.Punguza jazba...enedeleeni kuwatajirisha tu hku mkiwaita wazawa wakati watu wenu hohehahe
Jaribu kujikita kwenye hojaInsha ya nini jomba...anyway..najua imekuingia,
Unamsikiliza huyu dada conspiracy theorist with unfounded claims?
Dada delusional sana huyu
Hua anadhani hii dunia inaendeshwa na watu wa kufikirika in cahoots...
Mifikiriko scifi movies tupu
DC mbabe au DC asiyejielewa??? We kutokumwambia dereva unakokwenda ni ubabe au "USHAMBA"? in Zitto Voicekiaina kitabia kwa muonekano wa maongezi yake anafanania DC mbabe wa Kilolo.
Jaribu kujikita kwenye hoja
Tanzania ni resourceful Country, mfano Geita peke yake ndani ya miezi 3 imezalisha Gold 1900 metric tonne kutoka kwa wachimbaji wadogo (hakuna mchimbaji mdogo asie mtanzania), hii dhahabu ina thamani ya zaidi ya billion 150, pesa yote hii imeingia kwenye mifuko ya Watanzania, Kenya hili halitokuja kutokea.
Note that amount of money is for 4 months only
Jaribu kuleta hoja badala ya mipashoInsha zako haziwezi kuufuta ukwel
Hoja azitoe wapi?, hiyo ni dalili kwamba ameelewa ukweli, ila kawaida mtu mzima mwenye akili finyu, sio rahisi kukubali hadharani.Jaribu kuleta hoja badala ya mipasho
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijanaHoja azitoe wapi?, hiyo ni dalili kwamba ameelewa ukweli, ila kawaida mtu mzima mwenye akili finyu, sio rahisi kukubali hadharani.
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijanaHoja azitoe wapi?, hiyo ni dalili kwamba ameelewa ukweli, ila kawaida mtu mzima mwenye akili finyu, sio rahisi kukubali hadharani.
Jaribu kuleta hoja badala ya mipasho
Nyie vijana sijui mkoje. Yaani kwa kwa akili yako unaona nadharia za njama haziwezi kuwa halisi. Wewe unafikiri wazungu unavyowafanyia kazi na kukulipa unafikiri wanakupenda sana.
Kama huamni ya kwa njama ni msingi wa wazungu kuitawala dunia, fuatilia kwa nini km wa un aliyekuwa raia wa usuidi alikufa kwenye ajali ya ndege kule lusaka zambia. Fuatilia kwa makini kwa nini maeneo mengi yenye rasilimali ndiyo yenye machafuko? nani yuko nyuma ya haya machafuko? na lililo wazi kwa nini gadaf aliuawa?
Fuatilia kwa mawazo chanya utakuja kuniambia.
Yeye anajua wazi kwamba Tanzania inaongoza Afrika katika "Economic inclusion index", iweje nchi yenye kushika namba moja katika uchumi shirikishi uchumi wake umilikiwe na watu wachache?Ana ufinyu wa ajabu huyu kijana
Eti uchumi wa tanzania imeshikwa na wageni
Aangalie skyscrapers na majengo yote ya CBD wamiliki wake nchini Tanzania alinganishe na Kenya, tena sio Dar peke yake, mikoa yote
Ana ufinyu wa ajabu huyu kijana
Eti uchumi wa tanzania imeshikwa na wageni
Aangalie skyscrapers na majengo yote ya CBD wamiliki wake nchini Tanzania alinganishe na Kenya, tena sio Dar peke yake, mikoa yote
Ndio maana halisi ya inclusive economyKwhyo unamaanisha bila ya serikali tanzania kungelikua bado ni vijiji...manake kw usingizi mlokua nao, kamwe hamneliweza kuijenga miji yenu
Ndio maana halisi ya inclusive economy