Wakenya washinda medali ya dhahabu na fedha mtawalia kwenye mbio za marathon kule Tokyo

Wakenya washinda medali ya dhahabu na fedha mtawalia kwenye mbio za marathon kule Tokyo

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Kama kawaida Wakenya wanaendelea kukusanya medali kadhaa kule, vipi majirani kunaye anatajika hata kuonekana tu kwenye TV.

• Fellow Kenyan Brigid Kosgei took silver and Molly Seidel of the United States took bronze
• Battling hot and humid conditions, Chepng'etich dropped out around the 30km mark, while Israel's Lonah Chemtai Salpeter dropped out at the 38km stage after looking like a strong contender for bronze

Peris Jepchirchir celebrates after winning gold for Kenya
Peris Jepchirchir celebrates after winning gold for Kenya. Image: REUTERS
Kenya's Peres Jepchirchir won the Olympic women's marathon in Sapporo on Saturday, claiming the country's second consecutive gold medal in the event.

Fellow Kenyan Brigid Kosgei took silver and Molly Seidel of the United States took bronze.

Kenya's Kosgei, the world record holder, and world champion Ruth Chepngetich had been favourites to win on Saturday.

But it was two-time world half-marathon champion Jepchirchir who came out on top after breaking out of a virtual tie with Kosgei at the 40km mark.

Jepchirchir finished with a time of 2:27:20, 16 seconds ahead of Kosgei.

Seidel, competing in just her third marathon after moving up from shorter distances, finished 26 seconds behind.

Battling hot and humid conditions, Chepng'etich dropped out around the 30km mark, while Israel's Lonah Chemtai Salpeter dropped out at the 38km stage after looking like a strong contender for bronze.

Hongereni sana.

Tanzania pamoja na Uhuru mkubwa tulionao, maeneo na muda wa kufanya mazoezi tupo tupo tu.

Kesi kibao, Majungu kibao, ukiritimba kibao, Uvivu n.k vijana hawana interest na mazoezi

Thanks to Philbert Bay, Nyambui, Shahanga, John Yuda na Giants wengine wa miaka ile.
 
Mtanzania Failuna Matanga alimaliza wa 24 kwenye mbio za marathon, heko kwake kwa kuwakilisha nchi ya wazembe

FB_IMG_16283134922170763.jpeg
 
Mkuu nisaidie kidogo kama nimepitiwa, hivi Eliud Kipchoge ameshakimbia?? When??

Kesho jumapili ndio shughuli yake, inasubiriwa maana ndio Olympic yenyewe, mengine huwa mapambo tu, yaani marathon ya wanaume kwenye Olympic husababisha dunia isimame, hapa nina tumbo joto maana duh sijui itakuaje japo jamaa ametuhakikishia atafanya yake.
 
Hehehe! ila hongereni kwa kweli huo ni ushindi mkubwa hata kuonekana kwa TV ni shwari sana.
Hivi mkoa wa Arusha au kule Iringa kwenye baridi baridi hamna kabisa wanariadha.
Jiulize wewe kama Ukikuyuni hamna wanariadha. Washindi wote ni Wakalenjin, hata Wakalenjin wa Uganda wanashinda medali.
 
Jiulize wewe kama Ukikuyuni hamna wanariadha. Washindi wote ni Wakalenjin, hata Wakalenjin wa Uganda wanashinda medali.

Ni Wakenya kama namna huwa Watanzania wanaotajika kwenye nyimbo za Kibongo wote wa Kigoma kule kwa Warundi ila wanafahamika kama Watanzania.
 
Ni Wakenya kama namna huwa Watanzania wanaotajika kwenye nyimbo za Kibongo wote wa Kigoma kule kwa Warundi ila wanafahamika kama Watanzania.
Ni Wakalenjin na hawana uhusiano na Bantu kama wewe.

Ukiita Watanzania wavivu kwa kuwa hawashindi riadha ina maana hata wewe na Bantu wenzako ni wavivu.
 
Kesho jumapili ndio shughuli yake, inasubiriwa maana ndio Olympic yenyewe, mengine huwa mapambo tu, yaani marathon ya wanaume kwenye Olympic husababisha dunia isimame.....hapa nina tumbo joto maana duh sijui itakuaje japo jamaa ametuhakikishia atafanya yake.....
Safi sanaaa..Asante sana kwa hii taarifa.
Kwa muda wetu wa EAfrica mbio zitaanza saa ngapi Mkuu??
 
Kesho jumapili ndio shughuli yake, inasubiriwa maana ndio Olympic yenyewe, mengine huwa mapambo tu, yaani marathon ya wanaume kwenye Olympic husababisha dunia isimame, hapa nina tumbo joto maana duh sijui itakuaje japo jamaa ametuhakikishia atafanya yake.
Jepchirchir leo amewakimbiza vibaya sana kwenye Women Marathon.
Hongera Kenya.
 
Ni Wakalenjin na hawana uhusiano na Bantu kama wewe.
Ukiita Watanzania wavivu kwa kuwa hawashindi riadha ina maana hata wewe na Bantu wenzako ni wavivu.
Samuel wanjiru, Catherine dereba, david rudisha n.k walkua wakalenjin?
 
Back
Top Bottom