MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #41
Pamoja na yote hapo, dada zenu wanatuelewa saaana, sababu we can practice that art and entertain them. Kale kamchezo tunakajua haswa. Mimi ninao watatu hapo Nairobi. Mmoja ameolewa [emoji3]
Kwenu huko imeshindikana mpaka mnatiwa viberiti na dada zenu, ila Bongo kwa vituko, nimecheka juzi kuona sehemu eti waziri ameagiza hakuna tena mambo ya kufumania, ukijua mkeo analiwa gesti wewe tulia waache kwenye faragha yao, ndio uhuru wao....mtarogana sana na mlivyo washirikina.