Pamoja na yote hapo, dada zenu wanatuelewa saaana, sababu we can practice that art and entertain them. Kale kamchezo tunakajua haswa. Mimi ninao watatu hapo Nairobi. Mmoja ameolewa [emoji3]
Ukabila ni kitu gani? Hayo unayoita makabila ndiyo mataifa yetu halisi.Hehehe!! Umeukimbia ukabila uliokua unajifichia na kurudi kwenye utaifa, isingekua kwa hao Warundi wa Kigoma sidhani kama mngetajwa popote, nakumbuka ile Kigoma all star, nilishangaa hata Ali Kiba ambaye hakushirikishwa kumbe naye wa huko.
Ukabila ni kitu gani? Hayo unayoita makabila ndiyo mataifa yetu halisi.
Mbio ndefu ni vita ya Wakalenjin na Waoromo, hamna cha kuongeza hapo.
Nyie wavivu wengine tulieni tu.
kilam!!!!!!Naam mama nitiliye kikombe cha supu kiti-mtu na pilipili nituliyHayo makabila mnayo zaidi ya 100 wote wazembe wa kutupwa, hamtajwi kwenye chochote, labda zile sifa za kutafuna albino tu....hehehe
Utaambiwa ameshiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mtanzania Failuna Matanga alimaliza wa 24 kwenye mbio za marathon...heko kwake kwa kuwakilisha nchi ya wazembeView attachment 1883587
Bila ya wale wanyarwanda wa kile kigoma basi bongo flava ingekua km utopolo tu[emoji1787][emoji1787]Ukabila ni kitu gani? Hayo unayoita makabila ndiyo mataifa yetu halisi.
Mbio ndefu ni vita ya Wakalenjin na Waoromo, hamna cha kuongeza hapo.
Nyie wavivu wengine tulieni tu.
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanariadha Kenya ni wakalenjin ila sio sahihi kwamba wote ni wakalenjin.Jiulize wewe kama Ukikuyuni hamna wanariadha. Washindi wote ni Wakalenjin, hata Wakalenjin wa Uganda wanashinda medali.
Mazezetas panapo wali na chakula kizuri medali zote wangechukuwa bila ubishi!!!!Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanariadha Kenya ni wakalenjin ila sio sahihi kwamba wote ni wakalenjin.
Hellen Obiri ameiletea kenya sifa kwenye riadha ila ni mkisii
David Konchella na David Rudisha wameiletea Kenya sifa ila wote ni Maasai.
Samuel Wanjiru na Erick Wainaina wameiletea Kenya sifa tele kwenye riadha ila wote ni wakikuyu. I can give you a very long list of successful kenyan athletes from other tribes.
Riadha huwa inatawaliwa na makabila manne Kenya i.e The maasais, Kikuyus, Kalenjins and Kisiis ila kwa miaka za hivi karibuni, Kenya inapata uwakilishi kutoka kwa makabila mengine mbali na zile zinazojulikana. Kwa mfano, mwaka huu kule Tokyo Kenya iliwakilishwa kwenye mbio za mita 100 na wanariadha wawili kutoka kabil la Luo na Luhya. Je, hawa bado ni wakalenjin?
Fanyeni ima kwenye michezo na muwache hizi visingizio.
Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanariadha Kenya ni wakalenjin ila sio sahihi kwamba wote ni wakalenjin.Jiulize wewe kama Ukikuyuni hamna wanariadha. Washindi wote ni Wakalenjin, hata Wakalenjin wa Uganda wanashinda medali.
Mzezetas wamo kwenye obwabwa na wali.WaTz tunawaona sanaView attachment 1885891
Yaani hadi Syria ambao wamekuwa kwenye vita kwa zaidi ya miaka kumi wana medali moja ya shaba.WaTz tunawaona sanaView attachment 1885891
Taja majina ya walioshinda medali kama siyo wote akina Kip na Chep/Jep.Ni kweli kwamba asilimia kubwa ya wanariadha Kenya ni wakalenjin ila sio sahihi kwamba wote ni wakalenjin.
Hellen Obiri ameiletea kenya sifa kwenye riadha ila ni mkisii
David Konchella na David Rudisha wameiletea Kenya sifa ila wote ni Maasai.
Samuel Wanjiru na Erick Wainaina wameiletea Kenya sifa tele kwenye riadha ila wote ni wakikuyu. I can give you a very long list of successful kenyan athletes from other tribes.
Riadha huwa inatawaliwa na makabila manne Kenya i.e The maasais, Kikuyus, Kalenjins and Kisiis ila kwa miaka za hivi karibuni, Kenya inapata uwakilishi kutoka kwa makabila mengine mbali na zile zinazojulikana. Kwa mfano, mwaka huu kule Tokyo Kenya iliwakilishwa kwenye mbio za mita 100 na wanariadha wawili kutoka makabila ya Luo na Luhya. Je, hawa bado ni wakalenjin?
Fanyeni ima kwenye michezo na muwache hizi visingizio.
Kip na chep/jep ushidi umetokana na kula wali na chakula kizuri.Taja majina ya walioshinda medali kama siyo wote akina Kip na Chep/Jep.
Hakuna haja kuwasifia wenzio mikiwa shingo upandeTusipowasifia Wakenya kwenye hili, utakuwa ni roho ya kichawi tu.
Ushindi umetokana na vinasaba vyao ndiyo maana hata Wakalenjin wa Uganda (Sebei) nao wanashinda.Kip na chep/jep ushidi umetokana na kula wali na chakula kizuri.
Waoromo pia wakula wali na chakula kizuri.Ushindi umetokana na vinasaba vyao ndiyo maana hata Wakalenjin wa Uganda (Sebei) nao wanashinda.
Wakalenjin na Waoromo wana uwezo wa kiasili wa kukimbia mbio ndefu.
Hio ya mziki ni msimu tu, hata sisi enzi za awali, mziki wa Kenya ndo ulikua unatambulika hapa EA... Kabla hapo enzi z 80's mziki wa Congo ndo ulikua unatambulika EA... Alafu juzi juzi kuanzia 2005-2017 hapo, Nigeria na SA ndo miziki yao ilikua inapigwa sana sana.... Sahii ni msimu wenu hapa EA, mziki wenu unatambulika zaidi lakini kama nilivyosema, ni msimu wenu... Ipe miaka kumi utapata Uganda ndo imeshikilia ama Kenya imerudi tena kwa radio na Tv na club zote EA.....Mbona Tanzania kuna wanamuziki wengi wazuri kuliko Kenya?
Siyo Kenya bali Wakalenjin. Wewe Mkikuyu hahusiki na riadha.Hio ya mziki ni msimu tu, hata sisi enzi za awali, mziki wa Kenya ndo ulikua unatambulika hapa EA... Kabla hapo enzi z 80's mziki wa Congo ndo ulikua unatambulika EA... Alafu juzi juzi kuanzia 2005-2017 hapo, Nigeria na SA ndo miziki yao ilikua inapigwa sana sana.... Sahii ni msimu wenu hapa EA, mziki wenu unatambulika zaidi lakini kama nilivyosema, ni msimu wenu... Ipe miaka kumi utapata Uganda ndo imeshikilia ama Kenya imerudi tena kwa radio na Tv na club zote EA.....
Lakini tukirudi huku kwa Olimpiki, hakuna Cha msimu, Kenya imeshikilia uongozi yangu uzaliwe hadi Sasa na hakuna ata nchi moja inayotukaribia kabisa!
______
. Africa counts since 1956 a prize list of 286 medals won. The majority of the medals are won by Kenya (86) in Ethiopia (45) in Athletics and South Africa (32), especially in swimming.