Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Hahaha! Mzee uko local sana, nimekutajia hao juu ukimuona hellen au flavi kavaa hayo mawigi ujue anayapromote broh, hivi wewe unaijua hata beauty industry kweli? Ukute eliety, lupita, flavian, odemba kava wigi ujue anapiga pesa, hivi wewe mwenzangu unaongelea wakina mobeto au? Unaweza kuta wote tuko sawa sema kila mtu anaongelea angle yake, na kwa taarifa tu natural cosmetics ni gharama kuliko hizo carolite,
Hayo maandishi yako yanaonyesha unaongelea wakina giggy money, sio haba pia.

Bt; Umehamisha mada tunaongelea kujichubua sio kujiremba,
Kujichubua; ni kubadilisha ngozi ya mwili wako ili ufanane na mzungu. Mf; kutoka Mwantumu kuwa Lady gaga
 
Wewe una ushamba wa kuzaliwa nao, hivi unajua biashara ya urembo na vipodozi ilivyokubwa?, kati ya wanawake 10 hapa Afrika, 8 kati yao wanatumia artificial hair, ukimkuta msichana hana arificial hair labda ameziacha kwa muda tu, wewe endelea kupingana na huo ukweli, dunia itakuacha nyuma
 
Wewe una ushamba wa kuzaliwa nao, hivi unajua biashara ya urembo na vipodozi ilivyokubwa?, kati ya wanawake 10 hapa Afrika, 8 kati yao wanatumia artificial hair, ukimkuta msichana hana arificial hair labda ameziacha kwa muda tu, wewe endelea kupingana na huo ukweli, dunia itakuacha nyuma
 
True, Nancy angefika mbali sana ila ndio hivyo kamati yenyewe ya Miss Tanzania ilikua magumashi top ten hakufika.
Nancy alikuwa miss tanzania 2005. Alikuwa 6th runner miss world. Na alikuwa miss world africa. She is the most beautiful woman I ever seen.
 
Nancy alikuwa miss tanzania 2005. Alikuwa 6th runner miss world. Na alikuwa miss world africa. She is the most beautiful woman I ever seen.
wow!! kumbe top ten alifika aiseeee hongera zake.
Yes that woman is so beautiful and classic,
Nimependa alivyoweza ku maintain mwili wake hadi sasa.... hakika anavutia mrembo huyu.
 
Bosi mbona unakichwa kigumu sana kuelewa, nimekwambia kuwa nimekuelewa na uko sawa, uzuri ni kwamba umeongelea warembo kwa angle yako na mimi nimeongelea kwa angle yangu, ni kwamba uko sawa kabisa wala haujakosea,



Ukitazama hizo picha juu, wote ni warembo haswaa, ila kila mtu ana mtazamo tofauti katika urembo kuna natural beauty na fake beauty, kwangu mimi mrembo ni yule ambaye bila kuwa na make ups wala mawigi still anaonekana mrembo, na sio lazima uelewe ila mimi nimekuelewa, hao wote kwenye picha ni warembo haswaa, inategemeana na unauangalia urembo katika angle gani.
 
Ni kweli kabisa nakubaliana na wewe kwenye hilo, kama unavyoona.
 
You have no idea ni namna gani umenichekesha! Ohh boring!
 
ISS AFRICA WORLD 2017 AND MISS KENYA/NO4 MISS WORLD 2017








Nikiangalia picha za hawa mamiss inanifanya niwaze what happened historically hadi hili shindano liwe ni la wadada warefu, wembamba? Wajuzi hebu fafanueni tujifunze.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…