Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Sasa muoneni huyo bint sura na macho yake, hii ni bangi au hata mirungi inafanya macho yawe mekundu?, huyu mimi nikivaa gauni na kuweka makeups ninamkalisha, haniwezi kabisa huyu
Duuh!!! you wish??
Una english figure kama huyo mrembo???
Ngozi yako ni nyeusi ya kuteleza kama yeye??

Nitafute nikuapply make up then nikupe dili nono.
lol
 
Duuh!!! you wish??
Una english figure kama huyo mrembo???
Ngozi yako ni nyeusi ya kuteleza kama yeye??

Nitafute nikuapply make up then nikupe dili nono.
lol
Wewe hujui warembo wala hujawahi kuona warembo, huyu ana urembo gani?, jicho kama la Uhuru Kenyata, njoo uje uone warembo huku, sasa huyo na Lupita wametofautiana nini?
 
Ila mikenya ni mi ugly aisee, hawajakosea demu mzuri ni huda tu amani na nazizi kwa vile mastaa
 
impact ya ukabila iyo wanyarwanda nao kuoana ndugu. ( hujui kaka na shemeji ni yupi wanafanana)
back home Tz wamakonde wahamishiwe msumbiji au makumbusho ya taifa pia coz wamebaki kuoana wao kwa wao tu hawajichanganyi jamii mzima ni wafupi round face, similar nose oooh boaring
 
Wewe hujui warembo wala hujawahi kuona warembo, huyu ana urembo gani?, jicho kama la Uhuru Kenyata, njoo uje uone warembo huku, sasa huyo na Lupita wametofautiana nini?
Lol.... Emancipate yourself from mental slavery.....
Najua hapo kwako ili mtu awe mrembo shart awe mweupe na chura.
my dear, hujui tofauti ya UZURI na UREMBO??
That girl is so beautiful whether you like it or not.
 
Wala sijataja rangi ya ngozi, mimi nimetaja rangi ya macho tu, ninajua umeanza kujistukia mwenyewe, kumbuka watanzania hawana mawazo ya kitumwa kama wakenya wanavyowanyenyekea na kuwaabudu wazungu hadi kwenye lugha ya kiingereza, huyo binti kwa Kenya ni mrembo, ila akifika bongo ni daraja la tatu
 
Rangi ya macho yake ndio ikufanye wewe utamani kupaka make up ili ushindane nae??? Seriously???

hebu tuseme "kizuri hakikosi kasoro" hapo vipi,
na ume admit kua ni mzuri ila macho yake tu ndio hayajakubariki... lol
 
Wewe kichwa chako kimejaa nyuki?, mimi wapi nimesema ni mzuri huyo binti?, katika kumkosoa kwangu eneo moja wapo nililotaja ni macho, wala sijagusa rangi ya ngozi, ila hana sura nzuri kabisa, na hayo macho yake yalivyo, ndiyo yanazidi kumuangusha, umbo lake juu hadi chini ni kama mti, huyo uzuri wake ni upi? hivi wewe ulishaona wasichana warembo?, vuka mpaka uje uone warembo, acha kujifungia Kibera
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…