Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Duuh!!! you wish??Sasa muoneni huyo bint sura na macho yake, hii ni bangi au hata mirungi inafanya macho yawe mekundu?, huyu mimi nikivaa gauni na kuweka makeups ninamkalisha, haniwezi kabisa huyu
Una english figure kama huyo mrembo???
Ngozi yako ni nyeusi ya kuteleza kama yeye??
Nitafute nikuapply make up then nikupe dili nono.
lol