Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Tanzania Kuna Warembo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lol, i'm Tanzanian my friend and you don't have to panic..... do you know that girl is MISS WORLD AFRICA??? which means in Africa she is a number one, lol....Wewe kichwa chako kimejaa nyuki?, mimi wapi nimesema ni mzuri huyo binti?, katika kumkosoa kwangu eneo moja wapo nililotaja ni macho, wala sijagusa rangi ya ngozi, ila hana sura nzuri kabisa, na hayo macho yake yalivyo, ndiyo yanazidi kumuangusha, umbo lake juu hadi chini ni kama mti, huyo uzuri wake ni upi? hivi wewe ulishaona wasichana warembo?, vuka mpaka uje uone warembo, acha kujifungia Kibera
Kama wewe ni mtanzania basi sio rizikiLol, i'm Tanzanian my friend and you don't have to panic..... do you know that girl is MISS WORLD AFRICA??? which means in Africa she is a number one, lol....
Sasa hao warembo wako wakusanye na wewe uwavike mataji lakini Dunia imemuona na kumtambua kua the girl ana deserve.
Unachoendeleza ni chuki ambayo kama ni mwanaume inaleta taswira mbaya.
Have a good day.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kama wewe ni mtanzania basi sio riziki
Sasa muoneni huyo bint sura na macho yake, hii ni bangi au hata mirungi inafanya macho yawe mekundu?, huyu mimi nikivaa gauni na kuweka makeups ninamkalisha, haniwezi kabisa huyu
kwa mtazamo wangu mimi sio kwamba ndo mzuri africa huyu dada, bali ni mzuri kati ya walioshiriki mashindano hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Lol, i'm Tanzanian my friend and you don't have to panic..... do you know that girl is MISS WORLD AFRICA??? which means in Africa she is a number one, lol....
Sasa hao warembo wako wakusanye na wewe uwavike mataji lakini Dunia imemuona na kumtambua kua the girl ana deserve.
Unachoendeleza ni chuki ambayo kama ni mwanaume inaleta taswira mbaya.
Have a good day.
Hahahahahaha leave my girl alone.kwa mtazamo wangu mimi sio kwamba ndo mzuri africa huyu dada, bali ni mzuri kati ya walioshiriki mashindano hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
hivi seriously ukisema warembo utamuweka????
kuna wanawake warembo na wazuri sema hawashiriki hayo mashindano ya kuuza sura
Lol, i'm Tanzanian my friend and you don't have to panic..... do you know that girl is MISS WORLD AFRICA??? which means in Africa she is a number one, lol....
Sasa hao warembo wako wakusanye na wewe uwavike mataji lakini Dunia imemuona na kumtambua kua the girl ana deserve.
Unachoendeleza ni chuki ambayo kama ni mwanaume inaleta taswira mbaya.
Have a good day.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] nimemuachaHahahahahaha leave my girl alone.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni msichana?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Haya bhana.
Najua kaka zangu wa Kitanzania nyie mnatazama
Wowowo.
Na mimi nimejua hilo ndio maana nikasema anatazama wowowo....Culture G..
Huyu jamaa naona hakuelewi kimawazo. Mwenzako usikute anawaza wale warembo wetu, (if you know what am talkin' bout...lol)
Wakati mdada kama huyu kuwa 4th in the World wameangalia mengi.
Physically, hizo cheekbones zake is one of the big deals in the world of beauty. Mfano mwingine ni kama zile za Flaviana Matata.
Halafu kuna vitu vingine wanaangalia kama Upstairs kuko bien, Personality, Communication skills, demeanour..
Na vingine ambavyo ame qualify in order to present beauty Internationally.
Sasa sie kwani tuna muda wa kuangalia hayo yote basi..
Mungu wangu afu ndio nakumbuka sasa hivi kumbe mimi ni msichana eeeh. lol[emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe ni msichana?
[emoji3][emoji2][emoji2][emoji3] [emoji3] [emoji3] nimemuacha
Sasa mbona unataka kuniangusha dada yangu?, hapo kwa huyo mkenya kuna uzuri gani?, may be she is exposed and had an opportunities to participate in international contents, ila hebu sema ukweli, wala sio wowowo, huyo ana sura ya mzee Moi huyo, urembo upo wapi?Mungu wangu afu ndio nakumbuka sasa hivi kumbe mimi ni msichana eeeh. lol