Wakenya washinda shindano la watu wenye muonekano mbaya zaidi Afrika.

Status
Not open for further replies.
Habari mbaya hawa noisy neighbours [emoji3]
 
Lol, i'm Tanzanian my friend and you don't have to panic..... do you know that girl is MISS WORLD AFRICA??? which means in Africa she is a number one, lol....

Sasa hao warembo wako wakusanye na wewe uwavike mataji lakini Dunia imemuona na kumtambua kua the girl ana deserve.
Unachoendeleza ni chuki ambayo kama ni mwanaume inaleta taswira mbaya.

Have a good day.
 
Kama wewe ni mtanzania basi sio riziki
 
Nimesoma maelezo kuhusu wakikuyu mhhhh,

Itabidi nikipata likizo nine niwaone ndugu zangu TV sometimes lies.
 
kwa mtazamo wangu mimi sio kwamba ndo mzuri africa huyu dada, bali ni mzuri kati ya walioshiriki mashindano hayo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]

hivi seriously ukisema warembo utamuweka????

kuna wanawake warembo na wazuri sema hawashiriki hayo mashindano ya kuuza sura
 
Hahahahahaha leave my girl alone.
 
Absolute nonsense ,we are a beautiful people. Africa oyee.
 


Culture G..
Huyu jamaa naona hakuelewi kimawazo. Alivyosema mdada kama mti, that's it.
Mwenzako usikute anawaza wale warembo wetu, (if you know what am talkin' bout...lol)
Wakati mdada kama huyu kuwa 4th in the World wameangalia mengi.

Physically, hizo cheekbones zake is one of the big deals in the world of beauty. Mfano mwingine ni kama zile za Flaviana Matata.

Halafu kuna vitu vingine wanaangalia kama Upstairs kuko bien, Personality, Communication skills, demeanour..
Na vingine ambavyo ame qualify in order to present beauty Internationally.
Sasa sie kwani tuna muda wa kuangalia hayo yote basi..
 
Na mimi nimejua hilo ndio maana nikasema anatazama wowowo....
wanajua urembo ni sura na shepu ya kibantu hawajui hata kichwan pia kunatazamwa.

Halafu umeongea kweli that girl look alike na Flaviana Matata i remember hata Nancy Sumari alikua/yupo kama huyu beauty.
Miss World sio jambo la mchezo mchezo aiseee.
 
Mungu wangu afu ndio nakumbuka sasa hivi kumbe mimi ni msichana eeeh. lol
Sasa mbona unataka kuniangusha dada yangu?, hapo kwa huyo mkenya kuna uzuri gani?, may be she is exposed and had an opportunities to participate in international contents, ila hebu sema ukweli, wala sio wowowo, huyo ana sura ya mzee Moi huyo, urembo upo wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…