Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Wawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi. Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....

Mimi katika hili namhurumia mkulima tu maana anazalisha kwa shida lakini inapofikia kutengeneza walau faida imsaidie anazuiwa kuuza. Kwann mfanyabiashara hazuiwi kuuza bidhaa zake na wala hawekewi masharti auze wapi?? Huu ni uonevu mkubwa na hatutakuja kukomboa wakulima wetu wataendelea tu kuwa masikini kwakwel. Hata kama kisingizio ni uhaba wa chakula lakini wanachofanyiwa wakulima ni uonevu mkubwa
 
wewe kweli ni mlevi......linganisha gape la nyuma mlilo tuacha kisha linganisha na sasa.........kama baba yako msouth amedrop sembuse kakenya hako.........

matokeo chanya siku hadi siku yanachanua.......endelea kuvuta ugolo kisha soon utakachokiona ndicho kitakachoendelea.....tukiendelea kuwa na pumzi tutakutana humu humh sijui utaongea nini[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Haya hayaaa mpeleke mahind
Bungoma na ujaluon huko
Kisumu maana njaa inawauwaa
Nafkr kuanzia next week


Unga wa 90,utajaa supermarket ila haumaliz
30minutes kama haujaisha
 
Wewe mwehu kabisa, Tz hatuna unga wa kutosha bwana. Tutawauzia watu Kagame maana hata wao hawana mavuno mazuri
 
Duh, Njaa mbaya aisee, njaa haina baunsa (walinena wahenga)
Mnamaliza Dunia nzima aisee,
Mnahemea kotekote. Israel, Brazil, Uchina, Uhabeshi na sasa mmeturuka na Kwenda kuhemea Zambia.
Haha haha
Hayo mahindi pitisheni maputo then Deep see,
Maana yakikanyaga kwenye Highways zetu mtatozwa kodi ndefu .
 
Kwenda Kule, sasa nyie mnahela gani yakututisha kiasi hicho. Tukiamua kuyauza hata Sudani na Kongo tutapeleka. Ila kwa sasa habari ndio hiyo piga lock tu kwa kwenda mbele.
 
Zambia napo mtanunua kienyeji kama mnavyofanya Tanzania? Mlifuata njia stahili mkakataliwa? Tatizo lenu mnawafanya wa-Tanzania wapumbavu, sidhani kama serikali inajua kwamba mnafika hadi Dodoma kununua zabibu, sasa ngoja mstukiwe wezi wakubwa nyie,.sasa kawaibieni na Zambia
 
kumbe umewaona eeh ni vibaka waliozeeka hawana new plan wameishiwa

stupid kenyan
 
Mngekuwa matajiri mngenunua mahindi? Super markets hakuna unga.mtakula jeuri yenu.
 
stupid kenyan excavating oldies to please his downtrodden soul ,leta habari mpya sio unawayawaya we nyang'au
 
Wazambia hawa hawa ninao wafahamu jirani zangu huku tunduma wanaofunga maduka kwenda kugegeda wake zao lunchtime.[emoji23][emoji23]
 
Umesema kwel kabisa,sababu lilikuwa jambo lenye maslahi kwa Wakulima wa TZ wangekubal hivyo hivyo,ambacho wangewakomesha ni kuwapiga bei kubwa lakin siyo kukataa kuuza mahindi
 
Hayo mahindi yataisha ndani ya wiki moja tu na yote yataishia kule ukikuyu kama yale ya Mexico kama sio Israel!

Baada ya happ mtarudi bongo na safari hii lazima tuwauzie ugali kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hapo tu ndo unaniachaga hoi! Mambo ya 2013 lol
 
Baki hivyo hivyo! Israel wanalima bustani kwa kununua udongo, lakini unawaonaje!?
Yaani Israel inalima kwa kununua udongo halafu nyie mnalia njaa ilihali shamba lenu ni kubwa? poor Kenyan!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…