Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Yaani watu wamekariri sana kenya imeshaona Tanzania tunaingiza mafuriko ya bidhaa mpaka wanazuia bidhaa zetu za ngano, gas, n.k ili kuweka balance kiuhalisia saivi hakuna bidhaa hata moja inayozalishwa kenya Tanzania haizalishwi na viwanda vyetu.
huo ndiyo uhalisia
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa! Hivi suala la ardhi kukosa rutuba kwa karne hii ya 21 nalo ni la kuweka mtandaoni eti ndo linasababisha njaa?

Tena eti mnajiita middle income wakati hata mnashindwa kununua mbolea ya kurutubisha mashamba! Mnazidiwa na sisi wakulima wetu wanakopeshwa pembejeo!

Mngakuwa jangwani kama nchi nyingine si ndo mngekufa kabisa kwa kulia lia kwenu!

BTW, Labda nikifahamishe kuwa sio kuwa maeneo yote tz yana rutuba ya asili! Rutuba huisha kadri matumizi yanavyoongezeka! Tunatumia mbolea! Pia maeneo mengine yanapata changamoto ya mvua, ndo maana chakula kinatoka sehemu moja ya nchi na kuwapekekea!

Sio kama Kenya ambako nchi nzima inakuwa haina chakula.
Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
 
tukitoka malawi tunakuja kenya baada ya kenya tutaenda burundi na mwisho rwanda usiwaze.....
 
Kama wana reserve ya kutosha haina shida, serikali ya kule walipokataliwa ilitathmini vizuri Hali halisi ya chakula, haijafanya baya lolote lile, kwa kweli ile serikali nimeipenda sana, imeonyesha kumjali mwananchi wake
 
Ardhi yetu 70% ni kame tupu ilhali nyie mna ardhi kubwa kiasi cha kuunganisha Uganda, Rwanda na Kenya na bado mbaki na chenji halafu yote ina rotuba lakini cha kushangaza mnakwenda kubembeleza Malawi wawauzie mahindi.
Bwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia!

Juzi hapa mmepewa mahindi na Israel! Hivi unajua Israel nchi nzima ni jangwa? Au basi Egypt, wako jangwani, ushaskia wanalalamika njaa? Hao ndo tunaona umuhimu wa uchumi wao!

Sio nyie nyang'au mnaishia kujisifu uchumi mkubwa wakati hamwezi hata kununulia wakulima mbolea, au kuanzisha irrigation scheme hata moja!

Shame on you!
 
machizi kabisa
 
Kwani fursa ni maindi pekee ok hatutaki kwani lazima tuwauzie,wakwende zao,wajifunze kulima na wao,mbona wao walisha tufanyiaga fitina tulipotaka tuuze meno yetu?
government ya kenya ni inajihofia sana......na Tanzania
 
Hao Zambia nao vimaindi vyenyewe vya bustani alafu wanajidai kuuza sijui maelfu ya matani,.soon utaskia wanakunya upepo.
We wahache tu,kulima kwenyewe wamejifunza kipindi cha chiruba badara wajidhatiti kuwa na stock kubwa ya chakula wao wanajitia kimbele mbele,hivi tujiulize lini kenya ilishawahi kusaidia wenzake kwa moyo mmoja,uganda ni kanchi kdg lakini hutusaidiaga sana kwenye mahafa,hebu fikilia lile janga la tetemeko la aridhi bukoba halafu linganisha na pole iliotolewa na hao tuliokataa kuwapa maindi ina fanana na uchumi wao.ok wajifunze kulima kwa bidii sio kujitapa na viwanda vya makabaira wale sasa hivyo viwanda?
 
Baki hivyo hivyo! Israel wanalima bustani kwa kununua udongo, lakini unawaonaje!?
Sawa wambie nao hao wakenya wafanye km wa isirael,sio kutupigia kelele.ok sasa zambia wa kuwafananisha isirael.thinking capacity yako itakuwa na ttzo.
 
Bwana wewe nimekwambia kwa mbwembwe mnazojiita middle income ni aibu kubwa kulalamika eti ardhi ni kame! Hizo hela mnazosema mnazo zinafanya nini? Anhaaa nahisi zinanunua ardhi kwa ajili ya ile familia!

Juzi hapa mmepewa mahindi na Israel! Hivi unajua Israel nchi nzima ni jangwa? Au basi Egypt, wako jangwani, ushaskia wanalalamika njaa? Hao ndo tunaona umuhimu wa uchumi wao!

Sio nyie nyang'au mnaishia kujisifu uchumi mkubwa wakati hamwezi hata kununulia wakulima mbolea, au kuanzisha irrigation scheme hata moja!

Shame on you!

Kwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi

n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.
 
Hizo pesa zote zinaishia kununua chakula ndo maana umaskini Kenya unaongezeka kwa kasi huku wengine umaskini unapungua! Pesa zenyewe za mkopo[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Nyie ni nchi ya ovyo kabisa, taifa lolote duniani lazima lihakikishe kwanza usalama wa chakula, sio kwa kununua bali kwa kuzalisha!
 
Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
 
Hakuna usalama wa chakula unahakikishwa kwa kununua! Hao wanaokuuzia wakikataa kama sisi tulivyokataa tayari watu wanakufa kama wanavyokufa sa hizi huku mkiwabembeleza Zambia wawauzie mahindi ambayo pia hamjui mtayasafirisha vipi[emoji3][emoji3][emoji3]

Rudi usome vizuri kuhusu national food security!
 
Hivi wakenya ni uvivu wa kulima ama kuna matatizo gani?
 
Kwani lazima mle ugali.Zambia chukueni mahindi halafu Tanzania tutawauzia mpunga mfinye pilauu
 
Kwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi

n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.
ayaaaah ........mshamba umepanic.....dahh...[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23] pole yako

hayo mambo unayoongea mengine ni kujifurahisha kulingana na tatizo la shock katika ubongo wako......vitu unavyotapika ni vitu za zamani sana yaani chali yangu msee uko umepitwa sana na wakati kiasi hata cha manzi wenzio wakikenya wanakupita.....haupo update wewe ni uko local sana...aiseee......

kwa sasa hakuna kitu mnachozalisha kenya tanzania ikashimdwa zalisha mnavyozalisha vyoote tunazalisha ila vitu ambavyo tunazalisha bongo kwa sasa kenya hamna...tunawatupa kule

bye byeee kenya welcome tanzania

R.I.P stupid kenyan
 
Back
Top Bottom