MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,408
- 50,809
- Thread starter
- #141
Una maana gani kusema chakula huwa kinazagaa kenya yote! Huko hata iweje chakula hakiwezi zagaa, labda mbadilishe mfumo muingie kwenye kilimo cha umwagiliaji ndo mtajikwamua!
Halafu nimeshakufahamisha hiyo ya kwenda malawi ilikuwa ni kijazia ghala la taifa, sio kama chakula kiliisha kabisa, that was a precaution!
Sisi nchi yetu ni kubwa na ndo maana tuna chakula cha kutosha, hivi ulishaona mtu kapungukiwa chakula halafu anauza? Kila siku tunawalisha hapo kwenu!
Halafu kujisifu eti mna hela za kununua chakula ni ujuha mkubwa, maana hela inaishia huko ndo maana tunaenda kuwazidi sa hizi kwenye mambo mengi
Nimekuambia tatizo la logistic hapa na pale, lakini kipo kingi na tuanendelea kuagiza kote maana hela tunazo na uchumi wetu ni wa kati sio maskini kama nyie.
Nchi yenu hiyo kubwa ilhali kuna wakati mji mkuu Dodoma watu anakula viwavi kwa kukosa chakula, alawi mlifuata nini hata kama ni kujaza ghala, mbona muhangaike kuzunguka zungua kimya kimya mkisaka mahindi ilhali mna liinchi robo ya Afrika lenye rotuba kila maeneo kama sio laana ya uzembe.