Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Wakenya watua Zambia kujadili ununuzi wa mahindi

Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
huna sera........ujue wewe mvuta bangi lakini bangi imekukataa kinachofuata nikulanduka .......achana nayo
121e7da18c1a134062b7906848da8ca7.jpg

stupid kenyan[emoji31] [emoji31] [emoji31] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hakuna usalama wa chakula unahakikishwa kwa kununua! Hao wanaokuuzia wakikataa kama sisi tulivyokataa tayari watu wanakufa kama wanavyokufa sa hizi huku mkiwabembeleza Zambia wawauzie mahindi ambayo pia hamjui mtayasafirisha vipi[emoji3][emoji3][emoji3]

Rudi usome vizuri kuhusu national food security!

Food security:
Certain availability of nutritionally adequate and safe foods or certain ability to acquire acceptable foods in socially acceptable ways.

Katiba yetu imeweka bayana kwamba kila Mkenya ana haki ya kupata chakula. Na kwamba serikali ina jukumu la kuhakikisha wingi wa chakula kwa mbinu zote, ikiwemo kununua kutoka kwa mataifa ya nje na kujaza ghala zetu. Hivyo sio lazima tutumie jembe sote kulima, nyie mlime tuvune sisi na mkinuna tunakwenda mbele ambapo wapo wengine wasiokua wazembe kama nyie.
 
Kwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi

n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.
Hivi ktk nchi za east africa inakuaje kenya mnamasikini wengi,angalia unavyokosa akili ya kudadavua mambo,hio isirael km wangetaka kua na mazao ya biashara tu leo si ingekua kama kenya,haya mbona mnafedheeka kwa kutafuta chakula kwingine haya kuleni hayo maua yenu,mabwege nyie,hivi mnachojivunia ni nini na wakati uchumi wenu umeshikwa na mabohora nyie mmebaki na mijisifa tu eti nchi yetu tajili na wakati pesa inakwenda nnje.kenya ndio nchi inayongoza kuwa na machokoraa,ujambazi watu wske kuwa na roho mbaya kupita nchi zote za east africa,sasa km roho haiwaumi kwa nini povu liwatoke kulilia maindi.mungu wafungie akili wazambia nao wasiuze maindi yao kisha waje kutupa tabu mbeleni
 
Usalama wa chakula tunahakikisha kwa kununua, hivyo tunazalisha mazao yenye hela halafu tunanunua mahindi na kufanya mengine makubwa.
Hili jamaa puuzi kweli,kenya yapi makubwa mlioyafanya,hilo shulika lenu la ndege ambalo mpo joint vanture na shilika mpja ulaya?
 
Hivi wakenya ni uvivu wa kulima ama kuna matatizo gani?
Kwani hujui kenya mbk kesho hawana uhuru wao wana uhuru wa bendera tu,na ndio mana hata usalama wa tasisi zao za kiulinzi ni mbovu,huku kwetu ukiviona vyombo vya usalama unashukulu,kenya ukiwaona police tena hiwe usiku alafu hiwe km kilinyanga street ujue umekufa hii mijitu ni ya kuinyima kbsa chakula.zambia wawe na hakili washituke,asie fanya kazi na asire wajifunze kulima
 
Food security:
Certain availability of nutritionally adequate and safe foods or certain ability to acquire acceptable foods in socially acceptable ways.

Katiba yetu imeweka bayana kwamba kila Mkenya ana haki ya kupata chakula. Na kwamba serikali ina jukumu la kuhakikisha wingi wa chakula kwa mbinu zote, ikiwemo kununua kutoka kwa mataifa ya nje na kujaza ghala zetu. Hivyo sio lazima tutumie jembe sote kulima, nyie mlime tuvune sisi na mkinuna tunakwenda mbele ambapo wapo wengine wasiokua wazembe kama nyie.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjanja wa kibera....upo vizuri.....

njoo nikupe ajira ukasimamie ng'ombe na mbuzi zangu shamba.....maana unatoa uharisho mpaka basi......pole sana kijana haya ndiyo maisha yalivyo.......ni kupanda na kushuka

kweli shida unayo ......unaharisha sana njaa na umaskini ni mbaya sana......hiyo middle income ni yakina kibaki na wachache walioitawala ardhi ya kenya ila wewe ni kapuku tu....

hebu karibu msosi....na tuenjoy life
752335e60a10af24888c21c8616be405.jpg
 
Hili jamaa puuzi kweli,kenya yapi makubwa mlioyafanya,hilo shulika lenu la ndege ambalo mpo joint vanture na shilika mpja ulaya?
si ndiyo zao.......poor kenya ni nchi ambayo inategemea uchumi wa watu ndiyo wasimame kisha utawasikia sisi middle economy .....ila zama in deep maisha yao ni vituko....yakipuuzi
 
Baki hivyo hivyo! Israel wanalima bustani kwa kununua udongo, lakini unawaonaje!?
sasa mkuu kwani israel wanazalisha nini kwa wingi zaidi ya caton kadhaa tu za nyanya?,

wanaweza fikia hata capacity ya shinyanga kwa kuzalisha mahindi,mpunga ama pamba kweli?
 
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mjanja wa kibera....upo vizuri.....

njoo nikupe ajira ukasimamie ng'ombe na mbuzi zangu shamba.....maana unatoa uharisho mpaka basi......pole sana kijana haya ndiyo maisha yalivyo.......ni kupanda na kushuka

kweli shida unayo ......unaharisha sana njaa na umaskini ni mbaya sana......hiyo middle income ni yakina kibaki na wachache walioitawala ardhi ya kenya ila wewe ni kapuku tu....

hebu karibu msosi....na tuenjoy life
752335e60a10af24888c21c8616be405.jpg

Ajira ya kuchunga ng'ombe na kulima mahindi mufanye nyie, sisi tutanunua maana tuna mihela.

Halafu wacha kuzoea hao kuku wa kizungu, ndio maana wanawake zenu wanakuja kutafuta wanaume Kenya, hizo kuku huwa zinapunguza nguvu za kiume. Cheki hapa vitu ninavyovipata mida hii.

20170429_145309.jpg
 
Food security:
Certain availability of nutritionally adequate and safe foods

Do you Kenyans get adequate food? From where if I may ask! No matter how much you brag abt having money, there is no way you can feed your locals to their satisfactions, hence the concept of adequate food isn't guaranteed!

Hadi dakika hii kuna mamilioni ya wakenya wanalia njaa kila siku, halafu nyie mnawabembeleza wazambia wawauzie chakula, mkimaliza kuwabembeleza mje kubembeleza Magu awaruhusu kupitisha hapa! Kazi mnayo!

Kwa taarifa yako mataifa yaliyoendelea yote yanahakikisha kuwa yanazalisha chakula cha kutosha nchini kwao, bila kujali hali ya hewa! Kama unabisha nipe mifano ya mataifa yaliyoendelea yanayotegenea chakula cha kununua! Nyie hapo maskini wenzetu mnajiumauma tu eti tunanunua! Bajeti kubwa inaishia kununua mahindi!

Tena subirini uchaguzi uishe hata hela ya kununua mahindi haitakuwepo mtalia hadi mkome!
 
Kenya inatumia hela nyingi sana kuhakikisha Wakenya wanaoishi maeneo kame wanafikiwa na chakula. Kuna wakati kunatokea changamoto za logistics lakini cha msingi ni kwamba hatimaye chakula kinazagaa kote pamoja na ukame huu ambao ukiwakumba nyie mtaihama nchi, ikiwa mna nchi yote hiyo yenye rotuba na bado mnaomba mahindi Malawi kwa jinsi mlivyo maskini na wazembe.

Sisi uwezo wa kununua tunao kama mataifa ambayo yana maeneo kame lakini wana uwezo wa kuagiza chakula kwa wingi.
 
Wawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi.

Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....
--------------------------------------------------------------------------------
A delegation of grain traders and other stakeholders from Kenya is expected in Zambia this week to begin talks on the possible importation of maize, a senior Zambia government official said on Tuesday.

Minister of Finance Felix Mutati said the delegation is expected to hold talks with the Zambian government authorities for the importation of maize into the east African nation.

He told reporters during a press briefing that the delegation has already indicated that the maize is required in August and September this year.

But he could not state the tonnage of maize required, saying it will form part of the discussions.

“However the biggest challenge is how do we transport this maize to Kenya. Is it by rail or road because we will have to find the solutions to these and other challenges,” he said.

The Zambian minister said east Africa has now been identified as a big market for the country’s maize as well as the Democratic Republic of the Congo, adding that the private sector should also explore these markets.

Zambia has produced 3.6 million tonnes of maize during the 2016/2017 farming season and with the country’s consumption estimated at between 1.4 million tonnes and 1.5 million tonnes, the country has excess maize for exports.

The government has since lifted a ban on maize exports to encourage exports.
Coastweek - The most from the coast
Fullish people, discuss people.
 
Nyie Kenya ni nyumbu kweli, Tanzania wanajihami kwa njaa. Uvivu wenu utusababishie njaa. Ok kama nimepata kutoka Zambia basi msafirishe kupitia Afrika Kusini, Msumbiji au DRC, Uganda mpaka huko kwenu yasikanyage ardhi ya TZ.
 
Wakenya mnajisifu kwa kitu gani? Ardhi yenu ni watu wachache mno, wananchi wengi wa Kenya ni masikini wa kutupwa, hawana hata ardhi ya robo eka, ndio maana mategemeo yenu yalikuwa kwenye Afrika mashariki ili mje kufurika huku TZ, hilo halitawezekana labda YESU arudi tena duniani.
 
Kenya inatumia hela nyingi sana kuhakikisha Wakenya wanaoishi maeneo kame wanafikiwa na chakula. Kuna wakati kunatokea changamoto za logistics lakini cha msingi ni kwamba hatimaye chakula kinazagaa kote pamoja na ukame huu ambao ukiwakumba nyie mtaihama nchi, ikiwa mna nchi yote hiyo yenye rotuba na bado mnaomba mahindi Malawi kwa jinsi mlivyo maskini na wazembe.

Sisi uwezo wa kununua tunao kama mataifa ambayo yana maeneo kame lakini wana uwezo wa kuagiza chakula kwa wingi.

Una maana gani kusema chakula huwa kinazagaa kenya yote! Huko hata iweje chakula hakiwezi zagaa, labda mbadilishe mfumo muingie kwenye kilimo cha umwagiliaji ndo mtajikwamua!

Halafu nimeshakufahamisha hiyo ya kwenda malawi ilikuwa ni kijazia ghala la taifa, sio kama chakula kiliisha kabisa, that was a precaution!

Sisi nchi yetu ni kubwa na ndo maana tuna chakula cha kutosha, hivi ulishaona mtu kapungukiwa chakula halafu anauza? Kila siku tunawalisha hapo kwenu!

Halafu kujisifu eti mna hela za kununua chakula ni ujuha mkubwa, maana hela inaishia huko ndo maana tunaenda kuwazidi sa hizi kwenye mambo mengi
 
Ajira ya kuchunga ng'ombe na kulima mahindi mufanye nyie, sisi tutanunua maana tuna mihela.

Halafu wacha kuzoea hao kuku wa kizungu, ndio maana wanawake zenu wanakuja kutafuta wanaume Kenya, hizo kuku huwa zinapunguza nguvu za kiume. Cheki hapa vitu ninavyovipata mida hii.

View attachment 533548
Eti wanaume wa kenya mnanguvu ndio mana wanawake wetu mnawachukua,lakini amesahau kwamba kenyan gays wanajylikana duniani,mombasa inatamba africa na inawezekana hata america kwamba wanaume wasenge wapo wengi,mfano likon fery nani hapajui kwa biashara ya ushoga.ww tulia,hata Nairobi mitaa kama tom mboya au biashara street inavyosifika kwa mashoga na makahaba,huku kwetu yapo lakini ni kwa uchache tena ni usiku na hao makahaba ukiwangalia ni wasafi na si kama wa kwenu.nyie kwanza ustarabu ziro inawezekana vipi mtu unakwenda chooni kisha unakuta hakuna maji na kukuta makaratasi tu.ndio mana hata wanawake wenu wananuka uvundo kwa kutojua kuoga,we mwenyewe unaonaje dem wa kibongo mavyompapatikia,tuna mengi mengine hayafai kuyandika humu kuhusu nyie wakenya.angaikieni chakula kwanza acheni kelele tafutenichakura kwanza acheni ujinga.
 
Ajira ya kuchunga ng'ombe na kulima mahindi mufanye nyie, sisi tutanunua maana tuna mihela.

Halafu wacha kuzoea hao kuku wa kizungu, ndio maana wanawake zenu wanakuja kutafuta wanaume Kenya, hizo kuku huwa zinapunguza nguvu za kiume. Cheki hapa vitu ninavyovipata mida hii.

View attachment 533548
ha haaaa.........yaani hata macho yamepofuka tiyari........eti kuku wa kizungu...[emoji23] [emoji23] [emoji23] hayo ni maandalizi takatifu aiseee mpaka umepagawa.....

hafu siku nyingine usirudie .....na usithubutu shobokea mademu wa bongo watakuchakaza utabaki na chupi tu....sababu huwa hawana time na wakenya.....mademu wa huku ni ujanja ujanja ......hamuwawezi nyie ni wazembe sana.....

washikaji wa kikenya mpo local sana...utaumia
 
Back
Top Bottom