Kwamba sisi ni middle class ina maana hela tunazo nyingi za kununua mahindi kutoka nje, sio lazima tukuze kila zao kwenye ardhi yetu kame. Inabidi tutumie akili na kukuza mazao yenye kutuletea hela nyingi halafu tunanunua mazao kama mahindi.
Kwa kifupi, pamoja na kwamba mna liinchi likubwa lenye rotuba kila mahali tunawashinda kwa uzalishaji wa
- Majani chai
- Maua
- Maziwa - pamoja na kwamba mna ng'ombe wengi
n.k. yaani orodha ni ndefu, kwa kifupi tunazalisha vitu vyenye thamani nzuri ya hela na kuwaacha wazembe nyie mpambane na visivyokua na thamani ili tununue kutoka kwenu. La kushangaza kumbe hata mahindi yenyewe mumeshindwa kuzalisha ya kutosha, hivyo inabidi tukanunue kwengine.