Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
.....Unajidhalilisha tuu hapa,bora upige kimya.Ndo hatutaki sasa hizo hela zenu kanunue mahidi hata Brazil mlete kenya
wewe kweli ni mlevi......linganisha gape la nyuma mlilo tuacha kisha linganisha na sasa.........kama baba yako msouth amedrop sembuse kakenya hako.........duh! mbona unatema povu kiasi hiki...unabadilisha mdomo kuwa beseni ya maji na omo...anyway, kuhusu jambo la uchumi kubadilika na kuegemea upande wa tz, naona hapo unaota ndoto za mchana...mbona ile gap kati ya uchumi wa kenya na uchumi wa Tz inaendelea kukua kila uchao? kama ni reli tumetangulia...kama ni viwanda tuko mbele...kama ni nini tuko mbele...hivi mnaongelea kuongoza EAC ama SADC? maana kama ni EAC ningekushauri upunguze kile unachovuta kila usiku kabla ya kulala
Wewe mwehu kabisa, Tz hatuna unga wa kutosha bwana. Tutawauzia watu Kagame maana hata wao hawana mavuno mazurijambo njema...akina wale walikataa na mahindi yao...sasa tuone ni nani atakayeumia...wakenya wamepata mahindi mbadala na wao wamebaki na mahindi yao yakiozea kule... ama kweli, wajinga ndio waliwao...niliwaambia mahindi si kama dhahabu...hata afrika nzima ikatae kuuza, tutapata mahindi tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na mkapige nazo kona Cape Town au Beira, msituharibie barabara hapa bongo!!
Alafu kumbe kenya kuna njaa?? Duh!
Kwenda Kule, sasa nyie mnahela gani yakututisha kiasi hicho. Tukiamua kuyauza hata Sudani na Kongo tutapeleka. Ila kwa sasa habari ndio hiyo piga lock tu kwa kwenda mbele.mbona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...hivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mngekubali kuuza mahindi, mngepata hela mmekataa na kukubali majivuno na ujeuri uwajae... sasa ndio hio biashara mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile..wakulima wao wamefaidika....nyie mmebaki na mahindi yenu yakaozee kule...😀😀😀😀
wakenya=wamepata mahindi
wazambia=wamepata hela
watz=0
Zambia napo mtanunua kienyeji kama mnavyofanya Tanzania? Mlifuata njia stahili mkakataliwa? Tatizo lenu mnawafanya wa-Tanzania wapumbavu, sidhani kama serikali inajua kwamba mnafika hadi Dodoma kununua zabibu, sasa ngoja mstukiwe wezi wakubwa nyie,.sasa kawaibieni na Zambiambona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...hivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mngekubali kuuza mahindi, mngepata hela mmekataa na kukubali majivuno na ujeuri uwajae... sasa ndio hio biashara mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile..wakulima wao wamefaidika....nyie mmebaki na mahindi yenu yakaozee kule...😀😀😀😀
wakenya=wamepata mahindi
wazambia=wamepata hela
watz=0
kumbe umewaona eeh ni vibaka waliozeeka hawana new plan wameishiwaZambia napo mtanunua kienyeji kama mnavyofanya Tanzania? Mlifuata njia stahili mkakataliwa? Tatizo lenu mnawafanya wa-Tanzania wapumbavu, sidhani kama serikali inajua kwamba mnafika hadi Dodoma kununua zabibu, sasa ngoja mstukiwe mwezi wakubwa nyie,.sasa kawaibieni na Zambia
Mngekuwa matajiri mngenunua mahindi? Super markets hakuna unga.mtakula jeuri yenu.ndio umaskini unavoaanza...kubali hata boss wako akutusi ila unajua kile unachovuna toka kwake...ukishapata ulichotarajia mwache sasa....ila nyie naona mnaweka pride kabla ya biashara...na mtabaki maskini hohehahe...kuweni kama wachina...hata watusiwe aje na Marekani, bidhaa zao bado zipo baharini zikielekea bandari za Magharibi.. hivi kesho kesho utaona China ndio ina uchumi mkubwa duniani kote...
Mngekuwa matajiri mngenunua mahindi? Super markets hakuna unga.mtakula jeuri yenu.
stupid kenyan excavating oldies to please his downtrodden soul ,leta habari mpya sio unawayawaya we nyang'auHao Wazambia mnaowatukana huwa wanawauzia mahindi nyie, kweli ninyi watu wa ajabu
------------------------------------------------------------
The Food Reserve Agency (FRA) has signed a contract with the Tanzania National Food Reserve Agency (NFRA) to supply 20, 000 metric tonnes of white maize valued at US$7million to Tanzania.
FRA Executive Director, Chola Kafwabulula, signed on behalf of FRA while the Tanzania National Food Reserve Agency Chief Executive Officer, Charles Walwa, signed on before of his agency.
Speaking during the signing ceremony at the FRA Head Office in Lusaka, Ministry of Agriculture and Fisheries Permanent Secretary, Siazongo Siakalenge, congratulated the two food reserve agencies for successfully signing the agreement.
Mr Siakalenge stated that the transaction is meant to assist Tanzania to mitigate any chances of a shortage of white maize that is imminent in that country.
He thanked the Tanzanian Government for looking up to Zambia for the supply of maize, saying this shows the confidence that that country has in Zambia’s capacity to feed the Southern African region in particular and the continent in general.
Speaking earlier, representative of Tanzania’s High Commissioner in Zambia, Justa Nyange, thanked the FRA for coming to the aid of NFRA to balance the maize stock in her country.
Ms Nyange also thanked President Sata for offering Tanzania an opportunity to procure maize from Zambia through the FRA.
Zambia : FRA to sell 20,000 tonnes of maize to Tanzania
Wazambia hawa hawa ninao wafahamu jirani zangu huku tunduma wanaofunga maduka kwenda kugegeda wake zao lunchtime.[emoji23][emoji23]
Umesema kwel kabisa,sababu lilikuwa jambo lenye maslahi kwa Wakulima wa TZ wangekubal hivyo hivyo,ambacho wangewakomesha ni kuwapiga bei kubwa lakin siyo kukataa kuuza mahindindio umaskini unavoaanza...kubali hata boss wako akutusi ila unajua kile unachovuna toka kwake...ukishapata ulichotarajia mwache sasa....ila nyie naona mnaweka pride kabla ya biashara...na mtabaki maskini hohehahe...kuweni kama wachina...hata watusiwe aje na Marekani, bidhaa zao bado zipo baharini zikielekea bandari za Magharibi.. hivi kesho kesho utaona China ndio ina uchumi mkubwa duniani kote...
Hayo mahindi yataisha ndani ya wiki moja tu na yote yataishia kule ukikuyu kama yale ya Mexico kama sio Israel!jambo njema...akina wale walikataa na mahindi yao...sasa tuone ni nani atakayeumia...wakenya wamepata mahindi mbadala na wao wamebaki na mahindi yao yakiozea kule... ama kweli, wajinga ndio waliwao...niliwaambia mahindi si kama dhahabu...hata afrika nzima ikatae kuuza, tutapata mahindi tu
Hapo tu ndo unaniachaga hoi! Mambo ya 2013 lolHao Wazambia mnaowatukana huwa wanawauzia mahindi nyie, kweli ninyi watu wa ajabu
------------------------------------------------------------
The Food Reserve Agency (FRA) has signed a contract with the Tanzania National Food Reserve Agency (NFRA) to supply 20, 000 metric tonnes of white maize valued at US$7million to Tanzania.
FRA Executive Director, Chola Kafwabulula, signed on behalf of FRA while the Tanzania National Food Reserve Agency Chief Executive Officer, Charles Walwa, signed on before of his agency.
Speaking during the signing ceremony at the FRA Head Office in Lusaka, Ministry of Agriculture and Fisheries Permanent Secretary, Siazongo Siakalenge, congratulated the two food reserve agencies for successfully signing the agreement.
Mr Siakalenge stated that the transaction is meant to assist Tanzania to mitigate any chances of a shortage of white maize that is imminent in that country.
He thanked the Tanzanian Government for looking up to Zambia for the supply of maize, saying this shows the confidence that that country has in Zambia’s capacity to feed the Southern African region in particular and the continent in general.
Speaking earlier, representative of Tanzania’s High Commissioner in Zambia, Justa Nyange, thanked the FRA for coming to the aid of NFRA to balance the maize stock in her country.
Ms Nyange also thanked President Sata for offering Tanzania an opportunity to procure maize from Zambia through the FRA.
Zambia : FRA to sell 20,000 tonnes of maize to Tanzania
Yaani Israel inalima kwa kununua udongo halafu nyie mnalia njaa ilihali shamba lenu ni kubwa? poor Kenyan!Baki hivyo hivyo! Israel wanalima bustani kwa kununua udongo, lakini unawaonaje!?