Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Wewe !! Naona umempata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kazi yako ni kukimbiakimbia kama chura.......
stupid kenyan
Yanapitia wapi?Aisee safi sana serikali yetu kutanua hadi huko, yule mngwana asiyewasomesha wazazi sijui atakula mahindi yote ama vipi?[emoji3]
Wazambia ni ndugu zetu toka zamani, si unajua tunaendana kabisa tukianza kujadili hoja tunatiririka kwenye mada through our common unge'nge . Hapo mswahili anaanza kukodoa hajui kinachoendelea, mfyuuuu...
Bonge la wazo, hii itakuwa safi sana kwa Tz kujipambanua sasa, akili ikishawarudi utakuta soko limehamia lote Tz na limekolea.Dawa yenu ni moja tu tuna ban importation of goods from kenya halaf na KQ tunaiban ndo mtaelewa mtapiga makoti tu
Mmmhh!!! Neno njaa ni aibu kwa taifa lolote lile.mbona mahindi tumepata?? dont let pride make you do things that will harm you in the long run...hivi nikuulize, nani amepoteza sasa kati ya wakenya na watz? mimi nadhani ni nyinyi mmepoteza kwani mngekubali kuuza mahindi, mngepata hela mmekataa na kukubali majivuno na ujeuri uwajae... sasa ndio hio biashara mmempoteza...kenya ishapata mahinddi toka nje...zambia wamepata hela zile..wakulima wao wamefaidika....nyie mmebaki na mahindi yenu yakaozee kule...😀😀😀😀
wakenya=wamepata mahindi
wazambia=wamepata hela
watz=0
Hapo tu ndo unaniachaga hoi! Mambo ya 2013 lol
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wewe jamaa! Hivi suala la ardhi kukosa rutuba kwa karne hii ya 21 nalo ni la kuweka mtandaoni eti ndo linasababisha njaa?Cha msingi ni kwamba ardhi yenu hiyo imekua na rotuba tangia mpate uhuru, kwamba mumefuata mahindi ya Wazambia hata kama 2010 ina maana mumelaaniwa uvivu. Juzi mwaka huu mumefuata Malawi...
Unatema yai kisha unaenda kuomba mahindi Zambia 😉😉Ungeomba tafsiri kimya kimya tu ww mswahili, ama vipi upate kozi yako ya english fresh apo dar kwa ras simba, na ww uteme yai humu kama wakenya[emoji3] [emoji109]
Hata ardhi Ikiwa na rutuba mvua ikakosekana hiyo rutuba itakusaidia nini kwenye global warming????Cha msingi ni kwamba ardhi yenu hiyo imekua na rotuba tangia mpate uhuru, kwamba mumefuata mahindi ya Wazambia hata kama 2010 ina maana mumelaaniwa uvivu. Juzi mwaka huu mumefuata Malawi...
Ahahahaa mtani unanichekesha nyie hodari wa kazi serikali yetu (Tanzania) nikikataza mahindi kusafirishwa hammalizi wiki mnahaha mahindi, hivi mnataka kutuaminisha kwamba mnategemea chakula kutoka Tanzania? Tena cha wizi na utapeli? Na serikali yenu inajua hilo kwa nini isitafute plan B ambayo ni kufuata njia halali ya ununuzi wa chakula? Sitaki kuilaumu serikali yenu Ila ninaishangaa!! Halafu unasema tuna laana ya uvivu kwa kuwalisha au? nikusamehe bureCha msingi ni kwamba ardhi yenu hiyo imekua na rotuba tangia mpate uhuru, kwamba mumefuata mahindi ya Wazambia hata kama 2010 ina maana mumelaaniwa uvivu. Juzi mwaka huu mumefuata Malawi...
ha haaaa hapo sasa..........yaani hawa majamaa akili hayanaYanapitia wapi?
yaani ni haelewi chochote kuhusu tz ......anaishia kukaririWewe !! Naona umempata[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wamejazana kwenye slums pia![emoji23] [emoji23] [emoji23]mnatakiwa mulime sio kujazana Nairobi tu
safi wape wape hao[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]mnatakiwa mulime sio kujazana Nairobi tu
kenya ilikuwa zamani sana.....kwa sasa nikuwalaza chali......Kwa taarifa yako Tanzania ndio inaongoza kuingiza bidhaa kenya acha kukariri mambo hiyo ni fact wala sio ushabiki usije fikiri kenya inavyobania bidhaa za Tanzania kuingia kenya ni swala la mchezo
tafuta taarifa official inayosema kama tz tumezuia mahindi kwenda kenya....ujue chanzo na upate uhakikaWawakilishi kutoka Kenya wametinga Zambia kujadili ununuzi wa mahindi kwa maelfu ya tani. Tayari Zambia imetangaza utayari wake kuuza mahindi kwa wingi kwenye soko la Kenya ambalo lipo tayari siku nyingi baada ya kiangazi. Wakati wengine wananuna na kuishi kimajungu majungu, wenzao wanaona fursa za kibiashara na kuzichangamkia. Wazambia watatengeneza hela kwa kwenda mbele....
Mimi katika hili namhurumia mkulima tu maana anazalisha kwa shida lakini inapofikia kutengeneza walau faida imsaidie anazuiwa kuuza. Kwann mfanyabiashara hazuiwi kuuza bidhaa zake na wala hawekewi masharti auze wapi?? Huu ni uonevu mkubwa na hatutakuja kukomboa wakulima wetu wataendelea tu kuwa masikini kwakwel. Hata kama kisingizio ni uhaba wa chakula lakini wanachofanyiwa wakulima ni uonevu mkubwa
Yaani watu wamekariri sana kenya imeshaona Tanzania tunaingiza mafuriko ya bidhaa mpaka wanazuia bidhaa zetu za ngano, gas, n.k ili kuweka balance kiuhalisia saivi hakuna bidhaa hata moja inayozalishwa kenya Tanzania haizalishwi na viwanda vyetu.kenya ilikuwa zamani sana.....kwa sasa nikuwalaza chali......