Wakenya wazidi kumtamani Magufuli, wamtaka Uhuru Kenya kujifunza toka kwake kupambana na Corona

Wakenya wazidi kumtamani Magufuli, wamtaka Uhuru Kenya kujifunza toka kwake kupambana na Corona

i.d.i.o.t.s.... yaani wamtamani mtu anayecheza kamari na maisha ya wananchi wake??

ndugu, kama upo Tanzania kwa sasa basi tambua kwamba wewe ni sampuli ya majaribio (experimental specimen on a petri dish) ambayo serekali ya Tanzania inaifanya vs Corona.

hao Wakenya hawajui wakiombacho!
Kwendraaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
rais wa Tanzania hadi sasa amechukua hatua gani ya kimkakati kudhibiti Corona?

usituletee geresha za kuosha mikono kwani hilo kila mtu anajua.
Rais kachukua Hatua mbili za kimkakati kukabiliana na corona

Hatua ya kwanza ameondoka Dar kwenda Dodoma

Hatua ya pili ameondoka Dodoma kwenda chato.

Corona mchezo na inavopenda wazee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom