Wakenya wazidi kuvuka mpaka kufuata huduma bora za afya Tanzania

Vipi kuhusu mamia ya hawa watz, ambao huwa wanaitoroka 'nchi ya asali na maziwa' kuja Kenya? Tena kila siku asubuhi, kwa miaka zaidi ya minane, kupata elimu nchini Kenya kisha jioni wanarudi tena kwa 'asali na maziwa'. Au hawa ndio wale ambao kwao hawana mizinga ya nyuki na ng'ombe wa kukamuliwa?
 
Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".

1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata lugha ya kiingereza Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu)

Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
 
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu) Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Jombaa, unajikanganya sana. Wenzenu wanaitoroka nchi ya 'asali na maziwa', sio kwasababu ya kingereza bali ni kwasababu ya kituko ambacho mnakiita elimu. Yaani walimu wenu wanafunza kimazoea mazoea, tena kwa kisukuma! [emoji1]
 
Don't derail the topic,the question is,how is "bigger" GDP helps you to provide health service to your citizens?
 
Lakini hapo wameandika kwamba wanavuka kufuata kujifunza kiingereza, hawajasema wanafuata Elimu bora, acha kutafsiri vile upendavyo. Ila kuhusu afya ni wazi kwamba wanavuka mpaka kuja kupata matibabu bora kutokana na vifaa vya kisasa na dawa kupatikana katika Hospitali zetu hadi vijijini
 
Inabidi tuangalie uwezekano wa kuwa-charge zaidi ili wasi-strain health services nchini!
 
Hawa jamaa bila Tanzania nchi haiwezi kwenda, kama chakula, Afya na investments wanategemea Tanzania, bila hivyo vitu hakuna nchi
 
Don't derail the topic,the question is,how is "bigger" GDP helps you to provide health service to your citizens?
Sasa GDP yenu ndogo na udona kantri wenu uliwasaidiaje mbunge wenu alipotibiwa Nairobi baada ya kumiminiwa risasi? Bill yenyewe ya hospitali mlishindwa kulipa, eti nchi ya asali. [emoji1]
 
Hawa jamaa bila Tanzania nchi haiwezi kwenda, kama chakula, Afya na investments wanategemea Tanzania, bila hivyo hakuna nchi
Investments zipi hizo za Tz nchini Kenya? Hebu zitaje. Kenya ndio nchi ya pili kwa uwekezaji nchini Tz, tunakuza uchumi wenu kwa asilimia kubwa na watz wanapata ajira kwenye kampuni za Kenya. Kwenye biashara tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu. Hata Uganda wamewapiku kwa wingi wa bidhaa ambazo wanauza Kenya. Hebu soma taarifa kutoka kwa TRA yenu, mwaka wa 2018 mlikuwa na deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Hakuna nchi ukanda huu ambayo haina deficit kwenye biashara na Kenya, na bado. Mnatuuzia mahindi na maharage na sisi tunawauzia bidhaa kutoka kwa viwanda. Ubabe wa peni mbili wa mzee wenu wa mikwara utaendelea kuwakosti hadi mshike adabu zenu.
 
Sasa GDP yenu ndogo na udona kantri wenu uliwasaidiaje mbunge wenu alipotibiwa Nairobi baada ya kumiminiwa risasi? Bill yenyewe ya hospitali mlishindwa kulipa, eti nchi ya asali. [emoji1]

Hii mlishajibiwa toka Juzi,
Security reasons,especially having in mind who was the suspect

Nafahamu unafahamu vizuri tu ni Kwanini lakini kutokana na ufinyu wa akili unajaribu kuvuruga huu uzi kwa kuleta vitu visivyo husiana hapa,
Ukweli ni kuwa county yote ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania,
Hutaki andamana au nenda kawaambie huu upupu wako hapa uone watakacho kufanya,
Fool.
 
Kibwengo mkubwa wewe, sasa wewe ndio umejenga uzi au? Ungekuwa na huo uwezo mkubwa wa kiakili ungejikita kwenye mada, sio comment zangu. Ikikuuma sana nenda kwa wachawi ukaniroge.
 
Akili huna wewe, jaribu hata kuwakopa kuku akili ili uwe unatumia humu,
Ulaji wa mahindi ya GMO yanawaharibu wakenya uwezo wa kufikiri na ushahidi ni wakenya wa humu,
Mchawi ni wewe unayefahamu wachawi,
Juzi tu hapa ulipost picha ya polisi wa nchi mojawapo ya hapa EA halafu unadai ni wa TZ... nikakuuliza ni wa wapi naona hujanijibu hadi leo hii,
Sasa unaumia kisa County nzima ya Taita Taveta kuvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania,
Nenda hapo kawaambie huu upupu wako hapa uone watakacho kufanya,
Fool.
 
Nim
Investments zipi hizo za Tz nchini Kenya? Hebu zitaje. Kenya ndio nchi ya pili kwa uwekezaji nchini Tz, tunakuza uchumi wenu kwa asilimia kubwa na watz wanapata ajira kwenye kampuni za Kenya. Kwenye biashara tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu. Hata Uganda wamewapiku kwa wingi wa bidhaa ambazo wanauza Kenya. Hebu soma taarifa kutoka kwa TRA yenu, mwaka wa 2018 mlikuwa na deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Hakuna nchi ukanda huu ambayo haina deficit kwenye biashara na Kenya, na bado. Mnatuuzia mahindi na maharage na sisi tunawauzia bidhaa kutoka kwa viwanda. Ubabe wa peni mbili wa mzee wenu wa mikwara utaendelea kuwakosti hadi mshike adabu zenu.
Nimesema kwamba investors wa Kenya hutegemea Tanzania kuliko nchi yoyote hapa duniani, kuna zaidi ya kampuni 500 za Kenya hapa Tanzania, nchi ya pili ni Uganda ikiwa na makampuni takribani 300, tukiamua kuwafukuza na kuyachukua haya makampuni yenu, lazima uchumi wa Kenya utayumba sana, tukiamua kuwazuia watu wenu kuja kutibiwa Tanzania, wengi watakufa, tukiamua kuzuia chakula chetu mnachopata kwa bei nafuu na uhakika, idadi ya wakenya watakaokufa kwa njaa itaongezeka mara kumi zaidi.

Kuhusu bidhaa, sisi hatutilii sana umuhimu ktk soko la EAC, sisi kipaumbele chetu ni SADC ambako huko kila mwaka tuna "Positive balance of trade". Kumbuka tunauza bidhaa nyingi South Africa kuliko tunavyonunua kutoka South Afrika, kwahiyo kama tukiamua kutoa kipaumbele katika soko la EAC, tungewauzia mara mbili ya bidhaa tunazowauzia SADC, 80% ya bidhaa zetu tunauza SADC, 20% pekee ndizo mnazoshindana nazo hapa EAC, na bado zinawatoa jasho
 
Anzisha uzi wako tutakuja kuchangia usituchfulie hapa
Vipi kuhusu mamia ya hawa watz, ambao huwa wanaitoroka 'nchi ya asali na maziwa' kuja Kenya? Tena kila siku asubuhi, kwa miaka zaidi ya minane, kupata elimu nchini Kenya kisha jioni wanarudi tena kwa 'asali na maziwa'. Au hawa ndio wale ambao kwao hawana mizinga ya nyuki na ng'ombe wa kukamuliwa?
 
Jombaa, unajikanganya sana. Wenzenu wanaitoroka nchi ya 'asali na maziwa', sio kwasababu ya kingereza bali ni kwasababu ya kituko ambacho mnakiita elimu. Yaani walimu wenu wanafunza kimazoea mazoea, tena kwa kisukuma! [emoji1]
Ivi wakenya na wazinzabar Tanzania mnajua kuna kabila moja tu la kisukuma au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Where is MK254 ?mkiwa na shida ndogo ndogo kama hizi msisite kutuomba misaada tuwasaidie...
 
Usiseme afya bora sema unafuu wa bei.

Sent using Jamii Forums mobile app
Umeangalia hiyo video na kuisikiliza kwa umakini ?
Huku serikali ikinuia kuhakikisha kuwa Wakenya wote wanapata huduma bora za afya kufikia mwaka wa 2022, wenyeji wa kaunti ya Taita Taveta wangali wakisafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu.

Taifa Leo ilibaini kuwa idadi ya wenyeji wa eneo hilo wanaosafiri hadi Tanzania kutafuta matibabu imeongezeka.

Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".

1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata lugha ya kiingereza Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu)

Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza ni huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wengi wenye mawazo ya ukombozi wa south afrika wenye kufikiri kwamba kiingereza si Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kijamaa, ujamaa mentality".

1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata Elimu ya juu ya Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya kadhaa pale mpakani wa Tz na Kenya bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu)
3)Omba Omba wengi huvuka mipaka Hadi Kenya ili kutorikea Hali ngumu hapa Nchini ya maziwa na asali Bongoland.

Karibuni sana katika nchi ya billionaire moja na maskini millions 60 tule kinyesi na asali. 😁 Karibuni Tena Tanzania ya 80s.
 
Back
Top Bottom