joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Hii ndio maana halisi ya msemo usemao "If you can't fight them, join them". Majirani karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".Vipi kuhusu mamia ya hawa watz, ambao huwa wanaitoroka 'nchi ya asali na maziwa' kuja Kenya? Tena kila siku asubuhi, kwa miaka zaidi ya minane, kupata elimu nchini Kenya kisha jioni wanarudi tena kwa 'asali na maziwa'. Au hawa ndio wale ambao kwao hawana mizinga ya nyuki na ng'ombe wa kukamuliwa?![]()
<Hundreds of children cross into Kenya from Tanzania to get English education : KTN News
Many children across the country walk for Kilometres to and from school every day.www.standardmedia.co.ke
Jombaa, unajikanganya sana. Wenzenu wanaitoroka nchi ya 'asali na maziwa', sio kwasababu ya kingereza bali ni kwasababu ya kituko ambacho mnakiita elimu. Yaani walimu wenu wanafunza kimazoea mazoea, tena kwa kisukuma! [emoji1]Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".
1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata lugha ya kiingereza Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu) Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.
Don't derail the topic,the question is,how is "bigger" GDP helps you to provide health service to your citizens?Walimu waonywa kufundisha kwa kutumia lugha ya Kisukuma
Mthibiti Ubora wa Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Beatus Manumbu, wamewaonya walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo, kuacha tabia ya kuingia darasani na kufundisha kimazoea, pamoja na kutumia lugha ya kisukuma, hali ambayo inapunguza ufaulu kwa wanafunzi.www.ippmedia.com
Lakini hapo wameandika kwamba wanavuka kufuata kujifunza kiingereza, hawajasema wanafuata Elimu bora, acha kutafsiri vile upendavyo. Ila kuhusu afya ni wazi kwamba wanavuka mpaka kuja kupata matibabu bora kutokana na vifaa vya kisasa na dawa kupatikana katika Hospitali zetu hadi vijijiniJombaa, unajikanganya sana. Wenzenu wanaitoroka nchi ya 'asali na maziwa', sio kwasababu ya kingereza bali ni kwasababu ya kituko ambacho mnakiita elimu. Yaani walimu wenu wanafunza kimazoea mazoea, tena kwa kisukuma! [emoji1]Walimu waonywa kufundisha kwa kutumia lugha ya Kisukuma
Mthibiti Ubora wa Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Beatus Manumbu, wamewaonya walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo, kuacha tabia ya kuingia darasani na kufundisha kimazoea, pamoja na kutumia lugha ya kisukuma, hali ambayo inapunguza ufaulu kwa wanafunzi.www.ippmedia.com
Hawa jamaa bila Tanzania nchi haiwezi kwenda, kama chakula, Afya na investments wanategemea Tanzania, bila hivyo vitu hakuna nchiInabidi tuangalie uwezekano wa kuwa-charge zaidi ili wasi-strain health services nchini!
Sasa GDP yenu ndogo na udona kantri wenu uliwasaidiaje mbunge wenu alipotibiwa Nairobi baada ya kumiminiwa risasi? Bill yenyewe ya hospitali mlishindwa kulipa, eti nchi ya asali. [emoji1]Don't derail the topic,the question is,how is "bigger" GDP helps you to provide health service to your citizens?
Investments zipi hizo za Tz nchini Kenya? Hebu zitaje. Kenya ndio nchi ya pili kwa uwekezaji nchini Tz, tunakuza uchumi wenu kwa asilimia kubwa na watz wanapata ajira kwenye kampuni za Kenya. Kwenye biashara tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu. Hata Uganda wamewapiku kwa wingi wa bidhaa ambazo wanauza Kenya. Hebu soma taarifa kutoka kwa TRA yenu, mwaka wa 2018 mlikuwa na deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Hakuna nchi ukanda huu ambayo haina deficit kwenye biashara na Kenya, na bado. Mnatuuzia mahindi na maharage na sisi tunawauzia bidhaa kutoka kwa viwanda. Ubabe wa peni mbili wa mzee wenu wa mikwara utaendelea kuwakosti hadi mshike adabu zenu.Hawa jamaa bila Tanzania nchi haiwezi kwenda, kama chakula, Afya na investments wanategemea Tanzania, bila hivyo hakuna nchi
Sasa GDP yenu ndogo na udona kantri wenu uliwasaidiaje mbunge wenu alipotibiwa Nairobi baada ya kumiminiwa risasi? Bill yenyewe ya hospitali mlishindwa kulipa, eti nchi ya asali. [emoji1]
Security reasons,especially having in mind who was the suspect
Kibwengo mkubwa wewe, sasa wewe ndio umejenga uzi au? Ungekuwa na huo uwezo mkubwa wa kiakili ungejikita kwenye mada, sio comment zangu. Ikikuuma sana nenda kwa wachawi ukaniroge.Hii mlishajibiwa toka Juzi,
Nafahamu unafahamu vizuri tu ni Kwanini lakini kutokana na ufinyu wa akili unajaribu kuvuruga huu uzi kwa kuleta vitu visivyo husiana hapa,
Ukweli ni kuwa county yote ya Taita Taveta huvuka boda kutafuta huduma bora za afya Tanzania,
Hutaki andamana au nenda kawaambie huu upupu wako hapa uone watakacho kufanya,
Fool.
Akili huna wewe, jaribu hata kuwakopa kuku akili ili uwe unatumia humu,Kibwengo mkubwa wewe, sasa wewe ndio umejenga uzi au? Ungekuwa na huo uwezo mkubwa wa kiakili ungejikita kwenye mada, sio comment zangu. Ikikuuma sana nenda kwa wachawi ukaniroge.
Nimesema kwamba investors wa Kenya hutegemea Tanzania kuliko nchi yoyote hapa duniani, kuna zaidi ya kampuni 500 za Kenya hapa Tanzania, nchi ya pili ni Uganda ikiwa na makampuni takribani 300, tukiamua kuwafukuza na kuyachukua haya makampuni yenu, lazima uchumi wa Kenya utayumba sana, tukiamua kuwazuia watu wenu kuja kutibiwa Tanzania, wengi watakufa, tukiamua kuzuia chakula chetu mnachopata kwa bei nafuu na uhakika, idadi ya wakenya watakaokufa kwa njaa itaongezeka mara kumi zaidi.Investments zipi hizo za Tz nchini Kenya? Hebu zitaje. Kenya ndio nchi ya pili kwa uwekezaji nchini Tz, tunakuza uchumi wenu kwa asilimia kubwa na watz wanapata ajira kwenye kampuni za Kenya. Kwenye biashara tunawauzia bidhaa nyingi zaidi ya tunazonunua kutoka kwenu. Hata Uganda wamewapiku kwa wingi wa bidhaa ambazo wanauza Kenya. Hebu soma taarifa kutoka kwa TRA yenu, mwaka wa 2018 mlikuwa na deficit ya $35.8 million kwenye biashara na Kenya. Hakuna nchi ukanda huu ambayo haina deficit kwenye biashara na Kenya, na bado. Mnatuuzia mahindi na maharage na sisi tunawauzia bidhaa kutoka kwa viwanda. Ubabe wa peni mbili wa mzee wenu wa mikwara utaendelea kuwakosti hadi mshike adabu zenu.![]()
Tanzania trade with Kenya turns into deficit
After recording trade surpluses for three consecutive years, the fall of exports has turned Tanzania’s trade with Kenya into a deficit.www.thecitizen.co.tz
Vipi kuhusu mamia ya hawa watz, ambao huwa wanaitoroka 'nchi ya asali na maziwa' kuja Kenya? Tena kila siku asubuhi, kwa miaka zaidi ya minane, kupata elimu nchini Kenya kisha jioni wanarudi tena kwa 'asali na maziwa'. Au hawa ndio wale ambao kwao hawana mizinga ya nyuki na ng'ombe wa kukamuliwa?![]()
<Hundreds of children cross into Kenya from Tanzania to get English education : KTN News
Many children across the country walk for Kilometres to and from school every day.www.standardmedia.co.ke
Ivi wakenya na wazinzabar Tanzania mnajua kuna kabila moja tu la kisukuma auJombaa, unajikanganya sana. Wenzenu wanaitoroka nchi ya 'asali na maziwa', sio kwasababu ya kingereza bali ni kwasababu ya kituko ambacho mnakiita elimu. Yaani walimu wenu wanafunza kimazoea mazoea, tena kwa kisukuma! [emoji1]Walimu waonywa kufundisha kwa kutumia lugha ya Kisukuma
Mthibiti Ubora wa Shule katika Halmashauri ya Wilaya ya Shinyanga, Beatus Manumbu, wamewaonya walimu wa Shule za Msingi na Sekondari wilayani humo, kuacha tabia ya kuingia darasani na kufundisha kimazoea, pamoja na kutumia lugha ya kisukuma, hali ambayo inapunguza ufaulu kwa wanafunzi.www.ippmedia.com
Umeangalia hiyo video na kuisikiliza kwa umakini ?
Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza ni huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wengi wenye mawazo ya ukombozi wa south afrika wenye kufikiri kwamba kiingereza si Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kijamaa, ujamaa mentality".Kweli kabisa, katika lugha ya kiingereza Kenya ipo juu ya Tanzania, lugha ya kiingereza sio huduma ya kijamii, bado tunao watanzania wachache wenye mawazo ya kikoloni wenye kufikiri kwamba kiingereza ni Muhimu, hii ni kutokana na mawazo ya kitumwa, Slavery mentality".
1)Watoto wa Tanzania huvuka mpaka kufuata lugha ya kiingereza Kenya (Kiingereza sio jambo la msingi katika mahitaji ya binadamu)
2)Wakenya wote bila kujali umri wao huvuka mpaka kuja Tanzania ili kupata huduma bora za Afya(Afya ni kitu cha msingi katika mahitaji ya binadamu)
Karibuni sana katika nchi ya maziwa na asali.