Wakenya wote wamebaki midomo wazi baada ya maswali ya Majaji dhidi ya Tume huru ya Uchaguzi & Chebukati. 99% aonesha uchaguzi unaenda kurudiwa

Kama umefwatilia kesi hadi mwisho utagundua ushahidi wote uliotolewa na Raila kuonyesha aliibiwa ulidukuliwa.... Hakuna mahali aliibiwa. Hata hivyo, kesi imeonyesha kuna makosa kadhaa yalitendeka kama kura zitaregelewa basi itakuwa ni labda majaji wagundue kuwa zile hesabu ukijumlisha baada ya kurekebisha makosa itokee kwamba Ruto hakushinda na zaidi ya 50% ya kura kwahivyo turudi tena kwa run-off baada ya siku 30.
 
Ni hatari tupu na hasara chibukati amelisabishia taifa la Kenya ingawa mm binafs nilikuwa namtamani sna Dr William ruto kuwa rais mkp jus Kati niliota ndoto nzur Sana ruto akinialika ikulu Nairobi kwenda kunishukuru kwa kumpambania awe rais nilicheka sna kwa ndoto hzo ..
 
Kama umefwatilia kesi hadi mwisho utagundua ushahidi wote uliotolewa na Raila kuonyesha aliibiwa ulidukuliwa .... Hakuna mahali aliibiwa. Hatahivyo, kesi imeonyesha kuna makosa kadhaa yalitendeka , kama kura zitaregelewa basi itakua ni labda majaji wagundue kua zile hesabu ukijumlisha baada ya kurekebisha makosa itokee kwamba Ruto hakushinda na zaidi ya 50% ya kura kwahivyo turudi tena kwa run-off baada ya siku 30.
Bado sijaelewa! Ruto hakufika 50%+1 kwa minajili hipi? Kwani kuna ushahidi ulikuja mahamani kuwa kuna kura alizidishia kimajosa?
 
Ukweli ni kuwa Raila amechezewa faulo ki technique sana,kwa umaarufu alionao Raila Kenya Ruto asingeweza kumshinda hata kidogo.
So,binafsi yangu nampongeza sana Ruto amewauto smart Uhuru& Raila, labda kama ni agenda waliipanga kama sivyo Ruto ni master sana.
 
Ni hatari tupu na hasara chibukati amelisabishia taifa la Kenya ingawa mm binafs nilikuwa namtamani sna Dr William ruto kuwa rais mkp jus Kati niliota ndoto nzur Sana ruto akinialika ikulu Nairobi kwenda kunishukuru kwa kumpambania awe rais nilicheka sna kwa ndoto hzo ..
Chibukati alifanya maamuzi ya hovyo sana,na ukiachana na makosa mengine kosa kubwa ni lile la kujitenga kwa makamishina 4 kati ya 6.
 
Ukweli ni kuwa Raila amechezewa faulo ki technique sana,kwa umaarufu alionao Raila Kenya Ruto asingeweza kumshinda hata kidogo.
So,binafsi yangu nampongeza sana Ruto amewauto smart Uhuru& Raila, labda kama ni agenda waliipanga kama sivyo Ruto ni master sana.
Kama ni kuhesabu kura upya haina tatizo, ila kurudia ni kuchezea pesa tu na wanasiasa hawawezi kujali hilo.... anyway kila laheri Rais mteule Dr.Rutto
MK254
 
Sioni sababu zozote za kurudia uchaguzi, labda itokee baada ya kuhesabu upya Ruto ashindwe kutimiza asilimia 50%+1 kikatiba.
 
Naona njia rahisi ya Kenya kuondokana na msuko suko huo wa kisiasa,waangalie namna ya Ku share power.Wampe Odinga miaka 5 kiasha,Ruto aje aendelee na miaka 10 ijayo.
 
Kama ni kuhesabu kura upya haina tatizo, ila kurudia ni kuchezea pesa tu na wanasiasa hawawezi kujali hilo.... anyway kila laheri Rais mteule Dr.Rutto
MK254
Watarudia vipi kuhesabu kura zenye kasoro??
 
Bado sijaelewa! Ruto hakufika 50%+1 kwa minajili hipi? Kwani kuna ushahidi ulikuja mahamani kuwa kuna kura alizidishia kimajosa?
Ndo nasema, Mimi sikuona ushahidi wa kutosha kuonyesha kura ziliibiwa. kama mahakama itafanya hesabu tena na igundue labda iebc ilikosea hesabu kwahivyo Ruto hakufikisha zaidi ya 50% , then hii ndo sababu pekee ambayo kulingana na maoni yangu inaweza sababisha watu warudi kupiga kura... lakini si eti kwasababu server zilikua hacked, wala eti fomu ziligeuzwa njiani etc
 
Sioni sababu zozote za kurudia uchaguzi, labda itokee baada ya kuhesabu upya Ruto ashindwe kutimiza asilimia 50%+1 kikatiba.
Sasa bro unarudiaje kuhesabu upya kwenye votes zilizo fojiwa..impossible..lakini kwanini team Ruto walifanya haya kwa Raila ambaye ni mzoefu wa uchaguzi miaka yote..na anajua tricky zote..hivi unaanzaje kumwibia Raila na team ya magwiji wale...hahahah..shame..!!
 
Back
Top Bottom