Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,657
- 20,967
- Thread starter
- #21
Kuchukua pesa za wananchi siyo ubunifu. Tayari watu wanapesa zao, unaenda kuzichukua halafu unaita ubunifu! Zaidi zaidi utaongeza gharama za biashara na kuua ubunifu.We unaona kodi ya miamala si ubunifu? FAILED STATE kila mtu ni kambale, na maza alivyosoft watu wakibweka anaufyata.
Kodi za miamala ni miongoni mwa kodi laini mtu analipa bila kuumia kivile. Ni kama serikali ilivyofuta road licence za watu kujisweka kama magunia mmejipanga eti mnaenda kulipa TRA. Walivyoamua kuiweka iwe automatic kwenye kununua mafuta watu tunalipa bila hata kustuka.
Bottom line ni kwamba kila mtanzania lazima achangie maendeleo ya nchi yake, ni namna gani bora ya kufikia hapo ndio ubunifu huo unatakiwa.
NCHI INAYOJARIBU KUENDELEA KWA KUTOZA KODI NI SAWA NA MTU ALIYE NDANI YA NDOO KISHA AKAJARIBU KUJINYANYUA-Churchil