Wakiambiwa wabuni vyanzo vya mapato wanafikiria kuongeza kodi?

Kuchukua pesa za wananchi siyo ubunifu. Tayari watu wanapesa zao, unaenda kuzichukua halafu unaita ubunifu! Zaidi zaidi utaongeza gharama za biashara na kuua ubunifu.

NCHI INAYOJARIBU KUENDELEA KWA KUTOZA KODI NI SAWA NA MTU ALIYE NDANI YA NDOO KISHA AKAJARIBU KUJINYANYUA-Churchil
 
Basi tusiwe na serikali kila mtu aishi kivyake. Maana hakuna pesa yoyote ya serikali isiyo ya wananchi au kutoka kwa wananchi.
 
Wenye mawazo sahihi kwa mtazamo wako ni wepesi sana kwa mtazamo wa walio wengi.

Kutawala ni suala pana na lenye kutazamwa kadri ya fikra za mtu binafsi.
Hamna lolote, ni kweli kuna ugumu katika kutawala, ila ugumu wa sasa unaletwa na watu wenye uwezo mdogo wanaoshurutisha kutawala kwa ajili ya mlo, huku wakiwa hawana uwezo.
 
Hamna lolote, ni kweli kuna ugumu katika kutawala, ila ugumu wa sasa unaletwa na watu wenye uwezo mdogo wanaoshurutisha kutawala kwa ajili ya mlo, huku wakiwa hawana uwezo.
Wenye uwezo mkubwa wapo wewe hata siku moja huwezi kuukubali uwezo wao na hakuna mwenye uwezo wa kukubadilisha mtazamo wako.
 
Hiyo ni kauli dhaifu, binadamu hatuishi milele. Kuna nchi zimetoka kwenye umaskini ndani ya 10years. Mtu anazaliwa na kufia kwenye umaskini halafu unasema maendeleo siyo ya siku moja.
Katika nchi hii hii moja wapo wengi tu wanaoachana na umaskini, tembea nchi nzima utawaona, ukibakia nyuma ya keyboard huwezi kuwaona.
 
Hizo positive effects za hizo so called middle economy zimekufikia wewe peke yako ama?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao ndio eti wasomi wetu
 
Niccolo Machiaveli anasema kiongozi anatakiwa kuepuka sana kuwa mporaji. Anasema mtu anaweza sahau kifo cha baba yake lakini hawezi sahau akiporwa mali aliyoachiwa naye.


🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 


Phd ya Mwigulu thesis yake ilikuwa; "kuongeza kipato kwa Uporaji uliohalalishwa na sheria"
 
wanachojua ni kuongeza kodi pekee hawana ubunifu
 
Huyu maza inabidi apate washauri sahihi kama akina MO, GSM, Manji, Bakherasa n.k wengine, aachane na wachumi fake akina Mwigulu ni wachumi wa makaratasi tupu.
 
Hebu tuambie mapato ya Gas mtwara yanaenda wapi?Hicho ni moja ya chanzo cha mapato.
Mapato gani ya gas wewe mbumbumbu? Gas inachimbwa na mwekezaji anaiuzia Tanesco wanazalisha umeme, nyingine TPDC wanasambaza kwenye viwanda sasa hapo wewe unaona kuna mapato gani ya maana wewe kima?

Hiyo gas Ili iwe na tija ni laza iwe LPG ,hiyo tech na mtaji wa kufanya hivyo unavyo?

Kuna madini ya kila aina lakini shida ni ile ila hakuna mitaji wala tech,wewe ulipo hapo huna hata laki tano ya Kuanzisha katakana ya kuchomelea mageti unaropoka mambo ya Madini.

Ili Nchi ihame kwenye mikwamo kama hii lazima maumivu yatoke kukabiliana na hali hizo,hakuna maendeleo ya bure au ya bila jasho.
 
Mwigulu amewahi kufanya biashara hata ya vitumbua kweli?


Angekuwa kafanya biashara hiyo bila shaka angalikuwa anajua ugumu wa kutafuta pesa hivyo angalikuwa anajua uchungu watu wanaopata kutokana na hiyo kodi ya WIZI wanayotufanyia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…