Uchaguzi 2020 Wakianguka Wapinzani wote katika ngazi ya Urais na Ubunge ni hatua nzuri ya kuchukua nchi mwaka 2025


Sahau kuhusu uchaguzi 2025 labda 2040.
 
Uchaguzi wa mwaka huu lengo ni kuifutilia mbali CHADEMA ili upinzani wa kweli uzaliwe Tanzania
 
Hao wananchi hata wakuteswa kuna hasara gani ndio aina ya maisha waliyochagua
 
Mleta mada inaonekana huijui siasa naona una ongea ongea tu.
Hivi unajua madhara ya kiuchumi ya chama kupoteza wabunge wengi?
Unajua kama vyama vya siasa vinategemea Ruzuku kujiweka imara na kujiendesha?
Unajua kuwa Wabunge wa CDM walikuwa wanachangia mamilion ya pesa kwenye chama kwa mwezi?
Unajua athari za kukosa wawakilishi bungeni?

Believe me baada ya uchaguzi Kuna vyama vinaenda kufa kabisa kwa kuyumba kiuchumi hata pesa za kulipa Kodi za majengo ya ofisi zitakosekana kabisa.
 
Jipangeni labda 2040.Mliambiwa upinzani ulishakufa siku nyingi mlishupaza shingo zenu. Ona sasa mlivyovuliwa nguo hadharani, aibu tupu.
 
Hakuna kitakachotokea nendeni ze hegi mkafanye utalii, mkumbuke kuvaa barakoa , kuvaa barakoa na kunawa mikono mara kwa mara mkiwa huko kwa mabeberu
tupo na wote ni watanzania bila kujali itikadi zetu...ila tuombe hao wabunge wenu wawe na utashi, wakawatumikie wananchi kama katiba inavyo wataka na sio wakawe watetezi wa serikali kwa kila jambo bali wakawe wakuishauri serikali🙏🙏🙏 Mungu ibariki Tanzania ✔
 
Siku ya kwanza ya bunge itakuwa ni kupongezana kwa kurudi bungeni, tena bunge linaweza kurudishwa live kabisa ila kuwakera kabisa.
 
Siku ya kwanza ya bunge itakuwa ni kupongezana kwa kurudi bungeni, tena bunge linaweza kurudishwa live kabisa ila kuwakera kabisa.
Kwa taarifa yako hatokwepo wa kukereka na mambo zenu maana tayari mmeshakera vyakutosha kwa kuharibu pesa ya watanzania kwa kutuletea uchaguzi wa maigizo😠😠😠
 
Kama sheria ya uchaguzi itabakiki kama ilivyo sasa hivi CCM itatawaka milele. Shida iliyopo so kwa Watanzania kutochagua wapinzani bali ni kwa watawala kutopenda upinzani.
 
Kikwete siyo Magufuli. Magufuli ni dikteta. Kura zimepigiwa nje ya vituo na kuletwa kwenye vituo katika mabegi. Ushahidi umeuona. Halafu unajifanya eti unatoa ushauri! Makaratasi yaliyokamatwa siyo feki. Yametoka NEC. Na ni nchi nzima. Unajua hivyo.

Mishahara kutokuongezwa, kikokotoo cha wastaafu, mikopo ya elimu ya juu na marejesho yake, matibabu kwa wazee, watu kufa na kupotea, nk nk siyo real issues kwa Watanzania? You must be joking. Angalau umekiri kuwa nuna NECCM na PoliCCM.
 
Malalamishi yenu ni zilipendwa, kila mwaka hivihivi
 
Mtihani uliopo Ni kuwa baada ya hapa tutafika mbele au ndio maisha yanakuwa yaleyale
halo nikifikiria ni hatari tupu mana Magu katumia nguvu kubwa kujinadi kiasi kwamba naona nusu ya ahadi ni Hewa. yeye alitaka apate akamilishe ngwe yake akajilie Kuku chato ikiisha. Hata km mimi ningekuwa yeye ningechomekea Na kauongo mradi nipate kura ya mpinzani
 
Tatizo la wapinzani wa Tanzania ni kupinga kila kitu. Uchaguzi huu walikuwa wanapinga maendeleo ambayo wananchi wamekuwa wakiyalilia. Ndio maana wananchi wameendelea kuwakataa.
Haya sasa imekuwa ccm pekee yake, naamini hakuna wa kuwapinga tena, sukari itashuka bei, maji kila kijiji, barabara lami kila kona etc
 
Asante sana
Nalog off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…