white wizard
JF-Expert Member
- May 18, 2011
- 8,566
- 13,770
Hiyo hesabu yako haiko sawa mkuu, atatoka mwaka 2041, ndio hukumu ya miaka yake 30 itamalizika.Mwaka 2050 siyo mbali sabaya awe mpole tu akitoka jela aje afungue tu kanisa amtumikie Mungu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo hesabu yako haiko sawa mkuu, atatoka mwaka 2041, ndio hukumu ya miaka yake 30 itamalizika.Mwaka 2050 siyo mbali sabaya awe mpole tu akitoka jela aje afungue tu kanisa amtumikie Mungu.
Si bado ana kesi zingine pia akipigwa 30 zingineHiyo hesabu yako haiko sawa mkuu, atatoka mwaka 2041, ndio hukumu ya miaka yake 30 itamalizika.
Kwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.
Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?
Kua mkweli na nafsi yako yaan kwa kulinganisha kesi ya mbowe (labda) na ushahidi wa sabaya ni kweli sabaya anahitajika uraiani?Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Ilitakiwa mambo aliyoambiwa wakili na mteja wake umuulize wakili kisha uje na facts. Ndiyo utokee hapa jukwaani kuandika haya uliyoyaandika. Tofauti na hivyo tunakuchukulia kwamba wewe ni muongo tu.
Aende pia kuomba msamaha kwa kila aliyemtendea ubaya na kuwalipa wote aliyowadhulumu. Atafanyika kuwa mtu mpya.AMENKulinda maadili maana yake kuna vitu alikuwa analazimishwa kufanya kinyume na taratibu za kazi yake, Sabaya atubu kwa Mungu wake na amuachie yeye hatma yake, aliyoyafanya alivuka mipaka.
Kulinda maadili maana yake kuna vitu alikuwa analazimishwa kufanya kinyume na taratibu za kazi yake, Sabaya atubu kwa Mungu wake na amuachie yeye hatma yake, aliyoyafanya alivuka mipaka.
Ni haki yake kujitoaWakili wa mmoja wa watu wanoshtakiwa pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya kwa uhujumu uchumi na utakatishaji fedha amejiondoa kumtetea mteja wake.
Wakili Fridoline Bwemelo amesema ameamua kujiondoa kumtetea mshtakiwa wa tatu katika kesi hiyo, Watson Mwahomange kwa kile alichodai kuwepo mgongano wa kimaslahi na kulinda maadili yake.
Bwemelo ameeleza uamuzi huo leo Jumatatu Machi 7, 2022 mbele ya Hakimu mkazi Mwandamizi, Dk Patricia Kisinda.
Alidai kuna mambo ambayo mshitakiwa huyo alimtaka ayaeleze mahakamani lakini akaona asingeweza kufanya hivyo kutokana na maadili yake ya kitaaluma.
”Mimi kwa kiapo changu kama ofisa wa mahakama sikuwa tayari kukieleza hicho ambacho naona kitaende kinyume na maadili yangu kama wakili au ofisa wa mahakama,” amesema.
Chanzo : Mwananchi
====
KESI YA SABAYA: Wakili Fridoline Bwemelo aliyekuwa akimwakilisha mshtakiwa namba tatu, Watson Mwahomange, katika kesi ya uhujumu uchumi na utakatishaji fedha, inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai Mkoani Kilimanjaro Lengai Ole Sabaya na wenzake sita, amejiondoa kumwakilisha mshtakiwa huyo kwa kile alichodai kuwa ni kutokana kuwepo kwa mgongano wa kimaslahi kati yake na mteja wake.
#AzamTVUpdates #KesiYaSabaya
View attachment 2142582
|Sabaya ni shetani kabis aAende pia kuomba msamaha kwa kila aliyemtendea ubaya na kuwalipa wote aliyowadhulumu. Atafanyika kuwa mtu mpya.AMEN
Double standards kivipi wakati kila mmoja ana/alikuwa na kesi yake?Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Una akili timamu kweli kichwani wewe au ugoro ulishakuharibu!Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Unamsamehe vipi jambazi ambaye bado ameshikilia mali za watu? Uanze moja na nani kwani kuna jambazi mwingine amesamehewa?Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Bado kesi nyingine tatu zajaHuyu Sabaya wamkandike miaka 30 mingine yaishe, tumechoka habari za kesi yake ya kujitakia kwa upuuzi wake mwenyewe!
Sabaya alitoa "mzigo" ili ashinde ?
Kumtetea bashite au Sabaya mahakamani ni kumlia bure pesa zakeKwa mtazamo wangu naona huyo wakili amepoteza sifa ya kuwa WAKILI. Kwasababu naamini wakili ni mtu anayesimama badala ya mtu mwingine katika kila hali, ili kuweza kumtetea. Angeweza kutumia weledi katika taaluma yake kueleza hicho alichoambiwa pasipo utata.
Kama mteja ameweza kumueleza, yeye ameshindwa vipi kueleza mahakama kwa namna isiyoleta mgongano?
Nadhani kuna wakati wakili anatakiwa kubeba dhamana ya mteja wake na ndio maana alikubali kumtetea. Au mawakili wasomi mnasemaje?