Wakili ajitoa kesi ya Sabaya, asema analinda maadili yake

Sasa ebu vaaa viatu vya wakili... mtuhumiwa huyu umejiridhisha kuwa anakuzunguka kwa kupishanisha maelezo au ulimwambia hivi anakwambia vile mara kwa mara wewe wakili utafanyeje?? In short hamuelewani kwenye biashara!

Mark my words; tuendako ipo siku mawakili wote wa utetezi watajitoa kwenye hiyo kesi.
 
Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Timu Sabaya msijilinganishe na Mbowe ambaye alikuwa smart kwenye dealings zake na Lt. Urio. Sabaya anaponzwa na matendo yake ya dharau aliyokuwa akiyaweka mubashara.
Ulizeni waliopo Arusha na Moshi mjiridhishe.

Mambo hayo yote Sabaya aliyafanya kwa masifa. Ushahidi upo wa kutosha.
Mimi kwa Arusha kule ni jirani yangu. Wengi wanalia.

CC @ Stroke
 
Labda utakua mgongano wa maswala ya kifedha. Labda wakili hakulipwa
 
Umeshaambiwa kutokana na maadili hawezi kutamka Wala kuyasema hadharani
7baya ni Mlawiti na jamaa alikuwa anamtafutia vibint na kumkamatia. Unafikiri Wakili wa Kike asemeje kimaadili
Huyu wakili ni mwanaume na sio mwanamke
 
Kuna uwezekano mtuhumiwa alikuwa(ndivyo anavyoona)anataka aonekane hana hatia yoyote na hakuwahi kufahamiana na mtuhumiwa namba moja.Kitu ambacho,kwa ushahidi uliokwishatolewa,mazingira halisi na ukweli si kweli.Alipangwa akubali kwa hiyari ili apigwe "mvua" chache,hataki.Atabugia jeuri yake.
 
Sabaya naye asamehewee ili tuanze mmoja, hata kama ni chungu kumeza hii, ndiyoo ili pasiwepo na double standard
Kafungue space au zoom ukishindwa clubhouse ndio hizo mlisema haziwezi kusaidia haya sasa anzeni na Nyie
 
Bado kesi ya Mbowe ya madai ya kuvamia Protea Hotel. Yaani ningekuwa Mimi ni Mbowe ningepeleka madai ya fidia billions. Kitendo cha kuvamia hotel na gari ya namba za UN kilipotezea sifa hotel pamoja na Wateja wake wakiwemo wazungu n.k. Yaani ninge frame andiko Moja Hilo mpaka Sabaya azimie kabisa. Sema Mbowe mambo ya Hofu ya Mungu yamemkaa Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…