mwanamwana JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,309 Reaction score 4,798 Jul 15, 2020 #1 Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru
Msando amewashukuru wote ambao wamempa moyo na kumtakia kheri, ''safari hii inapaswa kuwa ya pamoja” Pia soma - Je, Wakili Albert Msando anafaa ubunge wa Arusha Mjini? - Celebrity Lawyer Albert Msando: Utajiri wa ghafla wamchanganya, afanya kufuru
Mtuflani Official JF-Expert Member Joined Dec 31, 2019 Posts 1,952 Reaction score 4,416 Jul 15, 2020 #2 Alijichanganya aliporopoka kuhusu corona. Hawawezi kumpitisha....
VAPS JF-Expert Member Joined Jul 10, 2012 Posts 5,610 Reaction score 13,168 Jul 15, 2020 #3 Mtuflani Official said: Alijichanganya aliporopoka kuhusu corona. Hawawezi kumpitisha.... Click to expand... Kabisa kwa visasi ! Nashauri aombe msahaha kwa sauti ya juu public japo alikuwa sahihi.
Mtuflani Official said: Alijichanganya aliporopoka kuhusu corona. Hawawezi kumpitisha.... Click to expand... Kabisa kwa visasi ! Nashauri aombe msahaha kwa sauti ya juu public japo alikuwa sahihi.