Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 3,984
- 13,760
Maoni yako ni yapi kwenye DP World?Kila lililo jema kwa Jeshi la Polisi na Wakili msomi mwenzangu Mwabukusi!
Sawa,mtuletee mrejeshoWakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache zilizopita.Haijajulikana bado kwamba Wakili Mwabukusi anayeongoza jopo la wenzake kuwatetea walalamikaji kwenye kesi hiyo anahojiwa kuhusu nini hasa.
Lengo ni kupiga mkwara.anahojiwa kuhusu nini hasa
Wanambeya watabaki kimya?ππππWam sponge japo kidogo sunna!
ππ
1. Ule ni Mkataba (Nakubaliana na matamshi ya Spika pale Bungeni)Maoni yako ni yapi kwenye DP World?
Dalili zote ni kuwa Hawa watashupaza shingo. Tunafanyaje?1. Ule ni Mkataba (Nakubaliana na matamshi ya Spika pale Bungeni)
2. Mkataba una mapungufu ya wazi, hasa kwenye vifungu vinavyozungumzia maslahi na ukomo.
3. Serikali inapaswa kuzijibu hoja za wadau na kufanya jambo kabla ya kuendelea na mchakato
4. Sauti za wakosoaji pamoja na wanaounga mkono zisipuuzwe
5. Nchi yetu sasa inaelekea pazuri: wananchi wanakuwa na uthubutu wa kukataa, kwa hoja na sheria, hadharani kuhusu maamuzi au mchakato wa kiserikali. Kinachotakiwa ni kutumika kwa lugha ya staha tu.
6. Naunga mkono uwekezaji pale Bandarini. Lakini, kama taifa, tunapaswa kuwa makini kwa kila kifungu/kipengele cha mikataba ya uwekezaji tutakayoingia.
7. A document is self-speaking. Tunapaswa kuisikia sauti inayozungumzwa na Mkataba wa DP World bila kubishana nayo.
Wewe mwanasheria, hoja zako namba 2 na 4 huoni kama zinakinzana?1. Ule ni Mkataba (Nakubaliana na matamshi ya Spika pale Bungeni)
2. Mkataba una mapungufu ya wazi, hasa kwenye vifungu vinavyozungumzia maslahi na ukomo.
3. Serikali inapaswa kuzijibu hoja za wadau na kufanya jambo kabla ya kuendelea na mchakato
4. Sauti za wakosoaji pamoja na wanaounga mkono zisipuuzwe
5. Nchi yetu sasa inaelekea pazuri: wananchi wanakuwa na uthubutu wa kukataa, kwa hoja na sheria, hadharani kuhusu maamuzi au mchakato wa kiserikali. Kinachotakiwa ni kutumika kwa lugha ya staha tu.
6. Naunga mkono uwekezaji pale Bandarini. Lakini, kama taifa, tunapaswa kuwa makini kwa kila kifungu/kipengele cha mikataba ya uwekezaji tutakayoingia.
7. A document is self-speaking. Tunapaswa kuisikia sauti inayozungumzwa na Mkataba wa DP World bila kubishana nayo.
Mungu mbariki Mwabukusi .Wakili Boniface Mwabukusi ambaye ni mmoja wa mawakili wanaowawakilisha walalamikaji kwenye kesi ya kupinga mkataba wa bandari iliyofunguliwa mkoani Mbeya, ameitikia wito wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya baada ya kuitwa (kwa njia ya simu na maandishi) na polisi siku chache zilizopita.Haijajulikana bado kwamba Wakili Mwabukusi anayeongoza jopo la wenzake kuwatetea walalamikaji kwenye kesi hiyo anahojiwa kuhusu nini hasa.
[emoji38][emoji38][emoji38]Maoni yako ni yapi kwenye DP World?
Kuna umuhimu wa kutukana?Wewe mwanasheria, hoja zako namba 2 na 4 huoni kama zinakinzana?
Nina wasiwasi hizi hoja zako ume copy & paste somewhere!.
Huwezi kusema sauti za wanaounga mkono ule ubovu zisipuuzwe [hoja # 4], ikiwa umeshakiri mkataba una mapungufu ya wazi { hoja #2} sasa unataka sauti zinazounga mkono ule ubovu zichukuliwe zipelekwe wapi?!