Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

Wakili Boniface Mwabukusi aitikia wito wa Jeshi la Polisi, afika kituoni

Wewe mwanasheria, hoja zako namba 2 na 4 huoni kama zinakinzana?

Nina wasiwasi hizi hoja zako ume copy & paste somewhere!.

Huwezi kusema sauti za wanaounga mkono ule ubovu zisipuuzwe [hoja # 4], ikiwa umeshakiri mkataba una mapungufu ya wazi { hoja #2} sasa unataka sauti zinazounga mkono ule ubovu zichukuliwe zipelekwe wapi?!
Number 4 is on right to be heard Mkuu. Baada ya kusikiliza pande zote uamuzi utatolewa. Haiwezekani Mkataba uungwe mkono au ukataliwe na kila mtu. Hizo ni hoja zangu-kwa nilichobarikiwa na Mungu siwezi kucopy na kupaste hoja za mtu yeyote. Na sijawahi kufanya hivyo popote pale.
 
Wamuite na Manara kumhoji, alidiriki kusema Bandari ni mali ya Waarabu na watanzania wengine haiwahusu bali inawahusu wazaramo na washomvi. HUU ILIKUWA UBAGUZI MKUBWA SANA.
 
Back
Top Bottom