Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Tuwaone barabarani halfu tutajuwa kiwango chenu cha ujasiri. Fanyeni yote lakini mtu akitaka kutuletea uchafu katika nchi yetu hii ya amani atashughulikiwa hata family yake siku ya kukuaga watakukana kama wanakujuwa.
Wewe bwana mdogo unavyoandika tu najua upo beneath me na haujui hii Nchi na wenye mamlaka.
 
Mwabukusi apewe ulinzi
Apewe ulinzi na nani? watu wa mitandaoni. Mwenyekiti wenu Mbowe mlishindwa. Serikali ina mdharau sababu anaonekana kama Mandonga furahisha genge ila asijidanganye kichwa kikawa kikubwa akadhani naweza, haya maji ya kina kirefu kila mtu atamkana na family yake watamkana... hii ndio Tanzania ujinga peleka huko Congo sio hapa.
 
Nikueleze kwa uhakika kabisa, Samia ndiye mZanzibar wa mwisho kuitawala Tanganyika. Hatatokea mwingine tena.

Hili unaweza kulipeleka benki ukadai kitita juu yake jinsi lilivyo la uhakika kamili.
Kwa kuwa mdomo ni Mali yako, basi una haki ya kuongea chochote kile ukitakacho, mimi wala sikupingi.

Tatizo kubwa kabisa walilonalo Watanzania wengi ni kwamba bado wanaamini kuwa wao Wana mamlaka juu ya Serikali y Ccm iliyopo madarakani, wanajidanganya sana. Adui mkubwa zaidi kwa Watanzania anayekwamisha ustawi wa wananchi na maendeleo yao yote hapa Tanzania ni Katiba mbaya iliyopo. Hata mfanye nini kwa Katiba hii iliyopo hamuwezi kutoka, bila Kwanza kuionsoa Katiba hii.Mnajidanganya sana, hamuwezi kufanya chochote kile.
 
Huyo anawakilisha watu wenye ajenda ya siri dhidi ya Serikali na huo mkataba anaouzungumzia ni sababu tu. Hata kama una malalamiko dhidi ya viongozi lugha ya staha ni muhimu. Matusi na vitisho vya nini sasa?
 
Basi jibu hoja
 
Wakili Boniface Mwabukusi ni jasiri tumuombee kwa Mungu ni miongoni mwa wazalendo wachache, wengine wanawaza kula maisha.
 
Yaani kiukweli ni haipo, tusishupaze shingo bureeee, labda kwanza waidai hiyo tanganyika then wadai hizo mali
Wataeleweka vinginevyo ni mapandikizi tu hata jmbo dogo kama hilo hawalijui

Kiukweli zanzibar ipo, is why ina serikali yake, jeshi lao, mamlaka zao. Na wanajiita wanzazibar na wako proud kabisa
Wkt mtu wa mainland ukiija hivyo inaonekana kosa?
Huu muingano kama unapendelea one side
 
Duuh....
Safi kwa kuanza kuelewa kinachopigiwa kelele.
Serikali imeshindwa vipi kuajiri hao wataalamu wa mataifa mengine yenyewe?
Huoni kuwa serikali imeshindwa kutuongoza nayo pia inapaswa ibinafishwe?
Hawa DP wapo Rwanda na DRC ina maana na huko serikali zao zimeshindwa kuongoza?.

Tumeingiza sana siasa kwenye masuala ya uwekezaji, kwenye masuala ambayo ni purely economics.

Kwanini?, hapo bandarini zipo taasisi zenye kufaidika na hali kuwa hivi ilivyo lakini mwisho wao ndio umefika.
 
SASA hivi TANGANYIKA inatamkwa wazi wazi,yaani eti nchi ya TANGANYIKA na nchi ya zanzibar!!

Hivi ni lini Tanganyika imekuq nchi!?na lini zanzibar nayo ni nchi!!?

"Serikali tatu"warioba alisema na kuandika kwenye Rasimu yake je inaenda kutimia!!?

KUNA UZI NILIWAHI ANDIKA "JE MAMA SAMIA NI ABDU JUMBE WA NYAKATI HIZI!!!? NGOJA NIUTAFUTE!!!
 
Basi jibuni hoja
Hana hoja huyo Mwabukusi, huwezi kupinga uwekezaji mpana wenye kuhusisha nchi zaidi ya moja.

Anasema Tanganyika inauzwa kwa kuukubali uwekezaji wa DP hapo bandarini.

DRC na Rwanda waliosaini mikataba na hawa hawa DP na wao nchi zao wamemuuzia mwarabu?.
 
Imbombo ilipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…