cassavaleaves
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 1,799
- 2,237
Ni vuguvugu la muda tu. Huwa yanakuja na kupita.
Ukitaka kujua kuendesha nchi ni busara tazama mataifa yanayoingia vitani ndani afrika hii hii.Ni busara ipi hasa! Katiba inakuruhusu kutoa maoni yako! Wewe Kuunga mkono DP World mimi kuikataa, Ni busara ipi hiyo unayoisema! Kuwa Raisi ni kuiheshimu katiba! Hivyo kuiheshimu katiba ni kuwa na busara!
Akili za Watanzania na usomi wao unatia mashaka mno!
Mfumo wa CCM upo tangu miaka hiyo ya sabini, sio chama legelege kama baadhi yetu tunavyodhania.Leo limepita, hasa kwa watu wanaongalia hatua mbili mbele yao! Wasioweza kuona kesho ! Mnashindwa kabisa kuziona nyufa katika sera zenu, na hata Muungano! Siasa za CCM ni kushiba leo! Kumridhisa Rais! Sheria mlizozitunga wenyewe kwa kupiga makofi Pwaa...Pwaa..! Leo mnazifunja kwa takwa la Rais kupitisha anachokitaka!......Akiondoka hata DP World itakua hati hati!.....Hii mentality ya " Huwa yanakuja na kupita" Italicheza taifa hili mduara wa muda mrefu! Inasikitisha sana!
Chama polisi.....Chama Jeshi kitakuweje legele!Mfumo wa CCM ipo nadhani tangu miaka hiyo ya sabini, sio chama legelege kama baadhi yetu tunavyodhania.
Kimejifunza ujasusi huko Russia miaka ile ya Marehemu Paul Sozigwa, uzoefu wa kutosha tu.Chama polisi.....Chama Jeshi kitakuweje legele!
Kimejifunza ujasusi huko Russia miaka ile ya Marehemu Paul Sozigwa, uzoefu wa kutosha tu.
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Umenichekesha...halafu Sozigwa akafa Maskini!......Uzoefu upi huo! Manipulation of the masses....Rais anayesema ukichagua Wapinzani sileti Maendeleo! Wafanyabisaha wanaogopa kubambikiwa kodi au kunyimwa leseni! Ndio unaita uzoefu! Bila hata aibu......Kweli ikokazi.
Hata akija rais mwanademokrasia bado kulalamika hakuishi!, lakini cha muhimu ni uhai.Umenichekesha...halafu Sozigwa akafa Maskini!......Uzoefu upi huo! Manipulation of the masses....Rais anayesema ukichagua Wapinzani sileti Maendeleo! Wafanyabisaha wanaogopa kubambikiwa kodi au kunyimwa leseni! Ndio unaita uzoefu! Bila hata aibu......Kweli ikokazi.
Hata akija rais mwanademokrasia bado kulalamika hakuishi!, lakini cha muhimu ni uhai.
Hata akija rais mwanademokrasia bado kulalamika hakuishi!, lakini cha muhimu ni uhai.
Huwa kuna mada za kulalamika na hofu nyingi wakati nchi inapoongozwa na mbabe.Uhai unapewa na Mwenyezi Mungu au Rais......au hata CCM.....Sijakuelewa ! na Sijakuelewa zaidi uliposema "Hata akija raisi Mwanademokrasia" Unakiri aliyepo sasa sio mwanademokrasia?
Mfumo wa CCM upo tangu miaka hiyo ya sabini, sio chama legelege kama baadhi yetu tunavyodhania.
DP haijafichua ulegelege wa CCM, kumbuka wamesaini mikataba mingi yenye kufanana na huu na inafanya kazi mpaka muda huu.Steven,
Nadhani unaathiriwa na " Normalcy Bias" Mambo yatakua hivi hivi! Kama ilivyokuwa jana na juzi na kesho itakua hivyo hivyo! Miaka mingi mmetumia ujinga wa Watanzania, Tume ya Uchaguzi, Polisi, Jeshi nk! Itaendelea kuwa hivyo...... Labda hili kama kuna wenye akili CCM wanaweza kukaa na kutafakari! Lakini Sasa hivi yatatokea Maandamano ya kumpongeza mama! Kama miaka yote inavyofanyika.......Kwa mtu kama wewe inasikitisha unashindwa kuona hata "ulegelege" wa CCM!
DP imefichua ulegelege wa CCM....Imefichua udhaifu wa Muungano.......Haya yote yamekua dhahiri mno kwa watu wanaoona! Naamini hata ndani ya CCM hakuna wajinga wote....licha ya kutetea matumbo yao...kuna baadhi wanajua makosa yamefanyika wapi!
DP haijafichua ulegelege wa CCM, kumbuka wamesaini mikataba mingi yenye kufanana na huu na inafanya kazi mpaka muda huu.
Hizi siasa za vyama vingi zisikudanganye ukadhani kuna mabadiliko makubwa yanayotokea. Kumbuka SSH hana tofauti na Kikwete yaani awamu hii haina tofauti na ile ya nne.
Wangeweza kupita kimya kimya na maisha yakaendelea, kumbuka Samia kachukua pesa nyingi za EU na anaendelea kurudisha kuaminika kwetu kama taifa miongoni mwa taasisi hizi za kimataifa.
Awamu ya JPM ilizifungia vioo hizi taasisi na wao wakatususia masuala ya uendeshaji wa bajeti zetu, alipoingia Samia ikulu akabadili mwelekeo mzima kwanza kwa kumchagua yule Mama Mulamula pale mambo ya nje na pili kuibadilisha wizara nzima ya nje na masuala ya Royal Tour ili kuutambulisha msimamo mpya wa nchi kimataifa ni upi.
Usidhani kwamba CCM wamepoteza ushawishi humu ndani, wameamua kuiachia demokrasia ishamiri.
Usiisahau kuiongelea na ile mizuri waliyotuingiza na taifa mpaka kesho linaendelea kufaidika nayo.Hivi unadhani Wabunge wa CCM walikuwa wanajua wanapitisha nini isipokuwa kugonga Meza....! Mbona husemi pia wametuingiza katika mikataba mibovu iliyotuingizia hasara! Si mara moja! mara nyingi!
Usiisahau kuiongelea na ile mizuri waliyotuingiza na taifa mpaka kesho linaendelea kufaidika nayo.
DP haijafichua ulegelege wa CCM, kumbuka wamesaini mikataba mingi yenye kufanana na huu na inafanya kazi mpaka muda huu.
Hizi siasa za vyama vingi zisikudanganye ukadhani kuna mabadiliko makubwa yanayotokea. Kumbuka SSH hana tofauti na Kikwete yaani awamu hii haina tofauti na ile ya nne.
Wangeweza kupita kimya kimya na maisha yakaendelea, kumbuka Samia kachukua pesa nyingi za EU na anaendelea kurudisha kuaminika kwetu kama taifa miongoni mwa taasisi hizi za kimataifa.
Awamu ya JPM ilizifungia vioo hizi taasisi na wao wakatususia masuala ya uendeshaji wa bajeti zetu, alipoingia Samia ikulu akabadili mwelekeo mzima kwanza kwa kumchagua yule Mama Mulamula pale mambo ya nje na pili kuibadilisha wizara nzima ya nje na masuala ya Royal Tour ili kuutambulisha msimamo mpya wa nchi kimataifa ni upi.
Usidhani kwamba CCM wamepoteza ushawishi humu ndani, wameamua kuiachia demokrasia ishamiri.
Umeamua kutoona mema ya CCM na ni mengi hivyo sina uwezo wa kubadilisha maoni yako mkuu cassavaleaves.Steven:
'Usidhani kwamba CCM imepoteza Ushawishi humu ndani"
Kama mna ushawishi mbona mnatumia mabavu mengi kuwepo madarakani! Fanyeni uchaguzi bila nguvu ya Polisi! Bila usimamizi wa ma DED, bila Tume ya Uchaguzi! Balozi Karume kaweka wazi...yamemkuta! Kama kweli mna ushawishi kama unavyosema, basi hamjiamini kabisa!
Umeamua kutoona mema ya CCM na ni mengi hivyo sina uwezo wa kubadilisha maoni yako mkuu cassavaleaves.