Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Mkimuua yeye kuna maelfu wataibuka sasa je mtawauwa wote? Mbaya zaidi mtapandikiza mbegu za uasi na pia mama ni mzanzibari na zanzibar ni nchi kama ilivyotanganyika sasa kwanini zanzibar kuna mambo watanganyika hawaruhusiwi ila huku sisi tunawaruhusu kila kitu? Tanganyika ni nchi kama ilivyo zanzibar acheni watu waisemee nchi yao !
 
Katumwa lini na Watanganyika kama siyo kutafuta kiki zake mwenyewe.
 
KAULI HII NI YA HATARI SANA KWA UMOJA WETU,KAULI HII PEKEE NI JINAI KISHERIA, " Utamke eti hatutaruhusu mzanzibari kuuza Mali za watanganyika"HIZI NI KAULI HATARI SANA ZINAZOWEZA KULETA BALAA BAYA KABISA,KWANINI YUPO URAIANI.
 
Chama unachokifuatilia tangu tisini na mbili hakijawahi kukaa ikulu hivyo kila kitu kwako ni malalamiko tu.

Tangu tumeanza kuongea huna jipya zaidi ya malalamiko, nikakushauri utafute labda uraia wa nchi nyingine ili angalau upate furaha.

Mkuu Steven, ni Chama kipi.....? Sijawapi kuwa mfuasi wa CCM Hata kabla ya vyama vingi! Hili ndio tatizo la vijana wa Lumumba! Ukiwa kinyume tu na CCM wewe ni CHADEMA! Kweli iko kazi....
 
Steven,

Kumbe akili zako timamu zilianza 1977! Ndio maana...! Mbeleko iliyokubeba na maji yako ya siasa uliyoogeshwa imeanzia 1977.......Wigo wako wa kufikiri unaanzia 1977......Inawezekana hata ufahamu wako wa Historia ni kusoma vitabu biased vilivyoandika na watu wa Lumumba! Pole sana...That is way your narrative of thinking is twisted and myopic ! Ndio maana kila mawazo tofauti na wewe unaona ni Chadema! Ndio ninyi CCM ni baba na Mama....na ni "mungu"

Kinachosikitisha inawezekana wewe ni think tank ya vijana hapo Lumumba.....Hizo ni dalili tosha CCM haina miaka mingi.....na haina jipya....Imebakia kutumia miguvu ya Polisi....na Government machineries ambazo kisiasa zilitakiwa kuwa neutral! Ndio mbinu pekee mliyobakiza....
 

Steven

Steven Joel Ntamusano said:
Nimekuwa nina akili zangu timamu tangu 77 wakati CCM inazaliwa mpaka leo hii. Hizi siasa zetu za JF ni za humu humu majukwaani, huko mikoani haswa vijijini yanafika maendeleo makubwa sana.

Mitazamo yetu ni ya wachache wanaobahatika kupata elimu, wapo mamilioni ya watu wanaofaidika na mikopo, wanaofaidika na umeme wa REA, wanafaidika na mengi sana hawana muda wa kulialia kama mimi na wewe.


Sasa kama umepata akili timamu 1977, tutaweza kweli kuzuungumza kuhusu Muungano....? Tutaweza kweli kuzungumzia Katiba mpya....? Unachojua ni CHADEMA TU.....KWELI TUNA KAZI......!
 
Hoja zake zote zina mashiko.....
Tatizo ni kwamba hawana majibu na hoja, kila mwenye akili timamu anajua Muungano is one of the political tool ya CCM kubakia madarakani......Unaaumiza Wazanzibari wengi kunufaisha wachache huko.....kwa watu wa Bara hauna faida yoyote ile.....Ni mzigo kubeba hilo kundi la Wabunge toka Zanzibar ambalo wako Dodoma kulipwa posho kwa kodi za Watanganyika ili kufanikisha hoja za CCm tu.....Ni tabu tupu!
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are number.

Huu ndio uzalendo tulio utaka tupo wengi nyuma yake..
Tunamuunga mkono
Mwovu kama wewe tutakukabili pia
 
Hunijui na mimi sikujui. Tuendelee kuheshimiana huku tukijenga hoja kadri ya uelewa binafsi wa mtu.

Wewe kuwa mpinzani haina maana kwamba upo vizuri sana katika kujenga hoja zako.
 
Acha ajidanganye mwenyewe.

Hili halipiti hivi hivi kama walivyozoea.

Hili litaacha alama, kama siyo kuwazoa moja kwa moja.
 
Kabisa....
 
Hunijui na mimi sikujui. Tuendelee kuheshimiana huku tukijenga hoja kadri ya uelewa binafsi wa mtu.

Wewe kuwa mpinzani haina maana kwamba upo vizuri sana katika kujenga hoja zako.
Steven,

Kuna kipindi huko nyuma tulikubali kutokubaliana, nashangaa kwa nini uliendelea na majibizano na mimi...Mbona umeandika mara kadhaa mimi nalialia, sikukujibu kwa jazba yoyote ile, bali kila hoja yako ilijibiwa kwa hoja! Hukutoa hoja zozote za maana....Ni zile nyimbo tulizozizoea...

Kwa sababu umekiri mwenyewe ufahamu wako kamili wa siasa ulianza 1977 wakati CCM inazaliwa, nitakuwa tu napoteza muda wangu kuendelea majibishano na wewe!

Una safari ndefu ya kujifunza Historia ya Kisiasa ya Nchi hii . Sijui hapo Lumumba wanawapikaje! Kila la heri.
 
Ukisoma mawazo ya JF unaweza ukafikiria ndio mawazo ya watanzania huku tunapoishi

Yaani kuna JF halafu kuna nchi yetu pendwa ya Tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…