Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Mkataba unatakiwa ujisimamie na ujitetee ila watu wanautetea mali za Tanganyika ziheshimiwe na tutazilinda
 

Huyu Mwabukusi nina muelewa sana, nchi hii ina wazalendo ila hawapo ktk mfumo, ni hatari sana kuwa sahihi kwa tawala hizi za kiafrica
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Unadhani hajui? Watu kibao ndani ya hivyo vyombo vya dola na CCM wanapinga huo mkataba. Hilo ni genge mnanibidi muwe na wasiwasi nao.
 
Huyu namfaninisha na mchungaji Mtikila [emoji1787]!!! Ame reincarnate
Ndugu,Mzalendo Mtikila Christopher alikuwa chuma kingine kile.
Tungekuwa na Mtikila 10 kipindi yupo hai,hakika kwa sasa Tanganyika ingekuwepo na ingekuwa inaelekea kwenye kundi la nchi tajiri duniani.

Mwenyezi Mungu ampumzishe mahala pema Mchungaji Christopher Mtikila, Mtanganyika halisi.
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
Sisi Tuna Mungu .
Mwambie Atume Hao Mamluki Wake.Wakutane Na Nguvu Ya Mungu
 
Habari ya mzanzibari au mtanganyika haina mashiko hapa.
Tunayo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo, maneno ni kwamba hatutaruhusu mtanzania yeyote kufanya mambo ya hovyo kwenye mali za uma (awe mzanzibari au mtanganyika).
 
Kwanini aende Mbeya, ni lijitu libaguzi, leo anadai Tanganyika keshao atataka myakyusa awe rais. Huyo ni shetani ni mkabila, mdini, mkanda n.k Natabiri mwisho wake utakuwa mbaya. Wazee wa Mbeya wanahusika vipi na nchi hii, pumbavu
Kwa mantiki hii Wanzazibari wote ni wabaguzi?
 
Ngoja uvccm waje wakiongozwa na choiceVariable!!
 
Nime miss kuandika tanganyika. shuleni kule Tukuyu shule ya msingi masebe wakati tunajifunza mwandiko tulikuwa tunatumia neno mwanganyanga
 
Lakini uTanganyika na uZanzibari umetoka wapi hasa?.
Sisi sote ni Taifa moja. Kama kuna mapungufu tuyatumie kuwa wamoja zaidi kuliko kutaka kutengana.
Tanzania, Tanzania.
Nakupenda kwa moyo wote.
Taifa moja kivipi, kule ni zanzibar hapa ni Tanganyika. Msilete upimbi kwenye rasilimali zetu. Mmetuletea tozo za kila namna alafu leo mzenji anauza bandari zote za Tanganyika ili tuwe maskini miaka yote.
 
"Waziri Mkuu alitudanganya kuhusu kifo cha Hayati Rais John Pombe Magufuli na hajawahi kuomba radhi,na leo anatudanganya kuhusu mkataba wa bandari,akae pembeni kumsaidia Rais" Wakili Boniface Mwabukusi
Kumbe tuna waziri mkuu muongo hivi!!?
 
Why didn't the lawyer comment when TICTS/ Adnani were given a contract to run the port??
 
A
Habari ya mzanzibari au mtanganyika haina mashiko hapa.
Tunayo Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa hiyo, maneno ni kwamba hatutaruhusu mtanzania yeyote kufanya mambo ya hovyo kwenye mali za uma (awe mzanzibari au mtanganyika).
Acheni kukumbatia makaa ya moto, ni muda sasa wa kuruhusu watu wajadili huu muungano na katiba kwa ujumla tunakoelekea tutakuja kushtuka mambo yakiwa ni magumu zaidi, serikali tatu ni suluhusho. Mengineyo huko mbele ya safari mtawaua wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…