Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Wakili Boniface Mwabukusi: Hatutaruhusu Mzanzibari kufanya mambo ya ovyo kwenye Mali za Tanganyika

Those are excuses..... huwezi kutoa maoni kwa personal attacks tena kwa kiongozi Mkuu wa Nchi
 
Kwa kuwa mdomo ni Mali yako, basi una haki ya kuongea chochote kile ukitakacho, mimi wala sikupingi.

Tatizo kubwa kabisa walilonalo Watanzania wengi ni kwamba bado wanaamini kuwa wao Wana mamlaka juu ya Serikali y Ccm iliyopo madarakani, wanajidanganya sana. Adui mkubwa zaidi kwa Watanzania anayekwamisha ustawi wa wananchi na maendeleo yao yote hapa Tanzania ni Katiba mbaya iliyopo. Hata mfanye nini kwa Katiba hii iliyopo hamuwezi kutoka, bila Kwanza kuionsoa Katiba hii.Mnajidanganya sana, hamuwezi kufanya chochote kile.
Sasa kwa kuwa wewe unazo fikra hizo, hilo ni shauri yako.
Nijuavyo mimi, bila CCM kuondolewa madarakani (na sasa imeonyesha dhahiri kuwa lazima nguvu itumike), Tanzania kamwe haiwezi kuwa na Katiba inayokidhi mahitaji ya nchi hii.

Kwa hiyo elewa vizuri ninachoandika hapa, usije tena na michanganyo kama ulivyofanya hapo juu; kazi ya kwanza inayohitajika kufanywa na waTanzania ni kuiondoa CCM madarakani kwa nguvu kwa vile ni wazi sasa kuwa hawataki kuondoka kwa njia za amani.
 
Hakuna jipya hapo Nyerere alishayaona haya..mkipata Tanganyika mtaanza huyu dini gani..huyu wa kanda gani?..dhambi ya ubaguzi haijawahi kumuacha mtu salama
Acheni ujinga fikra nyingine zinaenda na wakati, kwa kipindi kile cha uchanga wa taifa na kujenga uimara dhidi ya ukoloni alikuwa sahihi ila sasa Muungano ufahamikie vizuri kuwa Tanganyika na iwe na mambo yake
 
Those are excuses..... huwezi kutoa maoni kwa personal attacks tena kwa kiongozi Mkuu wa Nchi
Eti "kiongozi mkuu wa nchi"?
Umechambua vipi hizo "personal attacks" na kuzitenganisha na "kiongozi mkuu wa nchi"?

Do you even know what you're writing about?
 
Tanganyika sasa haizuiliki.

Samia karahisisha zaidi kuirudisha kwa kuvuruga kila kilichopangwa toka mwanzo kuiondoa.
 
Halmashauri kuu ya CCM ina Wazanzibar wanaoamua mambo ya Tanganyika ikiwemo hili la Bandari.
Wakati Zanzibar wanaingia IGA na Oman kwa mujibu wao hakuna kikao cha CCM kilikaa.

Pamoja na hayo IGA ya Zanzibar na Oman kuhusu Bandari ni Batili kwasababu kwa mujibu wa Katiba na sheria za kimataifa Zanzibar si sovereign state.

Nani alisaini kwa upande wa Zbar na kwa mamlka yapi.
Hapa haina maana watu hawataki Zbar wakafanya yao, hoja ni kuwa Zbar imepewa uhuru wa kukiuka katiba ya JMT, lakini katiba hiyo hiyo inaipa Zbar Uhuru wa kuingilia na kuamua mambo ya Tanganyika

Kwa mfano, Wabunge wa Zbar walikwenda Dubai na kurudi Dodoma kujadili Bandari. Walipoulizwa kwanini Zbar haipo katika mkataba wakasema hilo ni suala la Tanganyika. Hivi kama walijua kwanini walitumia kodi za Watanganyika kwenda kutalii na kuamua pale Dodoma jambo lisilo wahusu!!

Kule Zanzibar kuna kitu kinaitwa 'Kamati kuu maalumu' ya CCM Zanzibar inayoamua mambo ya Zanzibar.

Kuna tatizo kubwa sana na waliobeba Muungano sasa wamechoka! Rais SSH anasaidi sana kuitafuta Katiba Mpya itakyoweka mipaka na kuipa Tanganyika hadhi na haki na si kuwa Tenga la mizigo.

JokaKuu Tindo Pascal Mayalla Kalamu
Hizi ndizo hoja yakinifu na bayana ambazo ccm hawataki kabisa kuzisikia akiwemo Faiza na viongozi wa serikali.
 
anachokitafta atakipata. soon atajua maana ya amri jeshi mkuu inamaana gani. ngoja aendelee kufurahisha genge. his days are numbered.
IBARA 4 (2) Tanzania ya mkataba huu wa Kimangungo inasema endapo Tanzania inapotaka kuweka mwekezaji mwingine maeneo mengine ya bandari inatakiwa iende Dubai kuomba ridhaa, Dubai wakikataa kutoa idhini, ndio basi. Yaani nchi huru ikaombe ridhaa Dubai? Tena kwa mali zake? Ni kichaa peke yake anayeweza kuushabikia mkataba wa aina hii.
 
yeye si anamamlaka ya kuongea. sasa kuna wenye mamlaka ya kuamrisha jambo liwe.
Nyerere Angekuwa na akili kama zako, tusingepata uhuru, Tena kwa kuwa serikali ya Wazungu walimpa kazi ya ualimu, ange yamaza tu na kusifia Kama ulivyo wewe.
 
imejib
Pole sana, umekuwa kama kasuku kila mahali unapeleka hoja zako hizi, ambazo zinajibiwa kikamilifu.

Kama wewe ndio wa kuonewa huruma sana, kwani mnalichukulia hili swala kama vile ni imani fulani ya kidini.

Hoja zako zote zimeshajibiwa zaidi ya mara elfu moja, unachokifanya wewe ni kuendeleza vurugu za kitoto..
Zimejibiwa wapi huko yalete hapa JF hayo majibu nasi tuyaone kwa faida na uelewa
 
Eti "kiongozi mkuu wa nchi"?
Umechambua vipi hizo "personal attacks" na kuzitenganisha na "kiongozi mkuu wa nchi"?

Do you even know what you're writing about?
Una haki ya kuchambua mapungufu ya MKATABA, mapungufu ya kiutendaji au mapungufu ya mfumo na kutoa mapendekezo....

Ukiangalia yaliyosemwa na Viongozi [baadhi] wa chadema, Dr. Nsala na huyu wakili wa Mbeya UTAPATA PICHA kuna zaidi ya Mkataba...

Kama Katiba inatoa nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi kutoka upande wowote wa Muungano kwanini UMSHAMBULIE RAIS WA NCHI KWA UZANZIBAR? Unadhani hii trend ina AFYA NA MSTAKABALI WA NCHI???

Huu ni UPUUZI AMBAO UNACHOCHEA MIGAWANYIKO NA MAWAZO YA CHUKI NA KIBAGUZI!!!!

Mwisho tutaulizana wewe kabila gani, dini gani na tutateteana au kushambuliana kwa hilo!!!

UNAKUMBUKA LILE LA SUKUMA GANG???

ukiangalia vizuri wenye mihemko hii ya kijinga wanaendeshwa na INTEREST BINAFSI ila wanatumia kichaka cha MUUNGANO!!!

Amini usiamini, tulianzisha hapa ndani [Mungu atukinge] lazima Mabepari watatusaidia tena mpaka na SILAHA TUTAPEWA, Tukifanikiwa kuisambaratisha NCHI yetu wenyewe hapo sasa kila kitu kitaenda bila hata shida kwa manufaa ya MABEPARI....

USHAURI WANGU; TUKOSOE MAPUNGUFU NA KUTOA SULUHU BILA KURUHUSU HISIA ZA CHUKI NA MIFARAKANO KWA SABABU MWISHO WAKE SIYO MZURI!!!! Nchi chache zimefanikiwa kutoka salama baada ya kuyaanzisha mavuguvugu.....

tusikubali kugawanywa kwa hisia cha chuki, ukabila na UDINI....

ukiwa na akili utaelewa ila kama huna huwezi nielewa....

Haya hayawezi KUISHIA kwenye Uzanzibari na Utanganyika tukiyaendeleza YATAISHIA KWENYE UKABILA NA UDINI......

kama unaielewa HISTORIA ya nchi hii unapaswa kuelewa kuna maeneo hatupaswi kuruhusi ni pamoja na kuanza kunyosheana vidole vya KIBAGUZI....
 
Usitegemee hata siku moja kumuona yoyote anayehubiri utanganyika akiwa sehemu ya maandamano huko barabarani.

Wanaishia kusambaza chuki zao kwenye maandishi tu. Ni waoga kupita maelezo.

Wanazeeka na mioyo yenye hasira za kila aina, ni wa kuwasamehe bure tu.
 
Kama Katiba inatoa nafasi ya Kiongozi Mkuu wa Nchi kutoka upande wowote wa Muungano kwanini UMSHAMBULIE RAIS WA NCHI KWA UZANZIBAR? Unadhani hii trend ina AFYA NA MSTAKABALI WA NCHI???
Umejibu kwa kutumia akili, lakini siyo kwa usahihi.

Niseme kwamba ninakubaliana na 'approach' unayotumia kujibu, ingawaje sikubaliani na majibu yako.

Rais anapofanya kila namna ya njia kuhakikisha anaweka watu wake, tena toka upande mmoja wa muungano, hilo moja kwa moja linakuwa ni dosari kubwa inayotia wasiwasi akilini mwa watu.

Na kama hiyo haitoshi, namna nzima jambo hili lilivyowasilishwa toka mwanzo linajionyesha kuwa na makandokando chungu nzima.
Kiongozi wa nchi unaporuhusu mambo unayofanya kwa manufaa ya nchi yaonekane kama yana chembechembe za kuhojiwa, moja kwa moja unajiweka kwenye nafasi ya kuhojiwa.
Uliona jinsi hayo yanayoitwa "makubaliano" yalivyofikishwa na kupitishwa Bungeni?

Na hizi ngonjera za "Makubaliano" siyo "Mkataba"; huku dalili zote ndani ya "Makubaliano" zikiwa za kutisha watu..., halafu uanakuja mbele za hao hao watu unawaambia "Mikataba" haitakuwa na mambo hayo mnayoyaona kwenye "Makubaliano"; inabidi uwawekee dawa ya kufubisha akili watu hao unaotaka wakuamini.

Historia fupi ya huyu kiongozi Samia inaonyesha wazi kuwa siyo mwaminifu juu ya nchi hii. Ni mtu anayeonekana kutumia upole wake kama silaha ya kupitisha maovu yake juu ya taifa hili.

Sasa 'of course' kaliibua hili la uTanganyika bila kutaka, na usidhani litaondoka hivi hivi.

'Credibility' ya Samia ni ndogo sana, karibu na sufuri juu ya jambo lolote lile.
 
Usitegemee hata siku moja kumuona yoyote anayehubiri utanganyika akiwa sehemu ya maandamano huko barabarani.

Wanaishia kusambaza chuki zao kwenye maandishi tu. Ni waoga kupita maelezo.

Wanazeeka na mioyo yenye hasira za kila aina, ni wa kuwasamehe bure tu.
Unajidanganya. Ni haki yako mwenyewe.
 
Lakini uTanganyika na uZanzibari umetoka wapi hasa?.
Sisi sote ni Taifa moja. Kama kuna mapungufu tuyatumie kuwa wamoja zaidi kuliko kutaka kutengana.
Tanzania, Tanzania.
Nakupenda kwa moyo wote.
Utanganyika na Uzanzibar umeanzia pale waiosaini huu mkataba walioweka bandari za Tanganyika tu na kuacha za Zanzibar.
 
Back
Top Bottom