Haya huku ambayo nilikuwa bado sijayasoma ni "UPUMBAVU".ukiwa na akili utaelewa ila kama huna huwezi nielewa....
Haya hayawezi KUISHIA kwenye Uzanzibari na Utanganyika tukiyaendeleza YATAISHIA KWENYE UKABILA NA UDINI......
kama unaielewa HISTORIA ya nchi hii unapaswa kuelewa kuna maeneo hatupaswi kuruhusi ni pamoja na kuanza kunyosheana vidole vya KIBAGUZI....
hapo ulipo hata hujui mhusika mkuu wa kuhakikisha hali hiyo haitokei bado humjui?
Hiyo historia unayoikimbilia wewe, unadhani mambo hayo yalijitokeza tu yenyewe bila kuwepo na juhudi za viongozi waliokuwepo wakati huo?
Hawa hapa badala ya kuyadumisha, wanayabomoa, halafu unakuja hapa na kujionyesha ujinga wako jinsi hayo mambo yalivyotengenezwa kwa ufundi mkubwa!