Wakili Chavula: Watake wasitake wakili wa Jamhuri ni Wakili wa Mahakama

MAHAKAMA SIO MAMA ZENU
Mheshimiwa JaJi, usiopokee barua za watuhumiwa hawa,ni TAKATAKA tu hizo. Zitakuchafua mikono JaJi wetu wa serikali.
WATAKE WASITAKE wewe ni JaJi wa Samia na CCM tu. Wakatafute JaJi wao huko awape haki.
“”SHITHOLE KANTRY “”
 
Turudi kwenye mabaraza ya kimila kuamua kesi zetu. Mahakama tuachane nayo ishapoteza mwelekeo.
Ni kweli kabisa kule hakuna cha kusema umekiuka kanuni au sheria bali ni ukweli tu unatafutwa!
 
Hivi hamna namna kwa hii kesi washitakiwa kuomba isikilizwe na majaji/jaji kutoka nchi zingine wanachama wa jumuia ya madola?
 
You are misconstruing his statement. Mawakili wote ni Judiciary, right? That means Kibatala na fatmakarune and Chavula are all ifficers of the court, so they are Judiciary. Yet Chavula is not paid by the hour, he is a civil servant. To that end he is part of the executive. The good thing about Tanzanua is that our Lawyers are quite aware of their circumstances and they adhere tovtgeir ethics. Libganisha na watu kama James Orengo.
 
Yule mpumbavu aliyefariki ameharibu mambo mengi sana. Mifumo imepooza kwa sababu yake.
 
Na mahakama kurudishiwa makali yake ni mpaka utaratibu mpya wa kiuongozi ufanyika. WAR ndiyo suluhisho.

Hao wanaojiita mawakili wasomi wenyewe hawajielewi, wanaendeshwa na njaa zao
 
I think the opposite is correct! Wewe unapotosha officer of the court is not the same as the advocate of judiciary! Ndiyo sababu hata Jaji alimshangaa Chavula! Mawakili wote wawe wa serikali au binafsi wanawakilisha clients to the court of law.

Kwa kesi ya Mbowe, Bw. Chavula anawakilisha serikali na Kibatala anamwakilisha Mbowe. Wote serikali na Mbowe ni clients!
 
Ana kiburi huyo jamaa! Halafu inasemekana ni TISS aliyewekwa huko kipindi cha JPM!
 
Hivi hamna namna kwa hii kesi washitakiwa kuomba isikilizwe na majaji/jaji kutoka nchi zingine wanachama wa jumuia ya madola?
Nami niliwaza jambo kama hili japo sijui kama inawesekana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…